Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Naona unacheza kiccm unafikiri kichadema, hata ccm wanataka ubadirishe uongozi wa juu ili waishinde Chadema iliyoshindikana kushindwa kwa uongozi uliopo unahitaji kuijua chadema zaidi.
 
pUNGUZA UKALI WA MANENO NDUGU HATA KAMA KAKOSEA MSAHIHISHE KWA NJIA NZURI NA LUGHA YA KUMTIA MOYO KUMBUKA KINACHOMUUMIZA YEYE NI JINSI GANI CCM WATAACHA UONGO WA KUWAGAWA WA TZ KWA PROPAGANDA ZA UDINI. TOA PENDEKEZO LAKO AU BORESHA WAZO LAKE
Wote nyinyi mnaotumia dini katika propaganda za kijinga rejeeni mafunzo ya JK Nyerere katika hotuba ya Kilimanjaro Hotel. Na kama ni kweli mnaongea kwa niaba ya CCM basi mjue kuna sisi CCM wenzenu mnatuumiza. Nawashauri acheni mara moja huu mchezo wenu mchafu.
 
wala haiwezekani kabisa. mbele ya uroho wa watu wa pande zile?
 
Back
Top Bottom