Malcolm X was a alooser on his self.Alikuwa akiongeza kundi la Gangsters na mwishowe alikuwa hana amani wala imani hata na gansters wenzake.bila historia mbele ni kiza- Malcom X stated.
Elewa vizuri my content.
Mkuu aliwezekani kabisa.
wewe bora ungejiita kata stimu maana naona kama una walakini .Maoni mazuri lakini yangelenga zaidi kumshauri mwenye chama mzee Mtei kwani ndie mwenye maamuzi ya mwisho.Msije mkamshika pabaya akaanza kuwaita watu majina ya ajabu kama wakuja n.k
Mkuu Lipumba ni mwenyekiti na mgombea urais wa kudumu CUF, usitegemee hata mtume akamshinda yule.alishindwa hata na Lipumba huyo.... Sio kila mtu ana kaliba ya kuwa kiongozi, wengine wabaki kama strategists tu
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
Naogopa kusema yaliyo moyoni mwangu lakini maadam mada hii imegusia uongozi wa Chadema basi sina budi kuchangia maana inatuhusu sote. Kwanza kabisa binafsi yangu sio swala la Uongozi wa chama kuwa sababu ya mwelekeo wa chama. Hizi Fikra za kugawana vyeo sawa baina ya Waislaam na Wakristu ndizo zinazotuponza sana nchini na ndizo zinazochochea Udini zaidi.
Kinachotakiwa ni Chadema kama chama kuonyesha wazi sera zake ikiwa ni pamoja na mikakati ya kuondosha UDINI nchini. Na haitajalisha kiongozi ni Mbowe au Professoer Safari au Kamuhanda. Udini sio hesabu ya watu kila upande isipokuwa UDINI ni kitendo cha kuwadhalilisha, kuwagawa na hata kuwanyima haki ya kuabudu, kushiriki waumini wa dini nyingine. Chadema hakuna mtu anayebaguliwa na wala sidhani inatokea CCM au vyama vinginevyo.
Hivyo maadam ndani ya chama watu wenye imani tofauti wanakaribishwa na wanapewa nafasi za kugombea uongozi hakuna sababu wala haja ya kuendeleza hizi habari za uuwiano..Kinachotokea ni kwamba vyama vya siasa vimeshindwa kusimamia haki za waumini wa Kiislaam iwe Chadema au CCM wote wanaogopa kugusa mabo ya kiimani isipokuwa kufuata mfumo uliopo japokuwa wanayaona mapungufu.
Mabaya ya Uuwiano ndiyo yanatukuta ktk Muungano wetu na Zanzibar, hakuna jingine isipokuwa Wazanzibar wanatazama nafasi zao ktk uongozi wa juu nchini badala ya kupima serikali ya Muungano inawafanyia nini Wazinzibar. Kuna sheria na haki zipi ambazo wanazikosa kama Watanzania. Haya ya uuwiano ndiyo yamepeleka Wabunge wa viti maalum bungeni wakati wabunge hawa hawawakilishi maslahi ya wanawake nchini. Ni bora Jumuiya za Wanawake wapewe nafasi ya viti maalum bungeni badala ya jinsia zao kuwa kigezo cha uwakilishi. Bado tutakuwa tumefikia mwisho ule ule wa kuona wanawake wengi bungeni lakini at least hapa watakuwa wawakilisha wa hoja za wanawake nchini.
tatizo liko wapi?...Kuna maswala muhimu sana ambayo waislaam wamekuwa wakiyazungumzia sana, lakini chama na wananchi hasa wanaChadema wamekuwa wapinzani wakubwa ktk maswala hayo. Na kinachowafanya Waislaam kuweka mashaka ktk uongozi wa Chadema ni pale hoja ya Waislaam kwa serikali ya CCM inapojibiwa na watu wa Chadema wakati hawakuulizwa wao. Chadema imekuwa mstari wa mbele kupinga Mahakama ya Kadhi, Kupinga OIC na hata kupinga madai kuhusu NECTA pasipo kufanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma hizi. sasa ikiwa hoja sio yao kwa nini wanaibebea mbeleko?.. hapa ndipo utata na hutuma zinapoanzia.
Binafsi yangu nilitegemea sana kabla ya Chadema ama wanachama wake kujibu lolote wangeliacha swala hili liwe la CCM ama wafanye uchunguzi kujua kwa uhakika faida na athari za hoja hizi badala ya kutoa majibu ya dharau na kejeri yanayoichimba dini. Kwa kila hoja inayotolewa na kingozi yeyote wa dini imekuwa matusi kwa imani nzima ya kiislaam kutokana tu na propaganda za chuki dhidi ya Uislaam. Na kikubwa zaidi chuki hizi zimepandikizwa na nchi za Magharibi ambao malengo yao ni kuzitawala nchi za Kiarabu kiuchumi hivyo Uislaam umekuwa mwiba kwao na hivyo unapigwa vita imefkia kwamba leo hii wana Mapinduzi huitwa Magaidi..
Kuna ukweli mkubwa sana ktk historia ya Uislaam kupingana na watu Kutawaliwa Kiuchumi. Na zipo hadithi nyingi zinazohalalisha vita kupigania haki yako hasa pale inapopokonywa na mgeni na kutokana na nadharia hiyo kulitokea hii kitu Revolution - Mapinduzi ambayo kwao wakoloni hawakutegemea kuwa Uzalendo na sifa ya Uraia isipokuwa huu ni Uislaam. Mahatma Gandhi aliusifia Uislaam na pengine hata kurudi India kupigania Uhuru wake ilitokana na imani hii ya kutotawaliwa..
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
Habari wakuu!
Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.
Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.
Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.
CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
Peoples power!
Ndio tatizo la fungus ya masaburi haijachagui muda wa kuwasha.Mi nadhani ukikaribia uchaguzi CDM wainunue Bakwata! Mchezo uishe
Prof safari anafaa kuwa mwenyekiti au hata katibu achilia mbali ugombea uraisi kama ataamua hivyo. Tatizo lililopo ni kuzima propaganda kwa kuteua kwa kigezo cha udini badala ya uwezo, hapa ndio tutapalilia propaganda ya udini zaidi na kuwapa credit cc-harm. Kama anagombea agombee kwa kuwa ana uwezo wa kuendelea kukivusha chama kwenye madaraja ya mabadiliko sio kwa kuwa yeye ni muislamu, propaganda hazijibiwi kwa kujitibu kisaikolojia pekee, bali kuonyesha kwa matendo kuwa udini haupo na kama unaongelewa basi unaongelewa kama mtaji wa watu kadhaa kwa malengo maalum.