Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Mkuu kama utakuwa umesoma angalau vitabu ya Political science basi hutopata shida kujua my content.

Note that Theories on Political Sciences are applicacable not every time and at every circumstances. After all theories have weakness. Sasa pima faida ya implementation ya hiyo theory na hasara zake. Na kama ishu ni Theories za Politcal Sciences mbona baadhi ya Madokta na Professors wa Politcal Sciences wanafeli wakiingia kwenye ligi ya Kugombea Ubunge, Udiwani, nk. Kajipange Mkuuu.

TUMBIRI (PhD, HULL University - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Mimi nalipokea hili kama wazo sahihi kabisa la mwanachama, na linajadilika.

Nafasi ya mwenyekiti wa chama ni nyeti sn, kimsingi image ya chama ipo kwa mwenyekiti. nashauri tu kuwa jambo hili lisiwe la kukurupuka tu kwa kufanya counter-attacks kwa ccm.
Liwe jambo lililoandaliwa kwa muda wa kutosha na wananchi kutoshitushwa.
Prof. Safari ni mtu makini sana, na kazi zake upande wa legal department zinatisha.
 
Sasa usishinikize agombee kwa sababu ni muislam bali akiamua kugombea agombee kwa sababu huwezo na uadilifu anao!

sjasema ateuliwe bali nimesema agombee ili awe chairman.
 
Note that Theories on Political Sciences are applicacable not every time and at every circumstances. After all theories have weakness. Sasa pima faida ya implementation ya hiyo theory na hasara zake. Na kama ishu ni Theories za Politcal Sciences mbona baadhi ya Madokta na Professors wa Politcal Sciences wanafeli wakiingia kwenye ligi ya Kugombea Ubunge, Udiwani, nk. Kajipange Mkuuu.

TUMBIRI (PhD, HULL University - United Kingdom),
tumbiri@jamiiforums.com

mkuu lakini yjue kuwa hoja ya udini sio mchezo!!
Tusiwe consevertive kama CUF.
 
Well said kaiza, kwa utendaji wa namna hii wanao utaka basi kitakuwa chama cha kupima upepo kwani ni mengi yana semwa je yote yakiruhusiwa yayumbishe chama kweli tutafika?
Ni kitendo cha ajabu kuendesha nyumba yako kwa kusikiliza maneno ya jirani.

Kutenda kwa kuogopa maneno ya watu ni tatizo kubwa katika utekelezaji wa maazimio. Anaweza akagombea na hata kuteuliwa ikiwa chama kitaona anafaa. Lakini kuteuliwa kwa vile yeye ni "Muislamu ili kuepuka propaganda mfu za thithimwewe" wala suala hili siwezi kuafikiana nalo kwa vile ni kinyume cha Good Management System!!!!!
 
Kugombea?
Anaruhusiwa kama member yeyote mwingine wa Chadema.
Muziki upo katika kuchaguliwa,atakidhi matakwa ya wanachama?
 
Naogopa kusema yaliyo moyoni mwangu lakini maadam mada hii imegusia uongozi wa Chadema basi sina budi kuchangia maana inatuhusu sote. Kwanza kabisa binafsi yangu sio swala la Uongozi wa chama kuwa sababu ya mwelekeo wa chama. Hizi Fikra za kugawana vyeo sawa baina ya Waislaam na Wakristu ndizo zinazotuponza sana nchini na ndizo zinazochochea Udini zaidi.

Kinachotakiwa ni Chadema kama chama kuonyesha wazi sera zake ikiwa ni pamoja na mikakati ya kuondosha UDINI nchini. Na haitajalisha kiongozi ni Mbowe au Professoer Safari au Kamuhanda. Udini sio hesabu ya watu kila upande isipokuwa UDINI ni kitendo cha kuwadhalilisha, kuwagawa na hata kuwanyima haki ya kuabudu, kushiriki waumini wa dini nyingine. Chadema hakuna mtu anayebaguliwa na wala sidhani inatokea CCM au vyama vinginevyo.

Hivyo maadam ndani ya chama watu wenye imani tofauti wanakaribishwa na wanapewa nafasi za kugombea uongozi hakuna sababu wala haja ya kuendeleza hizi habari za uuwiano..Kinachotokea ni kwamba vyama vya siasa vimeshindwa kusimamia haki za waumini wa Kiislaam iwe Chadema au CCM wote wanaogopa kugusa mabo ya kiimani isipokuwa kufuata mfumo uliopo japokuwa wanayaona mapungufu.

Mabaya ya Uuwiano ndiyo yanatukuta ktk Muungano wetu na Zanzibar, hakuna jingine isipokuwa Wazanzibar wanatazama nafasi zao ktk uongozi wa juu nchini badala ya kupima serikali ya Muungano inawafanyia nini Wazinzibar. Kuna sheria na haki zipi ambazo wanazikosa kama Watanzania. Haya ya uuwiano ndiyo yamepeleka Wabunge wa viti maalum bungeni wakati wabunge hawa hawawakilishi maslahi ya wanawake nchini. Ni bora Jumuiya za Wanawake wapewe nafasi ya viti maalum bungeni badala ya jinsia zao kuwa kigezo cha uwakilishi. Bado tutakuwa tumefikia mwisho ule ule wa kuona wanawake wengi bungeni lakini at least hapa watakuwa wawakilisha wa hoja za wanawake nchini.

tatizo liko wapi?...Kuna maswala muhimu sana ambayo waislaam wamekuwa wakiyazungumzia sana, lakini chama na wananchi hasa wanaChadema wamekuwa wapinzani wakubwa ktk maswala hayo. Na kinachowafanya Waislaam kuweka mashaka ktk uongozi wa Chadema ni pale hoja ya Waislaam kwa serikali ya CCM inapojibiwa na watu wa Chadema wakati hawakuulizwa wao. Chadema imekuwa mstari wa mbele kupinga Mahakama ya Kadhi, Kupinga OIC na hata kupinga madai kuhusu NECTA pasipo kufanya uchunguzi wa kina juu ya tuhuma hizi. sasa ikiwa hoja sio yao kwa nini wanaibebea mbeleko?.. hapa ndipo utata na hutuma zinapoanzia.

Binafsi yangu nilitegemea sana kabla ya Chadema ama wanachama wake kujibu lolote wangeliacha swala hili liwe la CCM ama wafanye uchunguzi kujua kwa uhakika faida na athari za hoja hizi badala ya kutoa majibu ya dharau na kejeri yanayoichimba dini. Kwa kila hoja inayotolewa na kingozi yeyote wa dini imekuwa matusi kwa imani nzima ya kiislaam kutokana tu na propaganda za chuki dhidi ya Uislaam. Na kikubwa zaidi chuki hizi zimepandikizwa na nchi za Magharibi ambao malengo yao ni kuzitawala nchi za Kiarabu kiuchumi hivyo Uislaam umekuwa mwiba kwao na hivyo unapigwa vita imefkia kwamba leo hii wana Mapinduzi huitwa Magaidi..

Kuna ukweli mkubwa sana ktk historia ya Uislaam kupingana na watu Kutawaliwa Kiuchumi. Na zipo hadithi nyingi zinazohalalisha vita kupigania haki yako hasa pale inapopokonywa na mgeni na kutokana na nadharia hiyo kulitokea hii kitu Revolution - Mapinduzi ambayo kwao wakoloni hawakutegemea kuwa Uzalendo na sifa ya Uraia isipokuwa huu ni Uislaam. Mahatma Gandhi aliusifia Uislaam na pengine hata kurudi India kupigania Uhuru wake ilitokana na imani hii ya kutotawaliwa..

umenena la msingi ndg cdm ni chama kinachoonyesha wazi udini.
 
Mimi nalipokea hili kama wazo sahihi kabisa la mwanachama, na linajadilika.

Nafasi ya mwenyekiti wa chama ni nyeti sn, kimsingi image ya chama ipo kwa mwenyekiti. nashauri tu kuwa jambo hili lisiwe la kukurupuka tu kwa kufanya counter-attacks kwa ccm.
Liwe jambo lililoandaliwa kwa muda wa kutosha na wananchi kutoshitushwa.
Prof. Safari ni mtu makini sana, na kazi zake upande wa legal department zinatisha.

wisefull point.
 
uenyekiti wa chama ni nafasi yenye heka heka nyingi za mtaani/majukwaani,
prof. Safari, prof. Baregu, Wakil Mabere Marandu na wengineo ni viongozi wetu muhimu na jicho la chama naamini naamini nafari walizokaa ndio utulivu na uwajibikaji tunaouona ktk chama chetubinafsi nilitamani sana mbowe awe katibu mkuu Zitto awe mwenyekiti dr aungane na kina prof kukaa malangoni tatizo Zitto ana haraka sana na sidhani kama atafaa tena na hawezi kusikiliza hawa wazee muhimu, wazo langu Saidi Arfi apewe nafasi(katibu mkuu) anaweza siasa za majukwaani na pia uongozi, hana tamaa na kwa maoni yangu ni msikivu.
Ni maoni yangu tu,
NB; pia sipingi prof kuingoza CDM anauwezo sana.
 
Mkuu chama hakiwezi kuendeshwa kwa kusikiliza maneno ya majirani!

Kumbuka usichague mtu kwa kujibu mapigo na ukifanya hivyo utakuwa umetoa ushaahidi kuwa kilicho kuwa kina semwa ni kweli wakati sivyo!

Kama atagombea atapimwa kwa huwezo wake wa kukiongoza chama si kucover propaganda za sisimweli.

mkuu lakini yjue kuwa hoja ya udini sio mchezo!!
Tusiwe consevertive kama CUF.
 
Mkuu una yasema si mabaya ila si tunacho pinga ni kumpendekeza mtu au kumchagua mtu kwa sababu ya dini yake!

uenyekiti wa chama ni nafasi yenye heka heka nyingi za mtaani/majukwaani,
prof. Safari, prof. Baregu, Wakil Mabere Marandu na wengineo ni viongozi wetu muhimu na jicho la chama naamini naamini nafari walizokaa ndio utulivu na uwajibikaji tunaouona ktk chama chetubinafsi nilitamani sana mbowe awe katibu mkuu Zitto awe mwenyekiti dr aungane na kina prof kukaa malangoni tatizo Zitto ana haraka sana na sidhani kama atafaa tena na hawezi kusikiliza hawa wazee muhimu, wazo langu Saidi Arfi apewe nafasi(katibu mkuu) anaweza siasa za majukwaani na pia uongozi, hana tamaa na kwa maoni yangu ni msikivu.
Ni maoni yangu tu,
NB; pia sipingi prof kuingoza CDM anauwezo sana.
 
Mkuu lakini jua kuwa hoja ya udini sio mchezo! Tusiwe consevertive kama CUF.

Tatizo hoja yako umeisuka kwa kutumia rasta ya udini ndio maana naicrash Mkuu. Swali la kujiuliza CHADEMA kuna Udini au? Na kama upo au haupo solution ni kuchagua viongozi kwa kuangalia dini zao?

TUMBIRI (PhD, HULL University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
 
Chadema haitishwi na propaganda......na si chama cha kugawana kwa udini
 
Promi Demana mwenye huelewi comment yako utawaeleweshaje wengine? Nani kakwambia kuwa urongo wa CCM kuhusiana na udini zinaisumbua CDM? Hizo ni hisia zako na saa nyingine nawe ni wale wale CCM wanaojificha kwenye kujidai wana uchungu na CDM. Ungekuwa na welewa au kuona mbali hata uchungu usingependekeza huo ***** wako. Naamini utaelewa.
 
Mawazo yako ni pengine ni kweli, lakini nadhani mbaya sana uongozi kupokezana kwa kufuata dini,rangi au kabila la mtu! Wanachama wote ni sawa mbele ya chama bila kujali tofauti zao. Prof. Safari anaweza gombea akitaka, lakini lengo liwe kujenga chama na nchi yetu na si vinginevyo! Wanachama wakiona anafaa watamchagua!
 
mkuu kama utakuwa umesoma angalau vitabu ya political science basi hutopata shida kujua my content,
pia kama hyjui prof.Safari ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kama bado unatailia mashaka haya basi nenda kamuulize kilichomkuta Lipumba pale ambapo prof.Safari alipotaka kugombea uonyekiti wa CUF that time.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA.

cha kitaifa kivipi mkuu wakati tunasema ni cha kikatoliki ndio mana tunataka kuwatumia waislam kama prof safari wakibebe chama kuua hoja ya ukanisa?na hii ya ukaskazini hujasema tufanyaje mana nayo haijakaa vizuri kabisa.
 
Back
Top Bottom