Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!
promi demana
Join Date : 9th October 2012
Posts : 56
Rep Power : 312
Likes Received19
Likes Given0

Kanyonye maziwa ya mama ukue halafu uje
 
Last edited by a moderator:

You can fool all the people some time. You can fool some people all the time but you can't fool all the people all the time - By Dr M.D Baisi (UDSM).

TUMBIRI (PhD In Progress at HULL, CPA(T), MBA(UDSM), B.com(UDSM), PCM(Mzumbe High School - 2[SUP]nd [/SUP]Overall Best Student in Form Six National Exams),
tumbiri@jamiiforums.com

Nakala: POMPO, Mwita Maranya, Mungi, Kimbunga, Crashwise, Mzee Mwanakijiji, Candid Scope, JB WISER, Molemo, nk

Mkuu Tumbiri hayo maneno si ya Dr. Baisi yule nguli wa Finance pale School of Business. Hayo maneno niliyasikia kwenye wimbo wa Robert Nesta Marley (RIP). Ogopa plagiarism mkuu
 
Kwani Pro Safari Mchaga? au ana udugu na Mtei? kama jibu no! basi hilo haliwezekani yeye kazi yake itakuwa ya kwenda mahakamani tu kutetea Maafidhina.
 
Hatutamchagua mtu kwa sababu ya dini yake na hatutamkataa mtu kwa sababu ya dini yake. uwezo wa kuchapakazi ya watanzania na uzalendo kwa taifa ndio kigezo muafaka.
 
Mkuu TUMBIRI hayo maneno si ya Dr. Baisi yule Nguli wa Finance pale School of Business. Hayo maneno niliyasikia kwenye wimbo wa Robert Nesta Marley (RIP). Ogopa Plagiarism Mkuu

Kwa mara ya kwanza niliyasikia toka kwa Dr Baisi Mkuu. Na bahati mbaya wakati akituambia huo msemo haku acknowledge the source. Kwa msingi huo mimi nanukuu toka kwake kwa vile nimeyasikia toka kinywani mwake kwa mara ya kwanza.
 
Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!

Sawa Let it Be......Maisha yatakunyokea?
 
prf safari abadili dini kwanza, after 20 year tutamfikiria, tumeshafanya kosa kumuingiza zzk, haturudii, tumewaingiza waislamu awili watatu kuwatumilia tu and we don't trust them anyway.
...haleluuuuuuuuuya..
 
Jamaa aliyeleta hii hoja mfu hapa ni kada muflisi wa CCM. Na kwa taarifa yake, Chadema siyo chama cha kununua huu ujinga.
 
Mkuu Tumbiri hayo maneno si ya Dr. Baisi yule nguli wa Finance pale School of Business. Hayo maneno niliyasikia kwenye wimbo wa Robert Nesta Marley (RIP). Ogopa plagiarism mkuu

Mkuu mimi nilikaa kimya baada ya kuona swali langu limechukuliwa lightly. Having said that, nataka vile vile kusahihisha kidogo kwamba binadamu wa kwanza kutumia msemo tajwa hapo juu alikuwa ni Rais wa 16 wa Merikani Abraham Lincoln (b1808 d1865) kwenye mkutano uliofanyika Clinton, Illinois mwaka 1858; actually the correct version ya msemo huo ni "You can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time.

Ukweli unabaki pale pale, kwamba binadamu wanaweza kudanganywa bila ya kujali timeline ya kugundua kwamba wanadanganywa. Sasa weakness hiyo ya kibinadamu ndio utumiwa kikamilifu na watu walio somea masuala ya propaganda kuwalaghai RAIA - mtu ukifatilia/kusoma kwa makini mbinu zilizo kuwa zinatumiwa na Dr.Joseph Geobbels ndio utagundua kwamba kitengo hicho kikikabidhiwa kwa mtu mwenye hulka ya ushawishi mkubwa wa kisaikolojia na weledi matokeo yake ni hatari SANA. Sikumtaja Dr.Geobbels bila sababu, nilitaka wana JF tujifunze kitu kwamba masuala ya propaganda yako effective SANA yakiangukia mikononi mwa mtu who has a brilliant insight into MASS psychology.
 
Promidemana kwani amekutuma? Kama unamuona anafaa sana anzisha chama chako umpe uenyekiti na kama huna chama basi muite awe mwenyekiti wa familia yenu. Mawazo mwengi ni mfu ingawa wanaoyatoa wako hai. We umeona Safari ndiyo muarobaini wa siasa? Mbona mwenyekiti wa Chama anachaguliwa na wanachama na si kutokana na upuuzi kama huu wako. Shame on you!
pUNGUZA UKALI WA MANENO NDUGU HATA KAMA KAKOSEA MSAHIHISHE KWA NJIA NZURI NA LUGHA YA KUMTIA MOYO KUMBUKA KINACHOMUUMIZA YEYE NI JINSI GANI CCM WATAACHA UONGO WA KUWAGAWA WA TZ KWA PROPAGANDA ZA UDINI. TOA PENDEKEZO LAKO AU BORESHA WAZO LAKE
 
Kwa wiki yote hii humu jukwaani zimejaa habari za CDM,na hii inaonyesha jinsi magamba wanavyoweweseka na hiki chama dume kwa hapa TZ kwa sasa!
 
hivi mbowe atakubali kuachia kiti kweli.akiondoka mbowe lazima kiti amuachie binamu yake lema
 
Kama tunataka cdm ife kirahisi kibisa mchagueni huyo prof awe mwenyekiti, hawezi harakati na hana roho ya chiki na fitina kama ya mwenye chair aliopo
 
Wewe mwanzisha mada humtakii mema profesa abdala mbowe akiiona hii post lazima aanze kumuundia zengwe ili afukuzwe uanachama. Mwenyezamana na uenyekiti ni familia ya mtei
 
Back
Top Bottom