Pendekezo: Prof. Abdallah Safari awe Mwenyekiti CHADEMA

Tatizo hoja yako umeisuka kwa kutumia rasta ya udini ndio maana naicrash Mkuu. Swali la kujiuliza CHADEMA kuna Udini au? Na kama upo au haupo solution ni kuchagua viongozi kwa kuangalia dini zao?

TUMBIRI (PhD, HULL University - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Mkuu nimekuelewa vyema but ni lazima tuendani na mazingira na usisite kumbuka kilichowakuta CUF.
 
Hatuchagui viongozi ku-overcome Propaganda! After all unajua maana ya Propaganda? Maana yake ni Uongo, Fix, Uzandiki nk? Jenga vizuri hoja yako, tunaweza kukuunga mkono lakini kwa mtindo huu hatupo pamoja kamanda.

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com

Uko sawa Tumbiri.God blease you mr Ngedere.
 
kwa hiyochadema mnachagua mtu kwa kufuata propaganda na si kwa kuzingatia uwezo wa mtu?
 
Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!
Hebu kwanza tuzipitie particulars za mleta mada. Join Date 9/10/2012, Posts 7 so far. Uwezekano mkubwa huyu mtu yupo kwenye payroll ya Nape, sasa katumwa, aje apime upepo! Cha kwanza ambaccho anapaswa akitambue ni kuwa CDM haiendeshi mambo yake kwa ajili ya kuneutralize propaganda za magamba! CDM wana Katiba yao ambayo inaeleza taratibu zote za kugombea uongozi kwenye chama hicho, kwa hiyo muda muafaka ukifika wa kugombea ukifika, hata yeye Safari hatazuiwa kuchukua fomu, ambacho anapaswa kufahamu mleta mada, ni kuwa CDM haichaguliwi viongozi wake na magamba, uthibitisho mmojawapo ni tokea Shibuda atangaze kwenye kikao cha NEC ya CCM kuwa anataka kugombea urais kwa tiketi ya Chadema, si mnaona wenyewe jinsi alivyojimaliza kisiasa?
 
cha kitaifa kivipi mkuu wakati tunasema ni cha kikatoliki ndio mana tunataka kuwatumia waislam kama prof safari wakibebe chama kuua hoja ya ukanisa?na hii ya ukaskazini hujasema tufanyaje mana nayo haijakaa vizuri kabisa.

wewe ni muislamu kwa jina lako, mara nyingi comments zenu za hivi ndio mnafanya watu wasiopenda ujinga JF kutukana hadi dini yetu koz ww kioo cha imani na jina lako.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA
 
habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema prof. Abdallah safari agombee kiti cha uenyekiti chadema ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa chadema (ccm), kwani hoja nyingi za ccm kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba ccm bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama chadema haitokubali kuneutralize structure ya uongozi cdm basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa chadema: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama cuf bali tuendane na hali halisi ya siasa za tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

Chadema ni chama cha kitaifa

peoples power!
hiyo ni hoja nyepesi mno, tatizo la tanzania ni elimu, kwa wale wasio na elimu wanaweza kusema chadema ni cha kidini, ila kwa aliye elimika hawezi kufikiria hizo pumba, prof safari anafaa kuwa mwenyekiti lakini sio kwa kigezo hicho
 
Hebu kwanza tuzipitie particulars za mleta mada. Join Date 9/10/2012, Posts 7 so far. Uwezekano mkubwa huyu mtu yupo kwenye payroll ya Nape, sasa katumwa, aje apime upepo! Cha kwanza ambaccho anapaswa akitambue ni kuwa CDM haiendeshi mambo yake kwa ajili ya kuneutralize propaganda za magamba! CDM wana Katiba yao ambayo inaeleza taratibu zote za kugombea uongozi kwenye chama hicho, kwa hiyo muda muafaka ukifika wa kugombea ukifika, hata yeye Safari hatazuiwa kuchukua fomu, ambacho anapaswa kufahamu mleta mada, ni kuwa CDM haichaguliwi viongozi wake na magamba, uthibitisho mmojawapo ni tokea Shibuda atangaze kwenye kikao cha NEC ya CCM kuwa anataka kugombea urais kwa tiketi ya Chadema, si mnaona wenyewe jinsi alivyojimaliza kisiasa?

hizi tabia za kuhis kila mwenye mawazo mbadala na tofauti chamani ni mamluki wa CCM.
 
your addicted too na propaganda za udini But get my point that

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA.

alivyotangaza zzk nia ya kugombea uraisi mlimshambulia waziwazi na wengine mkaenda mbali kwa sema awafuate waislamu wenzake(cuf),amependekezwa safari badobado watu mnamkrashi bila hata ya kufikiria lengo la aliepost lakini alivyotangaza kugombea urais katibu wa cdm tanga crash zikawa za kawaida why??CHAMA CHA KITAIFA.?
 
Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!

Sawa lakini mbona wakati mzee Makamba akiwa Katibu mkuu wa ccm hatukusema uongozi wa juu wa ccm uko kiustaazi zaidi?

Ilikuwa vipi wakati rais wa Tanzania bara, makamu wake, na rais wa Zanzibar wote walikuwa wa dini moja kabla Dr Shein hajawa Rais wa Zanzibar? Je uongozi wa juu wa serikali za CCM ulikuwa umekaa ki ustaazi zaidi?

Ingawa ni vizuri kuweka balance lakini tusipende wakati wote kuangalia mambo yoote kwa jicho la udini! Ni vigimu kuwa exactly equal. Tuangalie uwezo zaidi kuliko udini.

Sijasema hoja yako haina umuhimu
 
umenena la msingi ndg cdm ni chama kinachoonyesha wazi udini.

Ndo maana wengine mnatukanwa, kuna jamaa nilikutana nae anapiga propaganda hizo za udini chadema nilipomuuliza anitajie structure ya juu ya chadema akasema ye hana muda wa kujua isipokuwa anachojua ye ameambiwa na waumini wenzake kwamba viongozi wa chadema wote ni wakatoliki na wamewekwa waipinge dini yao..
nadhani ni muhimu watu waelimishwe wengi hawajui kama kuna akina said arfi, zitto kabwe, said mzee nk ambao ni watu wanaingia vikao vya juu kabisa vya chama kama viongozi wazito kwenye chama, hawajui kama mwenyekiti kabla ya mbowe, marehemu nyanga mohd makani alikuwa muislamu..
mi nadhani kuweka mtu kuwa kiôngozi ili watu wasiseme chama hiki ni cha dini fulani haina maana cha muhimu chadema waanzishe kipindi cha kujibu na kufafanua propaganda hizo, hiyo propaganda ya udini chadema ni nyepesi sana inakuzwa kwa sababu viongozi wanapuuzia uwepo wake.
 
Habari wakuu!

Katika tafakuri zangu nimeona ni vyema Prof. Abdallah Safari agombee kiti cha uenyekiti CHADEMA ktk kuelekea 2015, kupitia fursa hii itawezesha chama ku-overcome propaganda chafu za udini ambazo zimekuwa zikienezwa na mpinzani wa CHADEMA (CCM), kwani hoja nyingi za CCM kuhusu udini zimekuwa ziki-base ktk kunyoshea kidole structure ya uongozi wa juu wa chama kwamba upo kiparokia zaidi.

Pia tukubali tukatae ni kwamba CCM bado inanufaika sana na hii cheap propaganda ya udini na kama CHADEMA haitokubali kuneutralize structure ya uongozi CDM basi tujue kuwa out appearance ni 1 ya fact muhimu sana ktk siasa za nchi yetu.

Kwa CHADEMA: Tusibakie tu na utetezi wa kila siku bali tunatakiwa pia tusiwe conservative kama CUF bali tuendane na hali halisi ya siasa za Tz japokuwa somehow itatucost but ni vyema kwa mustakabali wa chama na ukombozi wa taifa letu.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA

Peoples power!

Nafasi ya taifa inahitaji umri wa uanachama ambao hajafikisha kwa taratibu za chama.Kama amefikisha basi alikuwa na uanachama mara mbili,kitu ambacho kitapoteza trust yake.Otherwise hata akina marando nao wangestahili.Hichi ni mojawapo ya kipengele Sitta hakukipenda,kwani miaka 15 sitta anahisi atakuwa amekufa.Pengine hata marando kama bado ana zile za enzi zile na mrema, pamoja ns shibuda wamepigwa stop hapo.Safari anazo sifa nyingi hata mimi nampenda sana, pia si mtu wa kujipenyeza bila adabu,ndio maana hata CUF hakusikika ktk ushenzi.Kwa ujumla nazo staha na anajua CDM wanaoperate vipi hawahitaji ku appease mtu au kundi fulani.Ila kanuni zilikuwepo kabla hajaja na zitatumika bila chuki.CDM walijipanga sana.Hata mamluki wana sheria za kuwaparalye instantly.Wataaambulia piga kelele nje sana ila ndani sheria zipo wazi na wakitaka zitangazwe ikibidi zitatangazwa tuu kama mukama alivyoumbuka.
 
Waislam tatizo lao ni ukosefu wa elimu ndio maana inakuwa rahisi wao kurubuniwa na propaganda za CCM. Mbowe bado anafaa.
 
mkuu kama utakuwa umesoma angalau vitabu ya political science basi hutopata shida kujua my content,
pia kama hyjui prof.Safari ni mtu mwenye uwezo mkubwa na kama bado unatailia mashaka haya basi nenda kamuulize kilichomkuta Lipumba pale ambapo prof.Safari alipotaka kugombea uonyekiti wa CUF that time.

CHADEMA NI CHAMA CHA KITAIFA.

So niambie tumchague huyo prof safari hii kwa sababu ni kiongozi msomi shupavu mwenye ujuzi na wa kuleta maendeleo au tumchague kwa sababu ni muislam na inabidi tuonyeshe kwa umma kua cdm sio chama cha kikristo?
 
Maoni mazuri lakini yangelenga zaidi kumshauri mwenye chama mzee Mtei kwani ndie mwenye maamuzi ya mwisho.Msije mkamshika pabaya akaanza kuwaita watu majina ya ajabu kama wakuja n.k
 
Back
Top Bottom