PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

Habari zenu wana JF.

Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.

Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.

Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.

Hivi siku hizi div 3 watu wanaenda chuo kikuuu? Du elimu ya siku hizi imekuwa nyepesi sana tena mno.Enzi zetu ukipata hiyo kimbia fasta ukachukue form za maombi ya ualimu diploma na ukichelewa unawezashangaa wanakuambia eti jaribu mwakani
 
Div3 mbona kubwa sana mkuu udom wanachukua hadi 4
 
kimoja tu.

Sasa mkuu akitumia cheti kimoja atachaguliwa kweli clinical medicine? Kwa sababu cheti cha kwanza bios +B, Chemistry B.... Cheti cha pili physcs B na maths A....... Halafu clinical medicine wanataka ufaulu wa physics pia akitumia cheti kimoja inakuaje hapo cz kutakuwa na upungufu wa somo moja.
 
Van dame huyu dogo ana GPA ya 1.6.

Mhhh yeye aombe ila kuna watu wamepata Distinction na hawaendi advanced level wanataka diploma ya udaktari.
ila aombe tuu alafu asubirie,,, matokeo yake mazuri sana atapata hawez kukosa.
 
Mhhh yeye aombe ila kuna watu wamepata Distinction na hawaendi advanced level wanataka diploma ya udaktari.
ila aombe tuu alafu asubirie,,, matokeo yake mazuri sana atapata hawez kukosa.

Asante mkuu!
 
MKuu Mimi nna C-B+ B-B+ G C A level nataka kuomba bach of science in chemistry mwaka huu je ajira zake bongo zikoje

mhhh kwani mwaka Jana ukwenda chuo.???
mbona matokeo mazuriii!!!
 
kaka ivi imtu kimesharuhusiwa Kupokea wanafunzi wa degree mwaka huu wa masomo 2015/2016?
 
Nani kakwambia uchangie hapa uu uzii
Acha dharau UDOM kipo vizuri sasa tofauti na zamani.

Sasa nmeanza kupata mashaka na wewe kwa kazi unayofanya

Sasa nikwambie ukweli mwaka jana nmemfanyia application za tcu ndugu yangu ana dv4 na kapangiwa udom sasa wewe sijui umekula maharage ya wap kwako hilo ni jipya:what:
 
Mkuu nmaliza from four 2011 bt nna mongo wa kuaplly clinical officer en pass marks zilikua ni CCD kwa chemistry,bios,en phz Vp mkuu ntapata kwrli
 
Mkuu nmaliza from four 2011 bt nna mongo wa kuaplly clinical officer en pass marks zilikua ni CCD kwa chemistry,bios,en phz Vp mkuu ntapata kwrli

Mtokeo yako yalikuaje kwa ujumla pia yana mata hapo.
 
Ni kozi zipi nyingne mkuu nje ya nursing zinazonifaa kama mtu wa CBG...msaada wako mkuu
 
Mkuu nauliza,mwaka jana mimi nilipata chuo cha bagamoyo univ ckuenda na mkopo nilipata,je mwaka huu nikiomba ntapata mkopo.wa heslb
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom