NDAGLA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 2,490
- 1,357
Si kweli Huwezi soma medicine kama hauna physics hata siku moja.
Ile maths pale ni kwa ajili ya BAM na si pure mathematics kama unayodhan haitakaa itokee.
Tatizo umekariri hivyo lakini kuna wadau tena humuhumu jamvini wanasoma MD kwa CBG pale CUHAS.
Nakushauri search humu hizo topic zipo kibao tu halafu acha kupotosha hao madogo kwa vyeo feki sijui miderector wa TCU
Mathalani:
KCMCo wao wanataka hivi kwenye guide book page 83 kwa 2014/2015 au page 95 kwa 2013/2014.
Nanukuu,"Three principal level passes in Biology,Chemistry,Physics or Mathematics."
Ina maana hiyo Maths hapo ni BAM siyo PURE kwa maelezo hayo?
We kweli miderector wa TCU.