PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

nauliza coz za afya ambayo inamfaa mtu aliyepiga pcm ni ipi
 
ok bro nimekupata ila kubadili course sio issue sana issue ninayoiona ni bodi wataendelea kunilipia au watasitisha,maana kama umekaa sana kitaa wanatoa kwa education na udaktar na mimi nimekaa sana na wamenipa kwa education lakini ndio hivyo nimeshachange,hapo ndio pananiumiza kichwa,coz nataka nikahamie geoinformatics au statistics lakini ualimu sio hobby yangu nitakuja kufelisha watoto wa watu bure

Hapanaa ukisha pata mkopo umepata tuu hamna atakaye kunyang'anya bumu lako.
Kwani utakuwa umeshaingizwa kwenye system ya Heslb.
 
Mkuu matokeo yng kiujumla ni Chem C,biosC,phzD,engD,math D kwa olevel na nmemaliza form. Four 2011 nnmpngo wa kuapply clinical officer kwa vyuo vya serial VP mkuu kuna probably ya kupta na unanixhaur nn coz naipnda sana sekta ya afya...msaada wako mkuu

Big result imeharibu kila kitu kwani kuna watu wana division one na hawaendi A level wanataka kozi za afya.
Ila omba tu halafu subiri matokeo .
Chakufanya changanya kozi kama CO,Nursing,phrmcy na Maabara.
Utapata tu ni kujiamini na kumuomba mungu wako.
 
Nashkur mkuu kwa majib yko...nitayafnyia kaz kingine mkuu naomba kuuliza ivi kma ukipospond mwka kuna haja ya kwenda chuo ulichopangiwa kutoa taarfa ctll ujapata mkopo na kma ucpoenda kuna effect inatokea katka kuaapply upya msaada wko mkuu
 
mkuu van dame ni kwel uliyoyasema maana hata mimi nimekuja juzi ofisi zenu nikitaka kuandika barua ya kusitisha masomo chuoni niiambatanishe na barua nyingne ya kuomba kuanza application upya ili nifutwe kwenye database ya tcu.Lakini hiyo barua naiandika kwenda kwa executive secretary wa tcu au kwa admission officer?

Kwa secretary.
 
Nashkur mkuu kwa majib yko...nitayafnyia kaz kingine mkuu naomba kuuliza ivi kma ukipospond mwka kuna haja ya kwenda chuo ulichopangiwa kutoa taarfa ctll ujapata mkopo na kma ucpoenda kuna effect inatokea katka kuaapply upya msaada wko mkuu

Haina haja.
Haina effect.
Ila kama ulipata mkopo unatakiwa uende heslb kujitoa kwenye system hiyo, ili mkopo wako usiendelee kutumwa chuoni kwako.
 
Hivi MKuu kama sikwenda chuo husika na sikusajiliwa kabisa je mwaka huu nikiomba TCU ntapata
 
Hivi MKuu kama sikwenda chuo husika na sikusajiliwa kabisa je mwaka huu nikiomba TCU ntapata

Lazima upate.
Ambaye apati ni yule ambaye amefanya registration na hakujitoa kwnye system na kutambulika kama mwanafunzi katika chuo husika.
 
Kwa hiyo mkuu ina maana kwamba mtu akifanya reg ktk chuo husika taarifa huwa zinatumwa TCU pia na Heslb?
 
mkuu van dame vp chuo cha kampala international university kimesajiliwa na nacte ? au ndo changa la macho
 
mi nilisona ufundi so ckuxoma biology.nilisoma mwisho fm two nikaiopt.ila six nikapiga pcm,je nikiomba dip ya pharmacy ntapata??
 
mi nilisona ufundi so ckuxoma biology.nilisoma mwisho fm two nikaiopt.ila six nikapiga pcm,je nikiomba dip ya pharmacy ntapata??

Hauwezi soma pharmacy, mpaka uwe na biology ya Olevel.
Pia matokeo ya form six yawe mazuri.
 
Hivi hawa vijana wa CBM nafasi yao ikoje kwenye MD?

Hapa naongelea KCMC,HKMU,SUZA maana ndo vimeainisha hivyo kwenye guide book kwamba even aliyesoma Maths instead of Physics.

Competition yao na wale wa PCB kwenye hivyo vyuo ikoje?
 
Hivi hawa vijana wa CBM nafasi yao ikoje kwenye MD?

Hapa naongelea KCMC,HKMU,SUZA maana ndo vimeainisha hivyo kwenye guide book kwamba even aliyesoma Maths instead of Physics.

Competition yao na wale wa PCB kwenye hivyo vyuo ikoje?

Anaposema mathematics instead of physics anamaanisha Basic Applied Mathematcs na sio pure kama unavyo dhani.
Mfano physics una E ila Basc Apld Mathmtcs una B watakuesabia BAM instead of Physics but physics lazima uwe umelifanya ila isiwe umelifeli ndo maana wanaandika ni subsidiary.
 
naomba kuuliza kuwa kama matokeo ya kidato cha sita wa mwaka 2015 yatatoka na kupangwa kwa mfumo wa GPA kama ya kidato cha nne,Hayata waathiri wale wote walioahirisha mwaka kwa kusudi la kufanya application mwaka huu 2015? kwa mfumo ambao tcu watautumia kwa mwaka huu

Hapana sisi hatuangalii division wala GPA.
Bali tunaangalia Cutt off point zako tu.
 
Anaposema mathematics instead of physics anamaanisha Basic Applied Mathematcs na sio pure kama unavyo dhani.Mfano physics una E ila Basc Apld Mathmtcs una B watakuesabia BAM instead of Physics but physics lazima uwe umelifanya ila isiwe umelifeli ndo maana wanaandika ni subsidiary.
Kwa hiyo,hiyo combination mpya ya CBM iliyoanzishwa husomi MD halafu mwenye CBG anasoma MD pale CUHAS ndani ya mfumo huohuo wa elimu.Halafu KCMCo (guide book page 83) kwenye MD wanataka:Three principal level passes in Biology,Chemistry,Physics or Mathematics"Hakuna cha subsidiary wala nini kwa maana hiyo (according to you) Maths ni Advanced not Pure?
Habari zenu wana JF.Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.
Na wasiwasi na hicho cheo(kwenye red) ulichojivisha.
 
Kwa hiyo,hiyo combination mpya ya CBM iliyoanzishwa husomi MD halafu mwenye CBG anasoma MD pale CUHAS ndani ya mfumo huohuo wa elimu.



Na wasiwasi na hicho cheo(kwenye red) ulichojivisha.
Si kweli Huwezi soma medicine kama hauna physics hata siku moja.
Ile maths pale ni kwa ajili ya BAM na si pure mathematics kama unayodhan haitakaa itokee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom