cutting point za uhakika kwa MD ni 7 au zaidi. Na wewe hapo una 5, kuna vyuo kama st.francis wanachukua mpaka 5 lakini ni suala la kubahatisha.
pia kumbuka wanafunzi wa kike wanapewa priority sana kuliko boy. so if you are a girl go and try. . kinyume na hapo we ndio ujaze MD lakini angalau chaguo la pili uweke MEDICAL LABORATORY na machaguo mengine kadri unavyotaka.
Mkuu utamsaidiaje huyu dogo wa form 4 ya 2014?Ana Phys-C, Chem-C, Biolgy-D na Bmaths-B. Kati ya Clinical assistant na Clinical officer ipi bora vyuo vya serikali kwake? maana anaumizwa sana na bios maana anaitaka sana Afya.Asante.
MKuu nlikuwa nataka kujua ni kwa nini wkt unafanya selection mtu anaweza pata kozi ya mwisho kabisa ambayo alikuwa anajazia
tu
ni matokeo ya level gan?
1.bachelor of scnce agriculture
2.agronomy
3.aquaculture.
kwa ngazi ya degree.
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.
Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.
Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.
Kuna mdogo wangu alipata div 0 mwaka 2012..... Mwaka 2013 akarisiti chem B, bios +B, English C, math D, physics F, geog E,.... Kutokana na matokeo hayo nikamwambia dogo nenda chuo lakini dogo akakataa alisema anataka kurisiti tena, mwaka 2014 akarisiti matokeo yalivyo toka physcs +B, maths A, geog C... Akasema mwaka huu anataka kwenda chuo kusomea diploma ya clinical medicine swali langu ni hivi nacte wanaruhusu kuapply chuo mtandaoni kwa kutumia vyeti viwili??? Nimeuliza hivyo kwa sababu dogo ana vyeti viwili... Natanguliza shukrani.