Tuliowahi kuchanganya biashara na Elimu na tukafanikiwa kote tukutane hapa

Kamkunji

Member
Sep 14, 2023
92
274
Ni miaka mingi sasa imepita tokea nimalize elimu yangu ya shahada(degree) kwenye moja ya top three ya kozi ngumu sana hapa Tanzania.

Lakini leo nitapenda kutoa ushuhuda wangu namna elimu yangu ya chuo ilivyokua , kupata mafanikio makubwa ya kibiashara na kupelekea watu wengi kunishangaa

Kiufupi kwenye elimu ya sekondari na kidato cha tano mimi nilikua msongo, nikisema msongo namaanisha msongo haswa to the extent kwamba, Olevel nilibeba vyeti 8 kati ya tisa, na Advance nikiwa nasoma sayansi nilibeba vitatu kati ya vitano na kwenye matokeo ya mwisho ya olevel na alevel nilifanikiwa kuibuka kinara,

hii si mada ya leo, ni chombeza tu, sasa twende kwenye mada ya leo

baada ya kuchaguliwa elimu ya chuo kikuu, Semester ya Kwanza nilikua napenda shule sana na hata wale wasongo ilifikia sehemu tukipewa pepa zetu(maana kuna baadhi ya masomo walikua hawabandiki matokeo), lazima waje kuconfirm nimepata ngapi, maana wasongo hua wanajuana, haikua case.

Kufika mwaka wa pili akili ikawa haitaki kukomaa na shule muda wote nawaza biashara tu, nikaanza biashara mdogo mdogo ilivyokolea nikawa ni mzee wa kudoji mapindi, nachukua slides kwa wana napiga msuli, napiga pepa biashara imeisha.

Mwaka wa tatu biashara zikawa zimeninyookea wakuu, yaani nilikua na biashara kama tatu halafu zote zinalaza pesa nzuri sana(kwa kifupi nilipatia biashara na locations) nikaamua kununua gari ndogo ya kutembelea kama 10M kipindi hicho, lakini ninachomshukuru Mungu sikuwa mtu wa Mademu kabisa, nilikua na demu mmoja tu halafu 1st yr kwa wakati huo, kwa kua nilikua na uchumi halafu niko busy mara nyingi nilikua nikitaka mzigo alikua akinipatia maana pia alikua akiniogopa(pesa huleta msimamo na heshima) japo nae alikua hapati shida ndogo ndogo, Pombe nilikua nagusa occasionally (kwa matukio) mfano kwenye birthday za chuo, outing na washikaji mara moja moja,

Mwaka wa nne nikanunua kiwanja changu cha kwanza kikiwa na boma milion 12(jamaa alikua na shida sana), yaani hapo mambo yamejipa si kitoto, ila sikua na wazo la kusema sijui niache chuo, yaani nilikua matured mpaka wakati huu hua nashangaa nilikuaje

baadae niliongeza biashara zikawa nne na zote zimepamba moto, halafu nilikua yanki tu, ilipelekea chuo kizima kujulikana. lakin wengi walikua hawanijui kwa sura kwamba ni mimi, wanajua baadhi ya biashara zangu na jina kwa kuambiwa.

Pia watu wengine walikua wakisikia story zangu na biashara zangu na wakija kuoneshwa kua ni mimi wakawa hawaamini, kwasababu pia sikua mtu wa matukio wala magroup, nilikua na circle ndogo tu ya washikaji wa damu ikikaribia mitihani labda UE, wiki nzima nakesha library na madarasani (nilikua sifanyi discussion kwa kua sikuzoea kabisa toka kusoma kwangu kote), biashara nafanya kwa kuwapigia simu wafanyakazi na kutembelea kidogo, kiufupi nili delegate usimamizi ila nilikua mkali sana kwenye biashara, ukizingua huna kazi,

Namshukuru Mungu sikuwahi kupata Supp ya somo lolote mpaka namaliza chuo.

Mpaka namaliza chuo nilikua na mtaji kama 97M ukiongeza na hiyo asset ya kiwanja nilipomaliza tu baada kama ya miezi mitatu nikapata ajira gvt, kiukweli biashara ilikua hot sana, niliomba ajira kama kujaribu kwakua home walikua wakinisihi sana na hawakujua kama mtoto wao huku mambo yalishajipa,(sikuwah kuwaambia chochote), na home ilikua mkoa wa mbali sana nilienda kuanza kazi nikiwa na mtaji wa zaidi ya milioni 100 (biashara, assets na Cash).

Inshort niliajiriwa nikiwa tayar nimetoboa, japo kazi za serikali zimerudisha nyuma biashara zangu, ila si sana (nitakuja kusimulia siku nyingine).

Lakini mpaka leo hua siamini ninachokiona, maana nilikula U-turn ambayo ilibadilisha maisha yangu, sijui ningekomaa na shule tu leo ningekua wapi lakini naishikuru biashara imenipa kila kitu nilichotaka tena katika umri mdogo ambao nilichanganya na masomo pia.

Tuliochanganya elimu na biashara na tukatoboa kotekote tukutane hapa.

JamiiForums-702651177.jpg
 
Ni miaka mingi sasa imepita tokea nimalize elimu yangu ya shahada(degree) kwenye moja ya top three ya kozi ngumu sana hapa Tanzania,
Lakini leo nitapenda kutoa ushuhuda wangu namna elimu yangu ya chuo ilivyokua , kupata mafanikio makubwa ya kibiashara na kupelekea watu wengi kunishangaa

Kiufupi kwenye elimu ya sekondari na kidato cha tano mimi nilikua msongo, nikisema msongo namaanisha msongo haswa to the extent kwamba, Olevel nilibeba vyeti 8 kati ya tisa, na Advance nikiwa nasoma sayansi nilibeba vitatu kati ya vitano
na kwenye matokeo ya mwisho ya olevel na alevel nilifanikiwa kuibuka kinara,

hii si mada ya leo, ni chombeza tu, sasa twende kwenye mada ya leo

baada ya kuchaguliwa elimu ya chuo kikuu, Semester ya Kwanza nilikua napenda shule sana na hata wale wasongo ilifikia sehemu tukipewa pepa zetu(maana kuna baadhi ya masomo walikua hawabandiki matokeo), lazima waje kuconfirm nimepata ngapi, maana wasongo hua wanajuana,
haikua case,
Kufika mwaka wa pili akili ikawa haitaki kukomaa na shule muda wote nawaza biashara tu,
nikaanza biashara mdogo mdogo ilivyokolea nikawa ni mzee wa kudoji mapindi, nachukua slides kwa wana napiga msuli, napiga pepa biashara imeisha.

Mwaka wa tatu biashara zikawa zimeninyookea wakuu, yaani nilikua na biashara kama tatu halafu zote zinalaza pesa nzuri sana(kwa kifupi nilipatia biashara na locations)
nikaamua kununua gari ndogo ya kutembelea kama 10M kipindi hicho, lakini ninachomshukuru Mungu sikuwa mtu wa Mademu kabisa, nilikua na demu mmoja tu halafu 1st yr kwa wakati huo, kwa kua nilikua na uchumi halafu niko busy mara nyingi nilikua nikitaka mzigo alikua akinipatia maana pia alikua akiniogopa(pesa huleta msimamo na heshima) japo nae alikua hapati shida ndogo ndogo, Pombe nilikua nagusa occasionally (kwa matukio) mfano kwenye birthday za chuo, outing na washikaji mara moja moja,

Mwaka wa nne nikanunua kiwanja changu cha kwanza kikiwa na boma milion 12(jamaa alikua na shida sana), yaani hapo mambo yamejipa si kitoto, ila sikua na wazo la kusema sijui niache chuo, yaani nilikua matured mpaka wakati huu hua nashangaa nilikuaje

baadae niliongeza biashara zikawa nne na zote zimepamba moto, halafu nilikua yanki tu, ilipelekea chuo kizima kujulikana. lakin wengi walikua hawanijui kwa sura kwamba ni mimi, wanajua baadhi ya biashara zangu na jina kwa kuambiwa.

Pia watu wengine walikua wakisikia story zangu na biashara zangu na wakija kuoneshwa kua ni mimi wakawa hawaamini, kwasababu pia sikua mtu wa matukio wala magroup, nilikua na circle ndogo tu ya washikaji wa damu
ikikaribia mitihani labda UE, wiki nzima nakesha library na madarasani (nilikua sifanyi discussion kwa kua sikuzoea kabisa toka kusoma kwangu kote), biashara nafanya kwa kuwapigia simu wafanyakazi na kutembelea kidogo, kiufupi nili delegate usimamizi ila nilikua mkali sana kwenye biashara, ukizingua huna kazi,

Namshukuru Mungu sikuwahi kupata Supp ya somo lolote mpaka namaliza chuo.

Mpaka namaliza chuo nilikua na mtaji kama 97M ukiongeza na hiyo asset ya kiwanja
nilipomaliza tu baada kama ya miezi mitatu nikapata ajira gvt,
kiukweli biashara ilikua hot sana, niliomba ajira kama kujaribu kwakua home walikua wakinisihi sana na hawakujua kama mtoto wao huku mambo yalishajipa,(sikuwah kuwaambia chochote), na home ilikua mkoa wa mbali sana
Nilienda kuanza kazi nikiwa na mtaji wa zaidi ya milioni 100 (biashara, assets na Cash)

Inshort niliajiriwa nikiwa tayar nimetoboa, japo kazi za serikali zimerudisha nyuma biashara zangu, ila si sana (nitakuja kusimulia siku nyingine)
Lakini mpaka leo hua siamini ninachokiona, maana nilikula U-turn ambayo ilibadilisha maisha yangu, sijui ningekomaa na shule tu leo ningekua wapi lakini naishikuru biashara imenipa kila kitu nilichotaka tena katika umri mdogo ambao nilichanganya na masomo pia.

Tuliochanganya elimu na biashara na tukatoboa kotekote tukutane hapa.View attachment 2754884
I remember those days .
Old is Gold
Popote mlipo wanangu wa chuo kimoja na mimi Mungu awatimizie ndoto zenu , yule boss wenu kwasasa niko nasubiri hazina iteme ila sio boss tena wanangu .

Starehe zimenifunza mengi ambayo najua kilikuwa ni kikombe ambacho niliandikiwa nikinywe tu .

Thanks God kwa huu uzima ulionipa .
 
pole sana mkuu
Mwenyezi Mungu akikuepusha na starehe kwenye foundation nyumba lazima isimame
 
Tupo pamoja toka mwanzo , ila hapo kwenye part ya mafanikio kwangu ilikuwa ngumu mno, more than hard.

Nilifungua biashara ya kwanza Ubungo ikagoma, usimamiz mmbovu.
Mwaka wa pili nilikuwa na matokeo kawaida sana... 3rd yr nikafungua nyingine.. kidogo nishindwe kabisa kulipa Ada.

Biashara ya tatu ndio ikakubal, ila badae nikatafuta dogo nikachanganya na kaz kukuza mtaji nilipomaliza masomo.

Baadae nikaacha kaz na mengine ni story ......
all the best mwamba.
 
hongera kwa uthubutu, wakati mwingine ni bahati tu ndugu yangu
 
Mwongo umeajiri vijana wenzio wa seco na vyuo wangapi?
Elimu ya chuo kikuu ni kukuandaa kuwa mwajiri
Ukituletea story za kumiliki alteza na shamba ekari mbili chanika ushafel🤣🤣
 
Mwongo umeajiri vijana wenzio wa seco na vyuo wangapi?
Elimu ya chuo kikuu ni kukuandaa kuwa mwajiri
Ukituletea story za kumiliki alteza na shamba ekari mbili chanika ushafel
pole sana
sasa kwa akili yako unafikiri hizo biashara zinaendeshwa na robots,
kuna watanzania wenzako wengi wao na familia zao wananeemeka kiasi

btw hongera nawe kwa kuandika hapa, unajisikiaje
 
Mkuu hizo biashara nne za boom zilifananaje?

Ulkusanya million ngap kwa mwaka mmoja had ifkie hyo mitaji?

Hii story yako kama imejaa miujiza hivi
 
Mkuu hizo biashara nne za boom zilifananaje?

Ulkusanya million ngap kwa mwaka mmoja had ifkie hyo mitaji?

Hii story yako kama imejaa miujiza hivi
hii siyo story mkuu ni reality, na ndiyo maisha ninayoishi mpaka sasa japo biashara nimezipunguza sababu ya ubusy wa kazi za umma na masomo ughaibuni

ukitaka nikuelezee A mpaka Z , aisee itabidi nifungue uzi mwingine maana haikua jambo la siku moja
lakin baadhi ya biashara hizo zilikua pikipiki kadhaa(boda), Duka la vifaa vya ujenzi, na nyingine kubwa mbili sitazisema hapa

lakini kusema ukweli Mungu alikua upande wangu, ndiyo maana nimeleta ushuhuda hapa
ili kama kuna mtu nae alitusua akiwa chuo kiasi cha kutohitaji ajira, basi alete ushuhuda pia,
 
Mkuu me nadhani Kuna ya kuelezea deep hasa kuhusu ulivyosave pesa yako, ya boom hadi kutengeneza hizo biashara , maana naona Kama haiwezekani bila kupata back up ya wazazi na Kama hiyo pesa ilikuwa ya wazazi basi ni Jambo la kawaida
hii siyo story mkuu ni reality, na ndiyo maisha ninayoishi mpaka sasa japo biashara nimezipunguza sababu ya ubusy wa kazi za umma na masomo ughaibuni

ukitaka nikuelezee A mpaka Z , aisee itabidi nifungue uzi mwingine maana haikua jambo la siku moja
lakin baadhi ya biashara hizo zilikua pikipiki kadhaa(boda), Duka la vifaa vya ujenzi, na nyingine kubwa mbili sitazisema hapa

lakini kusema ukweli Mungu alikua upande wangu, ndiyo maana nimeleta ushuhuda hapa
ili kama kuna mtu nae alitusua akiwa chuo kiasi cha kutohitaji ajira, basi alete ushuhuda pia,
 
Hizo hustle zako mimi nakubali kabisa kaka na pia ulipata bahati sanaa watu ulofanya nao kazi walikuwa wamenyooka

Kwa upande wangu nilifanya biashara nikiwa bado nasoma chuo nikafikisha 10M bahati mbaya corona ikajaa ikalamba mtaji wote ukakataa

After chuo nikajichanga tena mtaji wa 15M kutokea internship ninavyozungumza now mtaji unakaribia 100M sijawahi kuajiriwa wala sina mpango wa kuajiriwa tena.MUNGU ni mwema tuzidi kupambana wakuu na tusichoke kupoteza kwenye biashara kupo cha msingi ni kutokata tamaa

READ,LOVE AND LEARN
 
Back
Top Bottom