PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

Mimi nilichaguliwa Bachelor of Vertenary medicine pale SUA mwaka 2011..
Sikwenda....
Nauliza je naweza kuAPPLY tena TCU..?
 
Na kama heslb nilikwenda kusitisha mkopo inakuaje mwaka huu nikiomba TCU na kupata kozi ya priority je heslb watanipa

kama umeshakaa nyumbani zaidi ya miaka mitatu uwezi pata.
ila jaribu mambo yanabadilika kila siku.
 
mimi nimemaliza kidato cha 4 but private candidate nina B+ ya chem,B ya bio,B ya physcs,C ya engl na kisw,nilfanya hayo tu,nataka ni apply clinical medicine vyuo vya serkal,naomba ushauri wenu.
 
umepasua kuliko fresh from school , omba CO/CM utapata.
 
jamaniii wakuu msaada ndugu yngu PCB akapta hv CCC zote ataweza kupata chuo cha udactari msaada wenu kamaliza mwaka jana ....... hakuapply mwaka jana ....ila mwaka huu anataka .wakuu atapata
 
anataka kuomba kozi gani ya udaktar?
na ni chuo gani?
 
MD au MD LABORATRY alivyo niambia ss luna coz ya medical laboratory kwel ....afu antka kuapply KCMC na bugandoo
 
hyu mtu yuko kijijini huko ..sehemu inaitwa kinmpanda sngida yaani msaada wenu plz
 
nilimaliza form 4 2008 kupitia nacte nime apply certificate ya clinical assistant kwa vyuo vya private..matokeo yangu ni physics-F, chem-C, bio-D, geog-D, math-D na engl-F..je nitapata msaada wako mkuu
 
BRN competition n hataar
 
unanishauri nin mkuu msaada wako plz..au nibadili kozi? na mwaka huu nikikosa...daaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom