Ulifanya registration?
Yaaah ndo wakemia kwenye viwanda vya soda na beer.
Asante MKuu kwa ushauri wako mzuri....na hivi kama mkopo ulisitisha bodi na chuo husika ulichopangiwa haukufanya usajili je ukiomba tena unapata?
Mkuu ckuenda,ht chuo ckuenda kufanya registration
Bodi wanatuma mkopo wako chuoni kwako kila awamu.!!
Hivo ulifanya makosa kutokwenda kujiondoa kwenye system ya waliopata mikopo (heslb) hivyo jaribu kwenda wakakupemaelekezo jinsi gani ya kufanya.
sasa wanatumaje pesa chuoni wakati mimi ckuenda ht form ile ya mkopo ckusain ile wanayasainig ili waandaliwe bumu
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.
Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.
Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.
Unaweza kubadili kozi.Natanguliza shukrani,naomba ufafanuzi kidogo,hivi kama tunavojua HESLB hawatoi mikopo kwa watu waliomaliza zaidi ya miaka mitatu nyuma,labda usomee ualimu au udaktari ndio wanakupa,sasa tuseme nimeomba ualimu na mkopo wamenipa lakini nikifika chuo nikaamua kuchange course sasa hapo bodi wataendelea kunipa au watakatisha hela yao?na kama watakatisha watakatisha kuanzia muda upi mpaka umalize mwaka au on the spot,naomba msaada wenu.mimi nimemaliza form 6 2009 comb ya PCM
Unaweza kubadili kozi.
Chakufanya omba eduction kwenye hicho chuo ambacho kina hiyo kozi unayoitaka kuhamia mfano UDOM ukifika Omba kuhama kozi.
Ila wataangalia kama point zako zina fiti wewe kusoma hyo kozi.
Pia wanaangalia kama nafasi kwenye hiyo kozi zipo au zimejaa.
Kwa hyo cha msingi ni wewe kuomba chuo alafu uwahi kuripoti chuon hapo ili ushughulikie process za kuhama kozi.
Kwani ukichelewa watu wanakuwa washabadili na kujaza nafasi.