PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

Habari zenu wana JF.

Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.

Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.

Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.
daah jamaa unazinguaa kishenzii we si kuna post umetoaa asee kwamba unasoma nursing first year afu unakufaa njaa imekuwaje saiv unafanya tenaa kazii tcu..____??????
 
Baada ya kufanya uchunguzi mdogo tu nimebaini kwamba,
casbias ni ID ya yuleyule anayejiita van dame.

Sababu:

1-Avatar zao zinafanana.

2-Date of birth kwenye profile zao zinafanana hadi mpangilio zote ni 28 October 1994(20)

3-Hoja zao kwenye comments mbalimbali ni zilezile zenye mfanano.

Huyu dogo aliweka mada humu jamvini mnamo February mwaka huu akiulizia minimum requirements za Bachelor of Medical Laboratory ya MUHAS na KCMCo lakini from nowhere amekuwa 'mideretor' wa TCU nakujifanya kujibu maswali yenu.

Kwa hiyo asiyejua anaongoza wasiojua wenzake kwa kuwa yeye ana kamwanga walau kakujitofautisha nao.

MY TAKE:
Kama ameweza kuwadanganya kuwa ni 'mideretor' wa TCU basi kuna mengi zaidi amewapotosha kwenye hayo maswali yenu so tafuteni watu wenye uelewa out there ili msipotoshwe mkapotezewa malengo yenu.

Na kwa wale aliowafariji nashauri msubirie TCU guidebook ya 2015/2016 mjionee wenyewe hizo minimum requirements.
Tyta kama hutojali unaweza tusaidia kumuumbua huyu 'mideretor' basing kwenye maelezo yangu ya hapo juu (date of birth,avatar,started thread ya casbias ile ya February)
Watu walikuwa wanamuumbua.
 
mhh ni bahati kupata mtumishi wa tcu anajibu kwa ustaarabu hivi maana wengine majibu yao hutatamani kuuliza tena, shukran sana mkuu.
Teh teh nacheka sana watu walivyokuwa wakifikiri nimtumishi wa TCU kumbe mwaka huu ndio kaanza first year.

Kweli Jf kila mtu ni boss.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom