PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

Ahsante ila naomba unijuze kwa ufupi tu kwann nisiombe

cutting point za uhakika kwa MD ni 7 au zaidi. Na wewe hapo una 5, kuna vyuo kama st.francis wanachukua mpaka 5 lakini ni suala la kubahatisha.
pia kumbuka wanafunzi wa kike wanapewa priority sana kuliko boy. so if you are a girl go and try. . kinyume na hapo we ndio ujaze MD lakini angalau chaguo la pili uweke MEDICAL LABORATORY na machaguo mengine kadri unavyotaka.
 
Je kama mtu alikwenda chuo alichopangiwa then kutokana na matatizo ya mkopo akaamua kuacha ataweza chaguliwa mwaka huu akiomba tena upya??????

Ulifanya registration au?
 
Habari zenu wana Jf.
Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU.
lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.
Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.
Njoo hapa uliza chochote nkusaidie.
Ili usije kosea tena mwaka huu.

Na huyu mdogo wangu wa Udom alieacha chuo, alipangiwa Education na marks za CBB kwa comb ya Pcb.
unamshauri nini?
 
hivi wadau wa jf naomba kuuliza.
mfano mtu umepata dvs nzuri tu either one or two.
alafu kwenye machaguo yako ukajaza ya mwisho education.
je? utapangiwa education hata kama unafit kusomea udaktari na unavigezo! na competition umeimudu vizuri.
 
nna three ya point 11, nna phys- C,chemstry- B na biology-C,je nnaweza kuomba MD this yr? Nlimaliza mwaka jana form six na form four i had div.one ov 17
 
nna three ya point 11, nna phys- C,chemstry- B na biology-C,je nnaweza kuomba MD this yr? Nlimaliza mwaka jana form six na form four i had div.one ov 17

Yaaah unaomba ila avoid vyuo vya competiton.
Jaribu archbshop kwan wengi pale ni dvs3 na st frances hawana competition.kivilee
 
hivi wadau wa jf naomba kuuliza.
mfano mtu umepata dvs nzuri tu either one or two.
alafu kwenye machaguo yako ukajaza ya mwisho education.
je? utapangiwa education hata kama unafit kusomea udaktari na unavigezo! na competition umeimudu vizuri.

Si kweli
 
mi PCM.nilimaliza 2009,mwaka jana nilikosa niliomba civil mbeya na petrol udom.nina 3 ya 15,nishaur nianzia vyuo gan ambavo havina ushindan napenda civil au electr

jaribu st joseph university utapata
 
Ndg nauliza je ktk kuchugua mnachagua kuanzia chaguo la kwanza mpaka la mwisho?? Au zig zag,mbeya university na dit vinaushindan sana??
 
utakuwa unatumia TECNO P6 kwani huwa una andika neno yenyewe inakuwekea altenative zake
 
Ndg nauliza je ktk kuchugua mnachagua kuanzia chaguo la kwanza mpaka la mwisho?? Au zig zag,mbeya university na dit vinaushindan sana??

yaah sisi atujiahughulishi kwnye machaguo yenu bali ni computing system ndo inafanya
na inaanzia first to your fifth selection.
 
kwahyo kama uliahirisha kwa kukosa loan kuna haja ya kuwataarifu TCU na heslb ili usijekosa tena mwaka huu?
 
Mfano uliahirisha mwaka kwa kukosa mkopo (NIL) ila kwnye registration ya chuo ulifanya inakuwaje mwaka huu naanza upya process za TCU?
 
Mfano uliahirisha mwaka kwa kukosa mkopo (NIL) ila kwnye registration ya chuo ulifanya inakuwaje mwaka huu naanza upya process za TCU?

Andika barua chuon kwako wakufute kwenye sistim then ndo uje TCU kuandika barua , kuomba kuahirisha mwaka.
unaomba upya na unapata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom