Habari zenu wana JF.
Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.
Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.
Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.
mkuu mimi nilisoma HGE na nilipata div 2.9 economics B+, geo C, History B lakini nilisitisha kujiunga na chuo kwa mwaka jana kutokana na matatizo ya mkopo kwa mwaka huu ninahitaji kuchagua vyuo vya ardh, ud au sua vp ninaweza kufanikiwa katika hilo? lakini sio education. pia nifanye nn ili nifakiwe katika hilo?
unataka kuomba kozi gani?
ninataka kuomba land valuation kwa Aru, ud ni Bcom na Sua Agro business
ndyo ardh kuna watu wana dvsn two wapo kwnye koz nzur tu.kilichopo tulia na guide alafu fanya maamuzi sahihi pia usijaze kozi ambayo ni non priority kwan umeshakaa nyumbn ili lisjirudie tena.
PCB walioahirisha masomo ni wengi saana .
hata mimi ndugu yangu aliacha kusoma UDOM alichaguliwa Edctn, na alipata Phy C Chem B Biol B Bam B akarudi nyumbani Mwanza na kwa sasa ana make mkwanja tu.
Habar za Chuo kasha sahau, ila mwaka huu ataomba tena.
Mwingine nae ni PCM yeye hata chuo akuripoti baada ya kukosa Engineering alipata dvsn 1.7
Phys B Chem B+ Maths B+.
Kwa sasa wapo kitaa wana make mkwanja.
ila mwaka huu wataisoma guide vizuuuri .
Hawatabugi step tenaaaa.