PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa

Mimi ni mdau nliepiga 3 ya 11 an phyC chemC na biosB mwaka jana nikawa not selected due to prgrm cmpttn cos nlijaza MD zote vyuo tafauti tafauti sasa lengo langu ni MD mwaka huu nifanyaje, piga garagaza maana ndio ndoto yangu
 
Mimi ni mdau nliepiga 3 ya 11 an phyC chemC na biosB mwaka jana nikawa not selected due to prgrm cmpttn cos nlijaza MD zote vyuo tafauti tafauti sasa lengo langu ni MD mwaka huu nafanyaje, piga garagaza maana ndio ndoto yangu

Archbishop ndo chaguo lako la kwanza MD.
 
Nimemaliza mwaka jana; nina 3 ya 11, physC chemC na biosB nikawa not slected due to program competetion, nlijaza MD mara 4 vyuo tafauti tafauti na pharmacy 1, sasa mwaka huu nahitaji kusoma MD hata HkMU. What to do?
 
Habari zenu wana JF.

Mimi ni mmoja kati ya Miderector wanao dahili wanafunzi TCU. Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kuwapa mawazo na mbinu katika uchaguzi wa vyuo kulingana na matokeo yako.

Kwani mwaka Jana wengi walijikuta wakipoteza malengo ya udaktari huku akiwa amepata dvsn three za mwanzoni wengi walikosa kwa sababu ya competition.

Njoo hapa uliza chochote nkusaidie, Ili usije kosea tena mwaka huu.

Mimi nilimaliza mwaka jana nilipata physcs-D.Chemistry-B Biology-B BAM-B nataka nichague MD. Kwa mlolongo huu je ntakuwa sahihi
Bugando, Archbishop, KCMC, HKUM, SFUCHAS?

Naomba ushauri.

2.Kingine wakati wa udaili munaangaliaga vitu gani vitatu muhimu vinavyo mfanya mtu awe succesfully selected?
 
Mimi nilimaliza mwaka jana nilipata physcs-D.Chemistry-B Biology-B BAM-B nataka nichague MD. Kwa mlolongo huu je ntakuwa sahihi
Bugando, Archbishop, KCMC, HKUM, SFUCHAS

Naomba ushauri.

2.Kingine, wakati wa udaili munaangaliaga vitu gani vitatu muhimu vinavyo mfanya mtu awe succesfully selected?

Jaza MD tatu za mwanzo halafu mwisho changanya kozi mbili tofauti.
ikiwezekana hata education.Ila udahili unafanywa na computer kwa program maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kudahili.
pia udahili ni kama kamali.
Ukikosa your frst choice inakutupa second then to thrd and so on.
 
na kingne mkuu vyuo kama st .francis...IMTU na other prvt unapewa mkopo na ukisomea MD na ajira unapangiwa or unaaplly mwnywe
 
ni vigezo gani mkuu ndo mwataka mtu achaguliwe MD moja kwa moja mkuu

1.point zako.
2.competition.
kama chuo kinataka watu 150 na walioomba ni 400 then ufaulu wako ndo utakuponya.
 
na kingne mkuu vyuo kama st .francis...IMTU na other prvt unapewa mkopo na ukisomea MD na ajira unapangiwa or unaaplly mwnywe

Ata uwe graduate wa muhas lazima aandike barua kuomba ajira kama graduates wa st frances au imtu pia kampala.
mkopo wote wanapewa kozi hizo ni priority hata usomee kampala.
 
mimi nina chemi B, physics C na biology B+ nimeapply clinical medicine vip naweza chaguliwa nimechagua kilosa na lugalo
 
mkubwa mimi nina dvs iv ya CCE je nkiomba koz hiz watanchukua Mv, medical laboratory, pharmace
 
mkubwa mimi nina dvs iv ya CCE je nkiomba koz hiz watanchukua Mv, medical laboratory, pharmace

yaah kampala 80% ya graduates wa medical lab ni dvs4 omba kampala uwezi jutia.
kwani nafasi za medcl lab kampala uwa hazijai .
 
mkuu kuna course yyte kwa mwana art mnayoipa kpaumbele tofaut na EDUCATION?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom