Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,325
- 5,543
Duh kupitia hiyo list nimejikuta kumbe na mimi muhenga.Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku...
37% of GDPTaja deni la taifa kwa sasa tafadhali.
Hapo ndio umetaka eeti?37% of GDP
Unamtukana ufipa mwenzio!!!Mnapenda kua wa kwanza, msije kua wa kwanza kukalia mkuyenge😁
Na wala hakukuwa na sababu za kusherehekea. Ugonjwa umeisha kama moto wa mabua?Hapa wamechemka, mapema sana kusheherekea.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.
Danieli 1:5,8,10,12-13,16,18-20Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku...
you nailed itDanieli 1:5,8,10,12-13,16,18-20
[5]Huyo mfalme akawaagizia posho ya chakula cha mfalme, na ya divai aliyokunywa, akaagiza walishwe hivyo muda wa miaka mitatu; ili kwamba hatimaye wasimame mbele ya mfalme...
Wanacheza na maisha ya watu hawa.Na wala hakukuwa na sababu za kusherehekea. Ugonjwa umeisha kama moto wa mabua?
nimo pote humo siku hiyo siji najifukiza tu sitaki tabuMkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku...
Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku.
Kama uliwahi:
1. kushuhudia maduka ya ushirika, RTC, TES au
2 uliwahi kuyaona maduka ya viatu ya BORA na MORO SHOES better yet.
3. kama uliwahi kujipaka mafuta ya Yu au Yolanda...
Unakufuru ujue, na Mungu siyo binamu yako.Na Mungu atusaidie, Huu ni ushindi mkubwa kwa wote wanaomwamini YESU.
Yesu alisema ukiwa na imani kama punje ya haradali basi waweza amisha milima, imani ya MAKONDA na MAGUFULI ndiyo YESU amezungumzia, nakwambieni maisha yanarudi kama zamani, piga keleleeeeeee
Umechelewa kaka. Propaganda na siasa tayari zimeshatake overMtanzania ni mtu wa namna ya kipekee duniani. Kama masihara corona imechemka yenyewe. Siwezi kuamini kuwa maombi yamefanya kazi, wala Siwezi kuamini kuwa juhudi za wizara ya afya zimefanya kazi. Ni kinga ya asili ndio iliyofanya kazi. Juhudi tulizochukua huku Afrika na Tanzania juu ya COVID 19 ni kiduchu sana...