Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

Calm down calm down baharia wa nchi kavu.
Lugha za watu zina taratibu zake.
Umekosea rekebisha (edit) maisha yaende mbele au nyamaza kama huwezi kurekebisha.
Unaponyanyua kifua juu kana kwamba umepatia sasa hapo unajidhalilisha baharia.
First mm sio baharia
Seconf i know nimekosea.. thats why nikaandika upya ili uelewe.
Third sija panic.. sipanick over vitu vidogo kama hiv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tuhamasishane kwa ujumla wetu chini ya viongozi wetu wa dini kuitikia maombi ya shukrani. Tumshukuru Mungu kwa kutuepusha na janga kubwa la corona. Nchi za wenzetu walikuwa wanazika maelfu kwa siku, sisi huku kwetu haikuwa hivyo.

Ni NEEMA tu ya Mungu kwetu na hatuna budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Tuandae sadaka ya shukrani kwa wale wanaoelewa maana ya sadaka ya shukrani.

Kwa wasioelewa kuna siku wataelewa na kuanza kutoa pia sadaka ya shukrani. Hilo lisitugawe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka ni jambo jema. Ila takwimu kwanza maana tuliona watu wengi wakizikwa usiku usiku na wasiojulikana hiyo ni damu imemwagika.

Tukiingia kisiasa ktk maombi haya tegemea jambo hili kulipuka tena na hakuna ataye salimika hasa wanafiki wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye "Thanksgivings" kwa sababu tumeacha kutoa takwimu halisi za visa vipya vya Corona, ama kwa usiri mkubwa wa kuficha idadi halisi ya vifo vitokanavyo na gonjwa hili, ama kwa ajili ya kuonyesha tunajali sana uchumi wetu badala uhai wa watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanzania ni mtu wa namna ya kipekee duniani. Kama masihara corona imechemka yenyewe. Siwezi kuamini kuwa maombi yamefanya kazi, wala Siwezi kuamini kuwa juhudi za wizara ya afya zimefanya kazi. Ni kinga ya asili ndio iliyofanya kazi. Juhudi tulizochukua huku Afrika na Tanzania juu ya COVID 19 ni kiduchu sana.

Tusherehekee hili lakini wanasiasa tafadhali msichukue ujiko kupitia hili maana kama Corona ingekuwa Afrika ina makali kama yale ya ng'ambo tayari mlishatuuza kwa bei rahisi.

Makonda ndiye aliyekuwa namba 1 kuonyesha juhudi kuwapigania watu wake ingawa alikutana na changamoto mpaka akawa mpole.

Makonda sometimes ni mtu poa sana
 
Mtanzania ni mtu wa namna ya kipekee duniani. Kama masihara corona imechemka yenyewe. Siwezi kuamini kuwa maombi yamefanya kazi, wala Siwezi kuamini kuwa juhudi za wizara ya afya zimefanya kazi. Ni kinga ya asili ndio iliyofanya kazi. Juhudi tulizochukua huku Africa na Tanzania juu ya COVID 19 ni kiduchu sana...
Umeandika vema kabisa! Mtaji mkubwa CCM ni ujinga/Ujiha/upumbau wa 99.999% Tanzanians! Hiyo 0.1% ndio akna say Zito wanaojitambua!
 
Mkuu wa mkoa ametaka jumapili tucheze mziki mnene kusheherekea kuisha kwa Corona.
Ila Ushauri tu, aache siasa kwenye maisha ya watu, atadaiwa damu hii kuanzia kwa Keegani mpaka kizazi cha nne.
Nawashauri watu wafuatao wasitoke nje hiyo siku.

Kama uliwahi:
1. kushuhudia maduka ya ushirika, RTC, TES au
2 uliwahi kuyaona maduka ya viatu ya BORA na MORO SHOES better yet.
3. kama uliwahi kujipaka mafuta ya Yu au Yolanda.
4. kama uliwahi kutumia UNGA WA YANGA .
5. zile dawa za mbu za.kuchoma za duara
6 na kama ulivaa chupi za VIP,
7.kama ulivaa raba za DH, mashati ya mchelemchele, raba mtoni, suruali za Kodrai.

... tafadhali baki nyumbani Sunday. Spare your antibodies kwa matumizi mengine this virus can kill you and render you in a bad shape.
 
Back
Top Bottom