Paul Makonda aita press conference kujisafisha

Paul Makonda aita press conference kujisafisha

nilichogundua.ndani ya chama cha mapinduzi hakuna tena.mahadili kilicho baki ni utovu wa nidhamu na kukosa haya.maadili yaliyo baki ndani ya ccm ya leo.ni matusi.kuhunga mkono maovu.na mabavu. ndio falsafa ya chama kwa sasa. uhadilifu.uwajibikaji.demokrasia.na uwazi.ni kama uhaini ndani ya chama cha mapinduzi.
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Lizaboni;
Asante saana tena saana kwa ushauri wako mzuri mno. Sema pelekeni ushahidi policcm! Si ndo ukweli huo? Mkulima mmoja mahindi yake machanga yaliliwa na nyani. Mkulima akamkamata nyani kwa sababu nyani alishiba saana akalala usingizi tena kando tu ya magunzi.
Akiwa njiani kumpeleka nyani kwenye adhabu anayo stahili, akakutana na tumbili, tumbili akamwambia, hana haja ya kwenda mbali. Ataitisha kikao cha wanyama woote amhukumu huyo nyani mbaya. Hivi kweli huyo mkulima kama ana akili atampa tumbeli hiyo kesi?
Sawa bwana Lizaboni, ushauri tumeusikia, mwenye ushahidi aende policcm. Atapata haki na bakshishi pia, kama si kung'olewa kucha na hilo jicho lililoona.
Hujasikia ya TPDC? Funika kombe....
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Ushahidi huu hapa wa picha na waandishi walioshudia tukio, amehusika directly and indirectly!
 
una ushahidi kuwa makonda kampiga warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalani
kelele we bi kiroboto kama kutumika unatumika wewe nyoooo muwa we ukishaliwa unatemwa
 
Jamani Warioba na Watanzania Tumefanyiwa kitu mbaya sana Jana. Hii yore ni kwa uratibu wa ccm na serikali yake.
lakini hii imekuwa ni tabia ya Ccm. Wabunge wa Ilemela na Ukerewe walikatwa mapanga kwa uratibu wa ccm mpaka Leo watuhumiwa hawajakamatwa. Mbunge wa viti maalum alidhalilishwa katka uchaguzi wa kalenga kwa Uratibu wa ccm na Rpc wa iringa hakuna hatua zimechukuliwa. Achilia mbali mamia kwa makumi ya watanzania walioteshwa wakati wa Tokomeza lkn mpaka sasa hakuna hatua zimechukuliwa.
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

wewe ni mpumbvu,cdm ndiyo walete!hao wote wameandaliwa na ccm,makonda akiwa kama msimamizi,aliendea nini humo?kama siyo kuhakikisha wanateleza azma ya ccm.
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Kwani Warioba hamfahamu huyo Makonda, Kakonda ................... Anaconda!!

Tusubirini Mzee wa watu atakuja kuzungumza. Naamini, jana haukuwa ni mwisho ya yote!!
 
Dola isipifanyia hili kazi,
Natabiri machafuko mbeleni!
 
Acha kujipa sifa ambazo hazipo. Laana ya kutumikia mafisadi inakuandama.

Wewe kiazi kweli, nani asiyejua kuwa sisiem ya akina Makonda and the like ni mafisadi au watumishi wa mafisadi ambao hata wewe unawatumikia? Unajitoa ufaham wakati ukweli unaujua... Mnafiki tu!
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Hivi unaweza kupanda mahindi utarajie kuvuna karanga?? Amevuna alichopanda!! Pengine litakuwa somo tosha kwake sasa aanze kuwa independent maana ni hatari sana kuwa na kijana anayeishi kwa kuongozwa na remote.
 
kama ccm wamefikia hatua ya kufanya ujinga huu, kweli wameishiwa sana. wanaipeleka taifa kusiko
 
jamani haya mambo ni uhalisia kweli maana wengine hatukuona kabisa
Hata mimi nimemsikia asubuhi akihojiwa clouds FM, PB kuwa ameitisha press conference ili aweze kuzungumza kilichotokea.

Clouds kama kawaida yao naona wamempa airtime Makonda ili ajitetee mbele za watu.
 
Back
Top Bottom