Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju
Una ushahidi kuwa Makonda kampiga Warioba? Kama unampenda huyo babu wako si ungeenda jana kumlinda na kumtetea? Umejaa unafiki tu na ufedhuli kama dada changu. Haya ndo madhara ya kutumika. Yaani hadi unatia huruma. Utatumika wee mwisho wa siku unatupwa jalalani
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa

Mbona sijaona alichofanya Makonda kwenye vurugu zile, mbona anaongelewa sana humu?
Huyu Makonda lazima atakuwa amevuta bange, inakuwaje kijana mzima anapiga mtu mwenye umri kama baba yake.Mkuu, kwani na wewe unaungana na kibo10?
Viongozi wote wa zamani wametulia, huyo mzee wetu warioba atakuwa ana matatizo sio bure, huwezi acha mzee mwenye heshima kama warioba atumike kama taulo la gesti, aliyemvunjia heshima warioba sio makonda bali nyinyi whu wa ukawa mnaotaka kumharibia huyo mzee sifa na heshima yake. na yeye mwenyewe kwa umri aliokuwa nao ni umri wa kukaa nyumbani na kutoa mawazo tuu, ili aendelee kuheshimika, siasa za majitaka hizi na kupendelea upande mmoja inamharibia jina na kikubwa anaiabisha familia yake.
YEYE KAMA MWENYEKITI MSTAAFU WA TUME ALITAKIWA AKAE KIMYA ASIEGEMEE UPANDE WOWOTE. KAMA ALIONA RASIMU YAKE YA KATIBA IKO SAWA NA HAIITAJI MABADILIKO ANGETOA MAPENDEKEZO TUIPIGIE KURA MOJA KWA MOJA NA ISIENDE BUNGENI.
Rasimu inamaanisha sio mwisho inaweza kuongezwa au kupunguzwa vitu mwisho wa yote itarudi kwa wananchi yeye anaipinga kama nani? asubiri atumie demokrasia yake kama mtanzania aikatae itakapoletwa kwetu wananchi tuamue. otherwise atulie tu, mwisho wa ubaya aibu,anataka kuibomoa CCM mwisho wa yote na utu uzima ule anaaibika tena Nchi Nzima na dunia wanaona live.
HATA MUMPONDE MAKONDA KWA KIASI GANI AIBU ALIYOIPATA WARIOBA NI YA KUJITAKIA NA HAITAKUJA KUFUTIKA MILELE. KWELI NJAA MWANAHARAMU NYERERE ALIACHA MVI NA UZEE KAMA BUSARA NA KIMBILIO LA WENYE KUHITAJI MSAADA WA FIKRA LEO HII MIZEE YETU IMEJAA MVI KICHWANI NA BUSARA ZAO WANATUMIA KUHAMASISHA VURUGU.
Huyu bwana ana vimba kuchwa madaraka bado hawajashika. Wakikamata madaraka sihui itakuaje!Asubuhi kwenye PB Makonda alisema yuko jim au ndio matokeo ya kutandikwa mbavu . Huyu jamaa nidhamu ziro. Ameacha kumtukana Lowasa siku hizi amemrukia Mzee Warioba.
Viongozi wote wa zamani wametulia, huyo mzee wetu warioba atakuwa ana matatizo sio bure, huwezi acha mzee mwenye heshima kama warioba atumike kama taulo la gesti, aliyemvunjia heshima warioba sio makonda bali nyinyi whu wa ukawa mnaotaka kumharibia huyo mzee sifa na heshima yake. na yeye mwenyewe kwa umri aliokuwa nao ni umri wa kukaa nyumbani na kutoa mawazo tuu, ili aendelee kuheshimika, siasa za majitaka hizi na kupendelea upande mmoja inamharibia jina na kikubwa anaiabisha familia yake.
YEYE KAMA MWENYEKITI MSTAAFU WA TUME ALITAKIWA AKAE KIMYA ASIEGEMEE UPANDE WOWOTE. KAMA ALIONA RASIMU YAKE YA KATIBA IKO SAWA NA HAIITAJI MABADILIKO ANGETOA MAPENDEKEZO TUIPIGIE KURA MOJA KWA MOJA NA ISIENDE BUNGENI.
Rasimu inamaanisha sio mwisho inaweza kuongezwa au kupunguzwa vitu mwisho wa yote itarudi kwa wananchi yeye anaipinga kama nani? asubiri atumie demokrasia yake kama mtanzania aikatae itakapoletwa kwetu wananchi tuamue. otherwise atulie tu, mwisho wa ubaya aibu,anataka kuibomoa CCM mwisho wa yote na utu uzima ule anaaibika tena Nchi Nzima na dunia wanaona live.
HATA MUMPONDE MAKONDA KWA KIASI GANI AIBU ALIYOIPATA WARIOBA NI YA KUJITAKIA NA HAITAKUJA KUFUTIKA MILELE. KWELI NJAA MWANAHARAMU NYERERE ALIACHA MVI NA UZEE KAMA BUSARA NA KIMBILIO LA WENYE KUHITAJI MSAADA WA FIKRA LEO HII MIZEE YETU IMEJAA MVI KICHWANI NA BUSARA ZAO WANATUMIA KUHAMASISHA VURUGU.
Watatangaza leo midahalo imefutwa
Na wala sintoshangaa maana tushazoea ubabe wa kijinga