Paul Makonda aita press conference kujisafisha

Paul Makonda aita press conference kujisafisha

Akiendelea tena apigwe tu anatuwangia tu huyu mzee kweli ukiwa mnafiki ujanani, uzeeni unakuwa mwanga na hili warioba ametuthibitishia

Kwanini msiwaache waseme ili Watanzania wachambue wenyewe? Kwanini hamtaki Watanzania waujue ukweli kuhusu katiba yao? Kwanini mnatumia nguvu sana kuwanyima Watanzania kujua ukweli? Kwanini mnatumia nguvu sana kuwanyamazisha wanaotaka kusema kweli? Kwanini hamtaki Katiba ijadiliwe? Kwanini hamtaki wananchi waelimishwe kuhusu Katiba? Kwanini mnaogopa sana hata mnaanza kutumia mabavu? Kama KATIBA PENDEKEZWA imezingatia maoni ya wananchi kwanini mnaogopa sana maoni hayo yanapojadiliwa? Mbona mikutano yenu ya kuhadaa Watanzania haivamiwi? Kwanini ... Kwanini ... Kwanini? Ukiona giza linazidi kuwa nene, tambua kuwa kunaanza kupambazuka.
 
Jamani Hakuwa Tu Waziri Mkuu Bali Alishawahi Pia Kuwa Makamu Wa Rais Wa Nchi Hii. au Mmesahau Wakuu Wangu?
Huyo PM Wala Asikupe Na Asikupeni Taabu Kwani ATAKACHOKIPATA KUTOKA KWA WANA MKOA WA MARA NADHANI KITAKUWA NI FUNDISHO KWA WENGINEO WOTE HAPA NCHINI TANZANIA. Huwezi KUTUDHALILISHIA POTI WETU Halafu WANA MUSOMA TUKAKUNYAMAZIA. Na TUNAMPA PM SIKU 3 TU ZIJAZO KUMWOMBA RADHI MZEE WARIOBA na PIA KUWAOMBA RADHI WATANZANIA Kwa UJUMLA na ASIPOFANYA HIVYO AJUE KUWA VISASI WA WANA MARA HAVIISHI HARAKA na TUTAMLIA Denge HADI ATATAFUTA MWENYEWE SUMU. Na MIMI KILICHONIUMIZA KUPITA KIASI NI KITENDO CHA YULE MAMA WA WATU KUPIGWA MTAMA MZOBE MZOBE na KUPIGWA ZILE NGUMI. Mama wa Watu YULE ALIWAKOSEA NINI? Mimi Na UBALOTELI na USUAREZI Wangu ( UTUKUTU ) HUWA NAWAHESHIMU SANA AKINA MAMA na WAZEE.

Haya mkuu Tunza hasira zako zisipungue hata kibaba kimoja, hakikisha hili dubwasha likizama anga zako/zenu mnalitesa kwanza kabla hamjalibadirisha jina

BACK TANGANYIKA
 
Sipati picha siku kijana atakapokuja kuweka post yoyote humu, hayo matusi ataporomoshewaje!
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Kama sio ban, nadhani unastahili majibu makali sana
 
Ccm wanashida mmmno, halafu mbona kuna wazee na heshima zao pale siwamfunze adabu huyu kibaka punguani wahedi..
Ila laana itamwangukia huyu dogo
 
Anachafuliwa au ujinga wake na u.p.mbavu wake ndiyo unamchafua, kama ana akili timamu atawezaje kumpiga mzee kama Warioba......imeandikwa kwewnye biblia, yoyote yule ampigaye babayake atalaaniwa milele....
Acha ujinga bwana..ni wapi ulipo ushahidi wa aidha picha au video inayoonyesha anaponda chupa au anarusha ngumi..acheni kubambikiza upuuzi wenzenu...anaweza akawa na mapungufu yake mengine lakini kwenye hii incident sio sawa mnavyochomekea..ni katika hali hii watanzania wengi wanawaona chadema na wafuasi wenu mnapoteza credibility ya kupewa hii nchi..
 
Nilikuwepo kwenye tukio na siyo siri nilimnyoosha Makonda kwa hakika akapime mapafu yake manake kiti niliyomtandika nayo kifuani sizani kama mapafu yalibaki salama......hatuwezi kukubali ujinga na u.p.mbavu uendelezwe na wahuni kisa wanatumiwa na Membe au Sita...hili ni taifa letu sote lazima tuheshimu viongozi wetu wa zamani na tutawalinda kwa nguvu zote......mkuu jana jamaa nilimtandika kisawasawa

hahahhahaaaas
 
Mimi ningekuwepo warioba ningempiga nyingi sana za kichwa huyu mzee kapoteza mwelekeo anafaa kuzomewa.
 
Salaam!
Wakuu kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa leo Paul makonda anataka kufanya press Conference ili kujisafisha na tuhuma nzito zinazomkabili kuhusu kumpiga mzee wetu waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba,Hii ni dharau kwa taifa na watu wake tuhamasishane kupitia hapa na kuwaomba wahariri wote wagomee kwenda kumsikiliza huyu bwana mdogo kama tetesi hizi zitakuwa na ukweli ndani yake.
Nawasilisha!
Heshima gani unayo wewe mbona mtei na bob makani mmeshindwa kumheshimu mtaweza kumheshimu warioba wanafiki nyie.
 
Back
Top Bottom