Paul Makonda aita press conference kujisafisha

Viongozi wote wa zamani wametulia, huyo mzee wetu warioba atakuwa ana matatizo sio bure, huwezi acha mzee mwenye heshima kama warioba atumike kama taulo la gesti, aliyemvunjia heshima warioba sio makonda bali nyinyi whu wa ukawa mnaotaka kumharibia huyo mzee sifa na heshima yake. na yeye mwenyewe kwa umri aliokuwa nao ni umri wa kukaa nyumbani na kutoa mawazo tuu, ili aendelee kuheshimika, siasa za majitaka hizi na kupendelea upande mmoja inamharibia jina na kikubwa anaiabisha familia yake.

YEYE KAMA MWENYEKITI MSTAAFU WA TUME ALITAKIWA AKAE KIMYA ASIEGEMEE UPANDE WOWOTE. KAMA ALIONA RASIMU YAKE YA KATIBA IKO SAWA NA HAIITAJI MABADILIKO ANGETOA MAPENDEKEZO TUIPIGIE KURA MOJA KWA MOJA NA ISIENDE BUNGENI.

Rasimu inamaanisha sio mwisho inaweza kuongezwa au kupunguzwa vitu mwisho wa yote itarudi kwa wananchi yeye anaipinga kama nani? asubiri atumie demokrasia yake kama mtanzania aikatae itakapoletwa kwetu wananchi tuamue. otherwise atulie tu, mwisho wa ubaya aibu,anataka kuibomoa CCM mwisho wa yote na utu uzima ule anaaibika tena Nchi Nzima na dunia wanaona live.

HATA MUMPONDE MAKONDA KWA KIASI GANI AIBU ALIYOIPATA WARIOBA NI YA KUJITAKIA NA HAITAKUJA KUFUTIKA MILELE. KWELI NJAA MWANAHARAMU NYERERE ALIACHA MVI NA UZEE KAMA BUSARA NA KIMBILIO LA WENYE KUHITAJI MSAADA WA FIKRA LEO HII MIZEE YETU IMEJAA MVI KICHWANI NA BUSARA ZAO WANATUMIA KUHAMASISHA VURUGU.

Nimesoma post yako ikabidi niirudie tena maana nimekuwa kama nasoma ndoto. Umejaribu kujifanya unatumia busara kumuonya Warioba asiongee chochote kwa kuwa ni mzee na ni mstaafu eti kwa kuwa wengine wamekaa kimya. Hivi ni kweli iwapo baba yako ataamua kukushauri na kutoa maoni yake tena kwa njia ya amani utamtaka akae kimya kwa kuwa labda mama yako atakuwa hajatoa maoni yake na huku na yeye ni mzee!? Unachotaka wewe Warioba akae kimya asubiri tu kupiga kura ya hapana lakini asiwe na haki ya kutoa maoni yake kwa yale mazuri/mabaya yaliyo kwenye katiba pendekezwa. Hivi kuna ubaya gani mtu akifanya uchambuzi wa katiba hiyo pendekezwa akaainisha mazuri na mabaya yake tena kwa uwazi? Kwanini wote wanaosema katiba ni nzuri ipigiwa kura ya ndio usiwaambie wakae kimya wasubiri watu wapige ndio/hapana tu? Kuna uwezekano wewe ni mtu wa serekali na si ajabu ulikuwa mmoja wa wajumbe wa bunge la BMK ama pia muasisi wa zile tafrani zilizotokea jana pale plaza, na kama ulikuwa ni mmoja wa BMK nyinyi ndio mlioamua kuandika katiba yenye mlengo wa kuwakomoa wapinzani na ndio maana mnaona wote wanaochambua katiba hiyo ni wapinzani ambao kwa mtazamo wenu sio wazalendo wa taifa hili.

Sio mara moja au mbili tumewasikia mkisema katiba hii ni nzuri sana, sasa wasiwasi unatoka wapi watu wakiichambua ili sisi wananchi tuuone uzuri wake? Alichokisema jana Warioba ni kile kilicho kwenye hiyo katiba mnayoisifia na akajaribu kusema uzuri na mapungufu yake. Alichokifanya jana Warioba ilikuwa ni sahihi maana wananchi wangalau watakapofanya maamuzi watakuwa wanajua uzuri na mapungufu ya katiba hiyo, je ubaya wake ulikuwa nini hadi fujo? Ama nyinyi ccm mmekuwa kama mataahira kwamba wote mnawaza sawa na kile mnachowaza nyinyi ndio sawa na asitokee mtu yoyote kuonyesha mapungufu yake? Hivi ni taifa la aina gani mnajaribu kujenga kwa kuwafanya watu wajinga kiasi kwamba hawawezi kuchambua chochote mnacholeta nyinyi? Yote tisa hiyo katiba ni nyaraka ya watu wote kuisoma na mnaonyesha hamtaki mtu aichambue, je hiyo mikataba mnayosema siri? si ndio hapo mtakapoingiza nchi kwenye vita iwapo watu wataamua kwamba hakuna kulala mpaka tujue kilicho kwenye hiyo mikataba? Kwa tabia hii mnayoionyesha hamuoni kama sasa imefika wakati wa nyinyi kukaa pembeni kabla hamjaingiza nchi kwenye machafuko? Kama hata document ya taifa kama katiba hamtaki watu waichambue kipi sasa mtataka watu wachambue?
 
Salaam.

Wakuu kuna tetesi zimeanza kuenea kuwa leo Paul makonda anataka kufanya press Conference ili kujisafisha na tuhuma nzito zinazomkabili kuhusu kumpiga mzee wetu waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Warioba.

Hii ni dharau kwa taifa na watu wake tuhamasishane kupitia hapa na kuwaomba wahariri wote wagomee kwenda kumsikiliza huyu bwana mdogo kama tetesi hizi zitakuwa na ukweli ndani yake.
Nawasilisha.

Unaongelea kuhusu hawa waandishi wa BAHASHA ya Khaki?Au wengine?Sidhanikama watakuelewa.
 
Ninayo videocya makonda press conference.cNaomba mtu anielekeze ni namna ganicninaweza ku attach humu. Thanks!
 
Sitashangaa kusikia Makonda alihusika na yaliyomfika Sengondo Mvungi (r.i.p)...
 
... Nasikia Makonda Alihusika Kifo Cha Sengondo Mvungi
 
Hiyo press conference imefanyika?

Ms@#$#% wewe unadhani hatukujuileo nimemtafuta mkeo hapa KCMC nimuonyeshe adabu aje akuhadhithie vizuiri sija muona nimemtafuta kwenye simu hapatikani...umetangaza vita mpumbavu wewe
 
alikuwa mafichoni amerudi makonda@ the work tukuulize mzee wa watu alikukosea nini ingekuwa baba yako anadharirishwa vile ungekuja na kejeli zako kama hizi eti press conference imefanyika,laana uliyonayo itakuandama utakufa kifo cha dito endelea na dharau zako
 
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Unamtetea mhalifu mwenzio?
 
Nimesoma post yako ikabidi niirudie tena maana nimekuwa kama nasoma ndoto. Umejaribu kujifanya unatumia busara kumuonya Warioba asiongee chochote kwa kuwa ni mzee na ni mstaafu eti kwa kuwa wengine wamekaa kimya. Hivi ni kweli iwapo baba yako ataamua kukushauri na kutoa maoni yake tena kwa njia ya amani utamtaka akae kimya kwa kuwa labda mama yako atakuwa hajatoa maoni yake na huku na yeye ni mzee!? Unachotaka wewe Warioba akae kimya asubiri tu kupiga kura ya hapana lakini asiwe na haki ya kutoa maoni yake kwa yale mazuri/mabaya yaliyo kwenye katiba pendekezwa. Hivi kuna ubaya gani mtu akifanya uchambuzi wa katiba hiyo pendekezwa akaainisha mazuri na mabaya yake tena kwa uwazi? Kwanini wote wanaosema katiba ni nzuri ipigiwa kura ya ndio usiwaambie wakae kimya wasubiri watu wapige ndio/hapana tu? Kuna uwezekano wewe ni mtu wa serekali na si ajabu ulikuwa mmoja wa wajumbe wa bunge la BMK ama pia muasisi wa zile tafrani zilizotokea jana pale plaza, na kama ulikuwa ni mmoja wa BMK nyinyi ndio mlioamua kuandika katiba yenye mlengo wa kuwakomoa wapinzani na ndio maana mnaona wote wanaochambua katiba hiyo ni wapinzani ambao kwa mtazamo wenu sio wazalendo wa taifa hili.

Sio mara moja au mbili tumewasikia mkisema katiba hii ni nzuri sana, sasa wasiwasi unatoka wapi watu wakiichambua ili sisi wananchi tuuone uzuri wake? Alichokisema jana Warioba ni kile kilicho kwenye hiyo katiba mnayoisifia na akajaribu kusema uzuri na mapungufu yake. Alichokifanya jana Warioba ilikuwa ni sahihi maana wananchi wangalau watakapofanya maamuzi watakuwa wanajua uzuri na mapungufu ya katiba hiyo, je ubaya wake ulikuwa nini hadi fujo? Ama nyinyi ccm mmekuwa kama mataahira kwamba wote mnawaza sawa na kile mnachowaza nyinyi ndio sawa na asitokee mtu yoyote kuonyesha mapungufu yake? Hivi ni taifa la aina gani mnajaribu kujenga kwa kuwafanya watu wajinga kiasi kwamba hawawezi kuchambua chochote mnacholeta nyinyi? Yote tisa hiyo katiba ni nyaraka ya watu wote kuisoma na mnaonyesha hamtaki mtu aichambue, je hiyo mikataba mnayosema siri? si ndio hapo mtakapoingiza nchi kwenye vita iwapo watu wataamua kwamba hakuna kulala mpaka tujue kilicho kwenye hiyo mikataba? Kwa tabia hii mnayoionyesha hamuoni kama sasa imefika wakati wa nyinyi kukaa pembeni kabla hamjaingiza nchi kwenye machafuko? Kama hata document ya taifa kama katiba hamtaki watu waichambue kipi sasa mtataka watu wachambue?
Kuna watu wanaodhani kuwa wana hatimiliki ya kufikiri kwaabwatanzania wote. Wanachokiwaza wote tunapaswa kuwa za hivyo hivyo.
 
nadhani Chakaza anamtumia ka'vocha ka'shukrani
zumbemkuu sikumtumia jamaa, yeye kasema kampa kipigo halafu hakuna hospital yeyote ambayo imemsajili Makonda kama mgojwa sasa kipigo gani hicho? Ndio yale ya Zanzibar eti " mwizi kapitanimempiga na kanga sijui amekufa? .........."
 
Last edited by a moderator:

hahahaha, mwizi kapita nimempiga na ganda la yai, sijui kaafa??? hahaha
 
zumbemkuu sikumtumia jamaa, yeye kasema kampa kipigo halafu hakuna hospital yeyote ambayo imemsajili Makonda kama mgojwa sasa kipigo gani hicho? Ndio yale ya Zanzibar eti " mwizi kapitanimempiga na kanga sijui amekufa? .........."

makonda kakomaa hata upige na nyundo haumii labda utumie shuu
 
Last edited by a moderator:
Mmemchafua sana Paul Makonda. Kama mna ushahidi upelekeni polisi. Ushahidi wa Picha unaonesha Makonda akimuokoa Warioba ili asipigwe na wahuni wa CDM waliopandikizwa. Pia ni Makonda ndiye aliyemuokoa Amon Mpanju

Jinga sana wewe! kauli za namna hii hazijengi bali zinalibomoa taifa sasa pandikizeni uongo na chuki kama mmechoka amani tuambieni tufanya maamuzi na uwezo tunao hatuogopi. Tumevumilia sasa tuko tayari kwa mapambano! Nyie mnarisasi za moto mimi ni mshale na mkuki na panga basi! Mpuuzi sana tena kichaaa
 
Bavichaa waongo, yule mzee kishajiishia na saa hizi anatapatapa si wakupigwa na Makonda yule, kishapigika zamani.
 
Back
Top Bottom