Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Hapa manake akishinda mtu anaweza kumshtaki kwa kughushi. Au kuweka pingamizi atapoteuliwa

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Atamshkaki kama atakuwa kaweka vyeti feki vilivyomwongezea sifa ya kuchaguliwa.

Asipoweka, basi tena. Mitanzania ndivyo tulivyo. Mbunge ajue kusoma na kuandika, dereva lazima awe na elimu ya kidato cha nne.
 
Jana Paul Makonda naye amechukua fomu kuharibu bahati kwenye kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM . Ni nafasi na haki yake kidemokrasia. Hapa Ni patamu kwa sababu Ni Kati ya MARC walionyesha ukatili wa wazi dhidi ya vyama vya upinzani. Leo naye anahitaji kura kwa wale aliyokuwa akiwapiga marufuku kufanya siasa Hadi kuwaambia baadhi wasithubutu kukanyaga mkoani kwake.

Leo hii anagombea bila manodigadi na msafara wa jeshi la polisi. Atakuwa peke yake kwenye jukwaa, na safari atanyenyekea kwa watu aliowavuruga ama kuingilia masuala yao ya ndoa.

Huyu ndiye Makonda aliyekuwa anatoa ahadi zisizotimilka na kuleta mizozo ya kimataifa kwa kauli zake Tata za kibaguzi. Atasimama na upinzani na labda tutegemee miujiza za kuwablock wapinzani kuwahujuma la sivyo Makonda atakuwa kivutio kwenye kampeni.
 
USIJIDANGANYE...jiwe anajua kabisa usalama wa makonda nje ya mfumo ni mdogo kama ulivo kwa Mwananchi wa kijijin huko ndani ndani.

Usalama wa Bashite kwa aliyoyafanya kipindi chake chote kunamhitaji awepo mtu wa kumuhakikishia.

Hii inamaa, Ili mradi Jiwe yupo, Bashite ataeendelea kua kwa mfumooooo .... hata jiwe asipoongezewa muda, atakayefuata ni Bashite au mwingine lkn Bashiteataendelea kua kwa mfumo.
Simnaona Mwinyi kapelekwa Zanzibar ????? Mwinyi alikua wa 2025 TZ , sasa wametumia ujanja kumpeleka mwinyi huko, ili 2025 TZ awe ni Bashite au Jiwe kuendelea.
Nani kasema majaliwa ndio wa 2025
 
Muda wa kisasi umewadia...ataogopa mpaka kivuli chake...amkeni kawa raia wa kawaida (Polepole voice)
 
Muda wa kisasi umewadia...ataogopa mpaka kivuli chake...amkeni kawa raia wa kawaida (Polepole voice)
Kwa sisi wakristo visasi si juu yetu Mungu ndio mlipaji na amekufanyia nini mpaka umnenee ubaya kiumbe mwenzio mwombee atende ya kumpendeza Mungu
 
Back
Top Bottom