Uchaguzi 2020 Paul Makonda achukua fomu ya Ubunge Kigamboni, kupitia CCM

Katika hili simlaumu Makonda, kama kijana alijiona ana nafasi ya kuangalia fursa upande wa pili. Maisha bila mabadiliko yana chosha hasa kwa watu wenye vision kubwa.
Hivi Makonda anaweza kuwa na vision ya maisha?
 
Attachments

  • IMG_2413.MP4
    1.1 MB
Katika hili simlaumu Makonda, kama kijana alijiona ana nafasi ya kuangalia fursa upande wa pili. Maisha bila mabadiliko yana chosha hasa kwa watu wenye vision kubwa.
Huyu alivyoitwa kwenye kamati ya bunge alisema wabunge ni nini tena? Sasa alikuwa anafuata nini huko?
 
Ni mipango ya Mungu kutuondoshea shetani, na muuaji aliyepigwa hata marufuku kwenda ulaya kwa kosa la kuhujuma uhai wa binadamu.
Nadhan malipo anayapata hapahapa duniani
Mkuu wa mkoa Dar ana fulsa nyingi sana kuliko kuwa mbunge wa Jimbo je ni kwa nini mkuu wa mkoa aliyepita alichukua maamuzi haya magumu.
 
Ana vission gani huyo mwizi wa vyeti vya watu, nadhan kamuombe iyo vission labda itakusogeza kimaisha
Katika hili simlaumu Makonda, kama kijana alijiona ana nafasi ya kuangalia fursa upande wa pili. Maisha bila mabadiliko yana chosha hasa kwa watu wenye vision kubwa.
 
Mnaweza shangaa jina la Bashite ndio linarudi na Ndungulile anafyekelewa mbali na vikao vya juu. Mambo haya yashatokea sana kitambo🙂

Magu akishinda uchaguzi pia anaweza kumpa nafasi ya ubunge viti maalumu au hata ukuu wa mkoa tena ili kuwakomoa watesi wake. Never trust Magu. Afterall CCM "mavyeo ni mengi" na ni kawaida yao kupiga u-turns
 
Back
Top Bottom