PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,202
- 8,787
- Thread starter
- #101
Haya sasa!Nikiwa mwana ccm mashuhuri !
NIKIWA KAMA MWANA CCM KIPENZI.
hongera chadema, hongera joshua nassari, hongera wana arumeru, hongera ccm kwa kukubali matokeo, hongera sioi kwa kujaribu! Sasa mh. Mbunge mteule, joshua nassari, hudumia wananchi wako wa arumeru mashariki na watanzania wote bila kuweka mbele itikadi za kisiasa. Wapende pia sana wale waliokunyima kura hasa zile kata ambazo ccm imeshinda uwe karibu nao zaidi uwaondoe hofu yao. Demokrasia imeongea wana wa arumeru mashariki wameongea.
BUCHO WA JF
Tulikuwa na PASCO WA JF.
Sasa tunashuhudia kuibuka kwa BUCHO WA JF!
Unafiki una bei...there is a price tag to hypocris!
Naona mnaanza kujikaanga kwa mafuta yenu wenyewe, and we have stood aside ....watching!