Ilikua ni ujumbe ule kua taji analo yeyeUkikizingatia picha ya Trump na joho la Papa+NWO=chapa 666.
Rabhekhaaaa!!!
Kabla hajafikia kua shoga, tayar atakua ashajutia dalili za huo Ushoga anaouelekeaMkuu deepPond salaamu na heshima zikufikie, ndugu yangu napenda nikuulize swali hili.
Hatuombei na Mungu aepushilie mbali ila kwa mfano ndio imetokea, Mwanao Kawa shoga, utafanya nini??
Mkuu utamuombea, utamtupa/tenga au utamuua???
Hivi Mkuu ulisha wahi kujiuliza swali hili?
Mkuu kanisa ni hospitali ya wadhambi! Kama ilivyo hospitali kutochagua wagonjwa hali kadhalika Kanisa nalo pia halichagui au kubagua wadhambi.
Kwan papa ni kiongoz wa waroma au waislam ? Mbona huangaiki na masheikh wanaosapoti mauaji ya watoto huko Somalia kwa kukusanya wapiganaj hapa kwetu na kuwapeleka Somalia kupigana
ndio maana wanalishwa viapo vya Siri huko kwenye uchaguzi wao. Hakuna uchaguzi huko ni maagizo tu zamu hii ni Fulani. Ile kuchoma makaratasi yaliyotiwa chemicals ili yatoe Moshi mweusi na hatimae mweupe ni geresha tu ile inaitwa BABAISHA BWEGE.YAANI WAKATI MNAHANGAIKA TOKA JANA NANI PAPA ANAEFWATA
MWENZENU TRUMP ALiKUA ANAWACHEKA NA MOSHI WENU AISEE HIVI SASA WATUPE WA BLUE HIZI NYEUSI NYEUPE ATUTAKI TENA
Nahisi alikuwa anaulizia hamjamalizanaa pls fastaa
Trump de tarrif. De la Pope
😂😂😂😂😂Sahii kabisa,
Maana tulipokua tunahisi Kama amenukuliwa vibaya, kesho yake anakuja kukazia Tena kauli zake zile zile alizotamka Jana yake.
Mkuu hivi umewahi kujiuliza ni kwanini kanisa katoliki linaitwa "Roman Catholic" wakati Yesu hakuwa mrumi wala hakuna mtume yoyote wa Yesu aliekua anatokea Rome?
Ukipata majibu ya hilo swali utaelewa Roman Catholic ni taasisi ya aina gani na malengo yake ni yapi hapa duniani.
Hata wiki moja hana, tayari ushatoa hitimisho kuhusu misimamo yake.Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Huko kwenye Abaya ndiyo kuko salama?Njoo uvae abaya,achana na wahuni wanaojipa utakatifu wakati Wana dhambi kedekede,papa aliyefariki alikua baunsa wa night club huko Bueno saires argentina,akaleta mambo ya night club vatican kwa kushajiisha uchoko
Hakuna Mtakatifu ila kuna Mtukufu.Ndiyo,ntamnunulia,huku kwenye abaya hakuna kuhalalisha usenge,wote ni binadam hakuna mtakatifu
Wabongo tuna ujuaji mwingi. Ni rahisi sana kumhukumu mtu.Hata wiki moja hana, tayari ushatoa hitimisho kuhusu misimamo yake.
Mkuu mie hata kanisani nilishaacha kuhudhuria kitambo sana.Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekuwa mshauri mkuu WA papa Francis aliyefariki, na wakatoliki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokuwa akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti wa papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu wa namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Umemnukuu vibaya, kasema ni mtu kama wewe sio yeyeUnamaanisha Nini kusema shoga ni mtu Kama Wewe?
Na kuwa na uhusiano mzuri na Mungu ni kufanya matendo anayotuagiza kuyafanya.Anaeona Mungu ni Yesu yupo sawa, anaeona Mungu ni Ng'ombe yupo sawa, anaeona Mungu ni mti yupo sawa.
Kila mtu yupo sawa kwa mtazamo wake kikubwa ni kuwa na uhusiano mzuri na Mungu
sio katoriki ni katoliki,na kanisa katoliki haliungi mkono ushogaKwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.