Papa Leo aahidi kuiombea Tanzania amani na Utulivu

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.

Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Vatican, kuwasilisha ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Balozi Kombo amekutana na Papa Leo XIV, leo Jumatano Januari 28, 2026 saa chache kabla ya Katekesi ya kiongozi huyo wa kiroho Vatican.

Katika hatua nyingine, Balozi Kombo na ujumbe wake ulikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Askofu Mkuu, Paul Gallagher, ambaye pamoja na mambo mengine amewasilisha wito rasmi kutoka kwenye Ukulu Mtakatifu kwa Tanzania kufungua ubalozi Vatican. Kwa sasa Tanzania inawakilishwa kutokea Ujerumani.

Ppapa le.png
photo_2026-01-28_18-50-06.jpg
 
kuna wanaosema islam ilianzishwa na Kanisa karne ya 7 a.d. baada ya dola ya kirumi ya east kuanguka, nilikuwa nalibishia hili lkn naanza kushawishika, ila sijajua Kanisa lilikuwa na lengo gani kwa kuanzisha islam? …
 
Imeisha hiyo, tunaenda kuongea na kichwa cha nyoka
Hawa vilaza wa TEC hapa ni kula kibano mwanzo mwisho
 
Soma historia usiishie kusikia,
Hizo dini zimeanza mbali kabla ya kristo,
Anzia huko ndio uje na conclusion nani ni baba wa mwenzie.
Hivi mnasomaga Bible au mnasubiri tafsiri ya mstari mmoja kila Sunday?
 
Wavaa magauni wa hapa bongo leo watashinda sana bafuni kupiga nyeto kwa hasira wahuni wale
 
Imeisha hiyo, tunaenda kuongea na kichwa cha nyoka
Hawa vilaza wa TEC hapa ni kula kibano mwanzo mwisho

Serikali haiongei na hawa wanuka mikojo wa hapa wasio na mbele wala nyuma

Inaongea na mwenye mbwa
 
Kombo anahangaika, Papa Acha aombe ili Mungu awaondoe wauaji na Kiongozi wao
 
Na bandarini kule DP World inazidi kuwakazia waimba kwaya basi hasira ndo zinazidi kugonga vichwa vyao

Teh teh teh
 
Soma historia usiishie kusikia,
Hizo dini zimeanza mbali kabla ya kristo,
Anzia huko ndio uje na conclusion nani ni baba wa mwenzie.
Hivi mnasomaga Bible au mnasubiri tafsiri ya mstari mmoja kila Sunday?

na wewe pia una Biblia nini nyumbani kama muslims wenzako wa tanzagiza kwa maana wote wana Biblia nyumbani kwao lkn hakuna Christian hata anayejua msaafu wenu unanonekanaje …
 
Vatican News

Papa Leo XIV, kabla ya Katekesi yake Jumatano tarehe 28 Januari 2026, alikutana na Balozi Mahmoud Thabiti Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania. Waziri yuko kwenye ziara ya Kimataifa na alikwenda Vatican kuwakilisha ujumbe maalumu wa Rais Dk. Samia kwa Papa.

Papa kasema anajua Tanzania ilikuwa na uchaguzi 29/10/2025 uliofuatiwa na vurugu na mauaji yaliyoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii.

Kasema anajua Vurugu hizo zimelaaniwa na viongozi Wakuu wa kidini nchini Tanzania na Maaskofu kwa kuomba kufanyika uchunguzi huru wa kujitegemea, lakini taarifa aliyonayo tayari Rais Samia ameunda tume kubaini wahusika wa vurugu hizo.
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.

Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Vatican, kuwasilisha ujumbe wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Balozi Kombo amekutana na Papa Leo XIV, leo Jumatano Januari 28, 2026 saa chache kabla ya Katekesi ya kiongozi huyo wa kiroho Vatican.

Katika hatua nyingine, Balozi Kombo na ujumbe wake ulikutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Askofu Mkuu, Paul Gallagher, ambaye pamoja na mambo mengine amewasilisha wito rasmi kutoka kwenye Ukulu Mtakatifu kwa Tanzania kufungua ubalozi Vatican. Kwa sasa Tanzania inawakilishwa kutokea Ujerumani.

View attachment 3535638View attachment 3535639
THE BIG SHOW Malaria 2 omgeeni na jamaa, wanaenda kufanya nini tena hapo?
 
Back
Top Bottom