Panya Road wavamia Chamazi

Panya Road wavamia Chamazi

Hapana Mkuu. Kile kituo kipo wazi masaa 24. Jirani ya hicho kituo kuna Bar Maarufu inaitwa Chamazi Pub. Fanya hima kufikisha taarifa ili hao wahuni washughulikiwe
TENA HAO PANYA ROAD NATAMANI WAKUVAMIE WEE SIKU MOJA.....WAKUACHIE ALAMA MPAKA UTIE AKILI

OVA
 
Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.

Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.

Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha rmafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.
majeruhi%20issa%20joseph.jpg
Badala ya kuripoti polisi unakimbilia jf
 
Mzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.

Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.
Mzunguko mdogo maana yake nini
Waende wakalime na kufuga badala ya kutegemea kuishi kwa uhalifu
 
Uko sahihi kabisa maana hao jamaa wa bavicha hazimo wengi.
Qumer y@ m@m@ko! Watu wanatobolewa macho kila siku halafu wewe unatuletea USENGErema wako wa kisiasa hapa jukwaani. Umetoka kuvuruga mkutano Arusha sasa uvurugaji wako unauleta hapa jf? Una matatizo gani wewe Gambo?
 
Qumer y@ m@m@ko! Watu wanatobolewa macho kila siku halafu wewe unatuletea USENGErema wako wa kisiasa hapa jukwaani. Umetoka kuvuruga mkutano Arusha sasa uvurugaji wako unauleta hapa jf? Una matatizo gani wewe Gambo?
Mkuu delete hii post plz!! inakudhalilisha ndugu yangu... usifute thread Bali futa hii post uloandika Tusi
 
As usual panya road ...watoto WA mbwa na mmarekani mweusi Dar polis wamewashindwa over.....


Polis waendelee kupost Picha za silaa tuuu walizokamata
 
Kwan hao pana road hawana wazaz c wanao wakulaumiwa wazaz wao na humhum jf kuna wazaz wanaojua kuwa kijana wake ni panya road c kwamba tuiachie selikar tu tuwakanye watoto wetu
Kuwakanya wanetu ni Sawa,lakini, hili eti, humu JF kuna wazazi, watoto wao ni panya road, nao wanawajua ! Una hakika Mkuu? Na unajua hatua wanazochukua au wanamezea tu?
Haya bwana, mimi nimesema tu, naondoka!
 
Mkuu delete hii post plz!! inakudhalilisha ndugu yangu... usifute thread Bali futa hii post uloandika Tusi
Du u u ! Tumefika hapa? Wapi heshima? Jf inadhalilika kwa uandishi huu! Kweli itadumu kama. 'Home of great thinkers?
 
Back
Top Bottom