Panya Road wavamia Chamazi

Panya Road wavamia Chamazi

Ni kweli. Hili kundi hata sijui limeibukaje wakati Dar ilikuwa imenza kuwa tulivu. Serikali inapaswa kuwapa wananchi mafunzo ya kijeshi na kuwamilikisha silaha kwa ajili ya kujilinda na makundi ya kipuuzi kama hili la Panya Road.
Mkuu acha masihara uwape wananchi mafunzo ya kijeshi na silaha za kujilindia ili wao wenyewe wageuke waharifu
 
Nawahurumia wakazi wa darisalama. Taifa jipya limeingia kitaa na sasa Panya rodi. Woote wanataka darisalama iwake moto. Kuna mwenye hekima mmoja aliwahi kusema; Yapasa mmoja kuangamizwa kwa ajili ya taifa zima.
You either wipe out one gang or polish it and let it root in. Matokeo ya haya makundi, bado kabisaa. Tutamkumbuka Gewe tu. Ndiye aliye inyoosha darisalama mpaka utulivu ukaingia. Wekeni siasa pembeni muwaokoe walala hoi. Angalia, hayo makundi hayaingii mjini kati bali huko kando kando tu kwa walala hoi. Mnatuaminishaje kuwa nyie wenye vyenu mnatuthamini?
 
Mkuu kwann huku mbezi beach hawaji? Huku si ndio kwa matajiri? Waje hapa tangi bovu kwa chini..tena huku hamna ujirani kila mtu na geti lake? Wakija ni kukata na kuiba tu...kwann wanaiba uswahilini ..? Nawakaribisha mbezi beach....huku kuna wanaume wa dar tu lege lege na watoto wa mama! (Kama wa mkoani wanavyosema)

Glock 17
Berretta
Pump Action
.45 colt

And so forth..
Karibuni tunawasubiri.
Hongera Sana kufanikiwa kuishi mbezi BWANA
 
Mzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.

Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.
Umeshajiuliza kwa nini panya road hawako Masaki, Mikocheni, Mbezi Beach, Oyster Bay,Upanga?
 
Si tuliona jeshi la polisi likifanya mazoezi na kutangaza kuwa wako imara kupambana na uharifu wa aina yo yote. Mbona kama vile panya road wanawashinda kete.
Police wake up, these hooligans are gaining ground.
 
Kati yao ni wale waliositishiwa ajira mwezi Juni mwaka huu. Dawa ni kuwarudisha kwenye ajira zao tu.
 
Back
Top Bottom