Wewe chizi kabisaMzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.
Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.

Toa taarifa polisi maana humu jf siyo mahali sahihi unless una jambo lako umetumwa kupost.Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.
Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.
Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha mafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.
![]()
Hivi kwanini polisi aogope kukaaa usiku...wanatutia mashaka...kazi yao ni nini...kulinda usalama...ina maana usalama ni mchana tu...wakeshe makazin...mbona mahospitalin wanakesha wao walopewa mafunzo wanakimbia sisi tusiojua lolote tusaidiwaje..mkuu, lakini nadhani pia tangu polisi walipoacha kukaa vituoni usiku kundi hili limepata kasi ya kuendelea kuwatesa raia na kuwanyima raha kabisa. serikali inapaswa kufikiria upya uamuzi wake wa kufunga vituo ili polisi wachache waliopo washirikiane na wananchi kutokomeza kundi hili la kigaidi.
Kwanini?au nawe ni mfuasi wao?Mtawachoma sana lakini hamtawamaliza.
mkuu hizi habari nimezipata kutoka Dar, mimi sio mwanaume wa huko...huku kwetu mbwa koko kama hao panya road hawawezi kutia mguu.

Polisiccm wao wanauweza ukuta tuChamazi hakuna kituo cha polisi?
Au nao wametoka nduki?
ile nguvu kubwa ni kwa ajili ya kudhibiti upinzani tu. nchi zetu hizi pamoja na kuwa upinzani upo kisheria lakini ndio kosa kubwa sana kuwa mpiinzani, utadhibitiwa kwa nguvu zote.Hao vibaka wa mitaani hawawanyimi usingizi watawala ukizingatia kwamba kwa upande wao hawana madhara yoyoteSi tuliona jeshi la polisi likifanya mazoezi na kutangaza kuwa wako imara kupambana na uharifu wa aina yo yote. Mbona kama vile panya road wanawashinda kete.
Police wake up, these hooligans are gaining ground.
Polisi wa kazi gani wewe???Yaani polisi wakakimbizane na watoto wadogo badala ya kukimbizana na majambazi???Huko Dar hamna wanaume???....Are you serious???Hivi polisi wa nchi hii wanafanyaga kazi gani jamani?

Dar hivi kweli mmekosa hata wanaume kumi wa ukweli ambao wanaweza kuwa paka road kwaajili ya kuwakabili hao panya?....hebu siku moja mjitutumue muache kulalamika ovyo

Uko sahihi kabisa maana hao jamaa wa bavicha hazimo wengi.Propaganda Za ufipa hizi.
Bavicha ni mtambo wa kutunga uongo
Umemuuliza swali la msingi.Kwanini?au nawe ni mfuasi wao?
Polisi wanahangaika na CHADEMA !Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.
Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.
Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha mafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.
![]()
Basi mwambie baba yako Haikael Mbowenani kakwambia humu jf hakuna polisi? jiongeze.
Mjeshimiwa nchemba kweli na umakini wako eshkndwa kuthibiti hawa watoto ambao hata kushka bunduki hawajui.. tafadhal mkuu wananchi wanapata shida sababu ya hawa panya road, mimi nakuamn sana mheshimiwa kwa namna unavojituma, komesha hili genge linalojiita panya roadKwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.
Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.
Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha mafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.
![]()
Hata elfu 20 unapata miezi sita unalipa lak na 20 tuKuna mtu aliniambia Mbagala na maeneo mengine ya uswazi chumba cha 25000 unakipata kikiwa na umeme nikabisha, ila kwa mwendo huu wa vi rat road sihamii hata kwa dawa
Mtukufu Rais usiyejaribiwa vipi tena mbona hivi vitoto vinakujaribu?