HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,704
- 48,140
Na ndio maana ukichunguza kiundani utagundua wengi wa Majambazi, utakuta walikuwa Wanajeshi, Polisi au wengine bado wanalitumikia Taifa lakini kuna baadhi ya matukio ya Ujambazi wanashiriki.Mafunzo ya nn,itapelekea kuongezeka kwa matukio ya uhalifu.
Mtu wa kawaida hasiewahi kupitia mafunzo ya Kijeshi, hana ujanja wa kutumia AK