Abdul azizy
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 144
- 76
Hao pilis kazi yao nikuwazuia wapinzani tuu wasifanye mikutano sio kwenda kuwazuia panya roadtoa taarifa polisi immediately
Hao pilis kazi yao nikuwazuia wapinzani tuu wasifanye mikutano sio kwenda kuwazuia panya roadtoa taarifa polisi immediately
Mkuu 20000 kiwe na umeme siamini mileleHata elfu 20 unapata miezi sita unalipa lak na 20 tu
Viroba vilivyo chaganywa na bangi mbichi ni shiidaBasi mwambie baba yako Haikael Mbowe
Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.
Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.
Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha mafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.
![]()
Hujui kama vituo vya Polisi vyote Dar Vinafungwa jioni hadi Asubuhi Saa Moja ndio vinafunguliwa kama mnabahati watu wa Patrol wakipita ndio ahuheni yenu la sivyo jifungieni tu... ila msisahau kulipa kodi na Anzisheni Sungusungu tu mitaani mwenu maana hamna njia nyingine za kuwalindeni...toa taarifa polisi immediately
Nadhani pale Chamazi kuna kituo cha polisi. Vipi huna namba zao uwapigie wachukue hatua za haraka? Hilo eneo la Muhimbili hakika ni hatarishi sana. Lipo wazi kwa vile halijajengwa ijapokuwa limezungukwa na makazi ya watu. Nakumbuka pia jirani na hilo eneo kuna Bar nadhani inaitwa Last Card. Mliopo Chamazi mtanisahihisha
Wanaume wa dar ni lege lege ila ninachoshangaa ni kwamba hawa panyaroad wanavamia maskini tu mbona hawaendi kwa ma sonko? Oysterbay,mbezi beach, mikocheni, upanga na kwingineko?Dar hivi kweli mmekosa hata wanaume kumi wa ukweli ambao wanaweza kuwa paka road kwaajili ya kuwakabili hao panya?....hebu siku moja mjitutumue muache kulalamika ovyo
Nilisha chezea sana makofi mbele ya mke wangu na hao jamaa bahati nzuri sikuwa mbishi. Ila sasa hivi nikikutana na hao nimenuia niende hospital au magereza.
Wanaume wa dar ni lege lege ila ninachoshangaa ni kwamba hawa panyaroad wanavamia maskini tu mbona hawaendi kwa ma sonko? Oysterbay,mbezi beach, mikocheni, upanga na kwingineko?
Unajuaje labda anabweka usiku (mlinzi), makazi yake kwa mtogole asikutishe.Hongera Sana kufanikiwa kuishi mbezi BWANA
Hapana Panya Road ni wanaume wa Mkoani...Dar Hamna watu wa namna hiyo kila mtu ni legelege! Huko Mkoani ndiyo wako mashababi!...Panya road hua ni wanaume wa Dar pia?