wigo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 914
- 506
Mafunzo kutoka wapi? Wakati bajeti ya jkt wasiwasi.Ni kweli. Hili kundi hata sijui limeibukaje wakati Dar ilikuwa imenza kuwa tulivu. Serikali inapaswa kuwapa wananchi mafunzo ya kijeshi na kuwamilikisha silaha kwa ajili ya kujilinda na makundi ya kipuuzi kama hili la Panya Road.
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye watu maskini na wanyonge ndani ya nchi yao.