Hembu atokeaa kichaa mmoja avamie kundi hilo na silaha,washa cha moto uwa kama 20 hivi
Basi watatia akili na kujua kwamba kumbe katika kundi la raia kuna mmoja anaweza kuwa Silaha.
Hapo wataogopa.Ila hivi wanafanya kirahisi hivi ndio wanazidi kuona ajira rasmi.
Jeshi La Ulinzi:
Hapa ndio namkumbuka Mzee Mrema,maana wakati huo hata mawasiliano ilikuwa hakuna.Ila ikitokea issue tu,jamaa hao wamefika.
Sasahivi teknolojia ipo juu ndio uzembe unazidi kuongezeka.Hawa madogo siku wakimvamia raia mwenye silaha,Basi mjue mji au jiji halikaliki.Kupata Risasi ni rahisi kuliko kupata Silaha.Watakuwa wameisha ingia kwenye Grade ya Ujambazi
Sasa muda wa kuchukua hatua ni huu,hawa madogo wanaona wanapata pesa kirahisi saaana ndio maana wanafanya matukio kama hayo.
Maana Age yao woote hao ni watoto wa Shule.Sasa Lawama ni kwa Wazazi wao.Wao wanajua tu kuzaa ila akili ya kulea wanaacha mtoto ajilee mtaani.
sijaona mtoto wa kuajirika hapo,wote watoto wa shule.Ila kwa vile wanaiba kirahisi inakuwa rahisi kushawishi wenzao.