Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

mkuu Matola naomba uniambia kifungu katika biblia inayosema kutoa au kuolewa ni sawa.

1Wakorinto 7:6-9
Lakini nasema hayo, kwa
kutoa idhini yangu, si kwa
amri.
7 Ila nipendalo ni kwamba
watu wote wawe kama
mimi nilivyo; walakini
kila mtu ana karama yake
mwenyewe itokayo kwa
Mungu, huyu hivi, na
huyu hivi.
8 Lakini nawaambia wale
wasiooa bado, na wajane,
Ni heri wakae kama mimi
nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi
kujizuia, na waoe; maana
ni afadhali kuoa kulikiko kuwaka tamaa.
 
Last edited by a moderator:
Nashindwa shangaa sababu confindence inaendana na intelligence...sasa nani anataka awe na mtu wake wa karibu aliye mjinga mjinga?

Aisee maisha yangu yote nimelelewa kuwa na confidence...nimelelewa kuweza kujieleza...kujitetea (argue) etc...

Nimeshawai ona watu wanakosa ajira sababu ya kutokuwa na confidence...mtu anaenda kwenye interview anaulizwa swali anataka kulia...anadhani kuna kazi ya kupewa kwa machozi...

Unaelewa maana ya overconfidence?
 
1Wakorinto 7:6-9
Lakini nasema hayo, kwa
kutoa idhini yangu, si kwa
amri.
7 Ila nipendalo ni kwamba
watu wote wawe kama
mimi nilivyo; walakini
kila mtu ana karama yake
mwenyewe itokayo kwa
Mungu, huyu hivi, na
huyu hivi.
8 Lakini nawaambia wale
wasiooa bado, na wajane,
Ni heri wakae kama mimi
nilivyo.
9 Lakini ikiwa hawawezi
kujizuia, na waoe; maana
ni afadhali kuoa kulikiko kuwaka tamaa.

Niko bali na biblia, subiri nifike home nikujibu hoja yako.
 
mkuu Matola naomba uniambia kifungu katika biblia inayosema kutoa au kuolewa ni sawa.

Kwa mujibu wa biblia kutokuowa ni sawa tu na mtume Paulo alitusisitiza angependa tuwe kama yeye maana yeye hakuowa kwenye maisha yake.

Member anayekumbuka hiyo aya atakuwekea hapa.
 
Last edited by a moderator:
Niko bali na biblia, subiri nifike home nikujibu hoja yako.

Kumbe nia yako ni mashindano? Unaishi dunia gani au unatumia kitochi?

Ingia playstore download bure biblia yako ukae nayo viganjani mwako. Na biblia ukiisoma ili ukabishane hutoilewa kamwe.
 

Attachments

  • 1416769129546.jpg
    1416769129546.jpg
    61.9 KB · Views: 110
What is overconfidence?
What's the source?
What are the symptoms of overconfidence?
How can we overcome the 'problem'?

akikujibu hapa, tena kwa kikristo hivi hivi, nipigwe Ban wiki 5, hapa Ngumbaru kashikwa page ya 4 sasa anaikwepa hii post
 
akikujibu hapa, tena kwa kikristo hivi hivi, nipigwe Ban wiki 5, hapa Ngumbaru kashikwa page ya 4 sasa anaikwepa hii post

Subiri mkuu nimfafanulie huyu mama swali lake.
 
What is overconfidence?
ni mtu aliyejijengea kujiamini kupita kiasi, kiasi cha kwamba hata kwenye jambo la maana, atalazimisha iwe vile anavyotaka, kujiamini huku kunaambata na majivuno, maringo, n.k


What's the source?
kuna mambo mengi yanayoweza kumfanya mtu awe na overconfidence, kama uzuri wa sura, mali, elimu, kibuli au kuzaliwa kwenye familia tajiri.

nakuja kumalizia
 
Mkandara, nakuongezea kitu kimoja walichokisahau kina Juliasi wakati wanakabidhiwa nchi, VIONGOZI WA KIAFRIKA WALISAHAU (AMA WALINYAMAZISHWA) KUOMBA FIDIA ZA UKOLONI, yaani ukoloni unatakiwa ujulikane kwamba lilikuwa kosa la jinai na waliotenda wanatakiwa washitakiwe na walipe fidia, sio kila siku wanatuzuga eti tuna madeni, nasi tuwaeleze wazi kwamba walitukosea na kutuibia hivyo wao ndio wanastahili kulipa!

Kabisa lakini watu hawaelewi humu halafu hawajui kabisa kuwa hawaelewi. Nimechoka
 
Haya mtu mwenye overconfidence anakuwaje?????

Ni mtu anayejiona kama mungu mtu, yaani yeye anayejiona kama dunia ni yake, hali hiyo inasabibishwa eiza na mali, uzuri, kibuli, elimu, n.k
 
ni mtu aliyejijengea kujiamini kupita kiasi, kiasi cha kwamba hata kwenye jambo la maana, atalazimisha iwe vile anavyotaka, kujiamini huku kunaambata na majivuno, maringo, n.k



kuna mambo mengi yanayoweza kumfanya mtu awe na overconfidence, kama uzuri wa sura, mali, elimu, kibuli au kuzaliwa kwenye familia tajiri.

nakuja kumalizia

Bas kumbe tatizo ni tafsiri..huo unaousema wewe ni ubishi a.k.a pride a.k.a arrogance a.k.a n.k. mi nijuacho overconfidence ni ile hali ya mtu kutokuwa mwoga,anaweza kufanya jambo la hatari mradi yeye anaona lina faida kwake. Kifupi ni risk taker
 
Back
Top Bottom