Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Huu ndio ukweli tena mtupu! Wengine wanakutukana kisa wanalishwa na wanawake hvyo wanahisi watakufa njaa, kama vipi tuwe marafiki kuanzia leo! Big up jembe langu kwa utafiti yakinifu Shy land
ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.

huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa,

wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)

wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi,, wanadharaulika sana mbele ya jamii.

wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa.

Bwana MO11 upo
 
Last edited by a moderator:
kwa mwandiko wako nadhani fagio bado jipya, sie mafagio ya kale kamwe hatutunzwi ndani sie nje tu ndio petu... mwenye masikio na asikie...unataka radhi? kweli kabisa utaweza radhi yangu kwa umri wako?

Nitake radhi me sio mtoto,, chuo nimemaliza kitambo sanaaaaaaaaa
 
Nipo Shy land nilikuwa msomaji tu katika mada yako

Khantwe upo njema kupigania unaloamini
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na hivyo, je? biblia inasema nini juu ya kushiriki tatika ngono kabla ya kuona.

kama una biblia soma matendo 15;20
warumi 18;29

Waebrania 13;14 inasema mapenzi baina ya mme na mke waliooana ndio mapenzi yaliyokumbalika mbele za mungu.

Mkuu hapa umeingiza kitu kingine....kwani kwenye haya mambo kuna option mbili tu?? Yan usipooa/usipoolewa ni lazima uwe mzinzi? Paulo hakuoa unamaanisha alikuwa mzinzi? Na aliposema ni heri tuwe kama yeye alikuwa anamaanisha tusiingie ndoani tuendelee kuzini?? Amesema tukiamua kuwa kama yeye ni jambo jema ila tukiona hatuwezi kukabiliana na tamaa za mwili tuingie ndoani.
 
Tunaongelea habari za ndoa pamoja na kuolewa/kuoa,

kwa maelezo yako hapo juu unamanisha kwamba watu wote walioingia kwenye ndoa wemeingia kwa matamanio ya kimwili, au nimekosea.

katika biblia ni maangazo yapi yanayotakiwa kufuatwa kati ya mtume paul na Mungu

Kwa maoni yako unataka watu waziliane? ,
 
Hueleweki....kwa hiyo unataka kuniambia Paulo alikuwa anapiga kampeni ya watu kukaidi maagizo ya Mungu?? Mungu alisema zaeni mkaongezeke haimaanishi kwamba kila mtu lazima azae...tumegawana tu majukumu. Aliposema enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi alimaanisha wote tuwe wainjilisti?? Sisi tu viungo vingi katika mwili mmoja....wewe Shy land unaweza ukazaa watoto bahati mbaya ukafa mimi nikalea wale watoto uliowaacha...tayari nimepata thawabu.
Narudia tena kutokuzaa si dhambi na kuzaa si utakatifu
 
Last edited by a moderator:
Habari ya watu wanaoingia kwenye ndoa wanaingia kwa sababu gani mi sijui....ningekuwa kwenye ndoa labda ningekuwa na jsmbo la kusema
 
do you think I will respond your question while you rejected mine! Kama sio kusubili utangoja.

Nikiwa naongelea chumvi ukaleta story za cement huwa nahesabu ni kiuoga fulani, inabaki kupiga porojo as we did.
The question remains.
 
Hueleweki....kwa hiyo unataka kuniambia Paulo alikuwa anapiga kampeni ya watu kukaidi maagizo ya Mungu?? Mungu alisema zaeni mkaongezeke haimaanishi kwamba kila mtu lazima azae...tumegawana tu majukumu. Aliposema enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi alimaanisha wote tuwe wainjilisti?? Sisi tu viungo vingi katika mwili mmoja....wewe Shy land unaweza ukazaa watoto bahati mbaya ukafa mimi nikalea wale watoto uliowaacha...tayari nimepata thawabu.
Narudia tena kutokuzaa si dhambi na kuzaa si utakatifu

KUWAACHA WAZAZI NA KUAMBATANA WAWILI KAMA MME NA MKE
(1, wakoritho 7:36] je unapokata kuoa au kuolewa unataka uendelee kuishi kwa nani?

UHUMI WA KUOA AU KUOLEWA
(mhubiri 4:9-12]
je? unafikiri kuna umuhumu gani wa kuoa au kuolewa? kama hakuna ni kwa nini?

KILA MWANAMKE AWE NA MME WAKE MWENYEWE
(1 wakoritho 17:21] soma kwa faida yako.

WATU MAALUM WASIOA/KUTOELEWA
(Mithali 25;14) kwa nini towasi paul akuoa.
 
Last edited by a moderator:
Habari ya watu wanaoingia kwenye ndoa wanaingia kwa sababu gani mi sijui....ningekuwa kwenye ndoa labda ningekuwa na jsmbo la kusema

Wanaingia kwa kufata maingizo ya mungu yaliyoko kwenye biblia.

achana na habari za matowashi na wajane.
 
Pamoja na hivyo, je? biblia inasema nini juu ya kushiriki tatika ngono kabla ya kuona.

kama una biblia soma matendo 15;20
warumi 18;29

Waebrania 13;14 inasema mapenzi baina ya mme na mke waliooana ndio mapenzi yaliyokumbalika mbele za mungu.

Wewe unajichanganya sasa na huna hoja, hata mtu aliyeoa au kuolewa akifanya akifanya tendo la ndoa na mtu mwingne ambaye si mke au mume wake hao wanazini kama wanavyozini member wengi wa jukwaa hili la MMU.

Na ukumbuke pia kwa mujibu wa biblia mtu yoyote atakayemuowa mwanamke aliyepewa talaka kwa sababu ya kosa la uzinzi basi mwanamke huyo atakuwa anazini na mwanaume anazini pia. Kwa mnaodanganyanaga kwamba kwa wakrirto talaka hakuna lakini Yesu aliruhusu talaka kwa shingo upande ila kwa kosa moja tu la uzinzi.
 
Mkuu Matola hilo swali nilimuliza kimutengo Khantwe lakn naona alilichega kwa kisigizio cha mtume paul ambaye alikuwa towashi (1 wakoritho 7:26, 32-35)

aliyekuwa analazimisha watu waishi kama yeye towashi,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom