Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.

Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa.

Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)

Wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii.

Wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa.

Bwana MO11 upo
 
kwa hiyo ili mwanamke aolewe ni lazima awe hajiamin? hao wanaume uliowahoji ni wa wap? mwanamke anaolewa kwa ajili yanini, kitu cha kwanza kabisa ni tendo la ndoa na kusaidiana na mumewe kuendesha familia, katika suala la kusaidiana lazima mwanamke awe ngangali hasa akiwa mzembemzembe au hajiamin haohao utasikia huyu mwanamke mvivu, mzembe ukimpa maelekezo hafuati inavyotakiwa kumbe tatizo ni kutojiamin kwa mwanamke, kila akitaka kufanya kitu atahic anakosea
 
What is overconfidence?
What's the source?
What are the symptoms of overconfidence?
How can we overcome the 'problem'?
 
Nakubaliana nawe Shy land.
Wanaume wanaamini wao ni watawala, hivyo akikuta mtu ni kichwa zaidi yake anakosa kujiamini.
Wanaume wengi wanaogopa changamoto kutoka kwa wanawake hivyo wanataka mwanamke ambae wataweza kumtawala/ kumuendesha na ndio maana wanaume (WENGI SIO WOTE) Ni waoga kuoa mke anaemzidi elimu, kipato, umri au huko kujiamini.
 
Kilichonileta ni miguu......

Siendi kulia wala kushoto...

mimi ni member wa Jf

Kwa hiyo wewe kama ni member wa jf, uwe unanipagia namna ya kuanzisha thread. ni utafiti wangu na wewe kafanye wako.
 
Angalau mwanamke awe na aibu kidogo sio anakaza jicho kama.... nisimalizie nisipigwe ban
 
ukiwa darasa la saba alafu ukikaa na wapuuzi na we lazima uongee upuuzi usiokuwa na chembe ya ukweli.Jalibu kuweka hoja zenye mashiko sio kila muda uweke ndoto zako kwenye jf kisa umeishia darasa la saba,ujinga wako umekuwa mzigo jf bora zigo la kinyesi.
 
What is overconfidence?
What's the source?
What are the symptoms of overconfidence?
How can we overcome the 'problem'?

Sijui kama kakuelewa huyu Kanyaboya... Oyaaaa wakwetu Shyland njoo huku ujibu hii coment ya kwenye sredi yako...

Hahahaha... Standard seven ni shiiiida kwa dunia ya sasa.. Uwezo mdogo wa kufikiri..
 
upo jf kuwadhalilisha wanawake toka asubuhi,je umezaliwa na mwanaume nini?je wajua dada zako,mama yako alikuwa na tabia gani alivyokuwa msichana?acha izo we mtoto wa kiume wenzio tunawaza kuongeza kipato kwenye taifa we unawaza kumdharau mwanamke
 
Sijui kama kakuelewa huyu Kanyaboya... Oyaaaa wakwetu Shyland njoo huku ujibu hii coment ya kwenye sredi yako...

Hahahaha... Standard seven ni shiiiida kwa dunia ya sasa.. Uwezo mdogo wa kufikiri..

Wewe kilema wa kufikiri., akili zako zimekufa tena zimeoza unafikiri kingereza chepesi kama hicho kimshide darasa la saba. vyooo!
 
Back
Top Bottom