Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Hahahaa mchungaji huyu ndugu yako ananichekesha sana mimi aisee.....eti anakataa mafundisho ya paulo kwa kudai eti hayatoki kwa Mungu na hapo hapo analeta vifungu kutoka Timotheo....ana akili sawasawa huyu??

Kwahiyo yeye ana biblia yake? Hawa ndio wanaosoma vitabu bila kusoma dibaji, na nina uhakika huyu hajasoma kitabu cha Ufunuo wa Yohana akajuwa kuhusu yale mapigo kwa atakaeongeza au kupunguza neno katika biblia.
 
Sasa hivi anaona sifa ila hakika haelewi hatari iliyoko mbele yake
 
Yaani wewe...huna hata hoja. Paulo alitoa option mbili mtu achague anachoweza (anachopenda) . Ndio maana alikuwa anafundisha na mafundisho ya ndoa pia.....hakukataza kuoa hata kidogo.

Kama hana hoja wewe ulichosema kimesimama kwenye msingi upi wa hoja?
 
Wanaoponda waponde tu ila kuna ka ukweli kwa mbaaaali maana hata shulen msichana anaejiamin saaana ana marafk wachache wa kiume.
 
Hii debate ni ngumu hasa kwa Shy land maana anashambuliwa kila upande,,,,,, lakini amejitahidi kupangua karibu hoja zote ,,,, congratulations ,,,,,,,,kuna watu humu wanajiita ma degree holders lakini ukifuatilia hoja zao hazinaga mashiko kama za huyu anayesemeka ni dalasa la saba ,,,,,,,,,,,,big up Shy land kama ni ligi mpaka hapa umeshindaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ninachikiona hapa wewe ni kwamba una confidence (siyo over confidence) kama ambavyo tumeshindwa kutofautisha hapa,,,,,,,, na ndiyo maana umeweza ku compete na watu wa humu ndani ambao kila mmoja utasikia ooooh nimemaliza chuo mara oooooooh degree nk nk, nk ,nk. Lakini wewe pamoja na la saba lako umekomaa mpaka mwisho huku fell inferior ,,,,,,,,kwamba kwa elimu yako hii pengine utakuwa kituko Cong rants!!!!!!!!!!!!
 
Nakubaliana nawe Shy land.
Wanaume wanaamini wao ni watawala, hivyo akikuta mtu ni kichwa zaidi yake anakosa kujiamini.
Wanaume wengi wanaogopa changamoto kutoka kwa wanawake hivyo wanataka mwanamke ambae wataweza kumtawala/ kumuendesha na ndio maana wanaume (WENGI SIO WOTE) Ni waoga kuoa mke anaemzidi elimu, kipato, umri au huko kujiamini.

Yaani hapa umeongea ukweli mtupuuuuu!!!! Hongera nakuunga mkono!!!
 
over confidence ni mbaya sana kwa wanawake maana ukweli ni kwamba wanaume wengi huogopa kupandwa kichwani!!!!
 
Ukipenda kuongea na watu, kwa kweli utapata mengi sana na utaongeza maarifa.

Huu ni ukweli nilioufanyia mahojiano na wanaume mbali mbali ambao hawajaoa.

Wanadai ya kwamba msichana anayejiamini sana kupita kiasi ana safasi ndogo sana ya kuolewa. Kwa sababu wanaume waliowengi hujisikia wanyoge sana kwenye ndoa, wanawake wanapokuwa wao ni kama watawala katika familia na wenye maamuzi(tena wanawake kama hao wanakiburi sana, kutokana na kujiamini kwao.)

Wanaume walioa wanawake wanaojiamini kupita kiasi, wanadharaulika sana mbele ya jamii.

Wasichana kazi kwenu mnaotaka kuolewa.

Bwana MO11 upo

Naona umem-quote mume wangu MO11
 
Last edited by a moderator:
Ninachikiona hapa wewe ni kwamba una confidence (siyo over confidence) kama ambavyo tumeshindwa kutofautisha hapa,,,,,,,, na ndiyo maana umeweza ku compete na watu wa humu ndani ambao kila mmoja utasikia ooooh nimemaliza chuo mara oooooooh degree nk nk, nk ,nk. Lakini wewe pamoja na la saba lako umekomaa mpaka mwisho huku fell inferior ,,,,,,,,kwamba kwa elimu yako hii pengine utakuwa kituko Cong rants!!!!!!!!!!!!

kituko???? nakuomba uamini kwamba shy land ni zaidi ya ujuavyo!!
 
Back
Top Bottom