Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

Tuachane na habari za mungu maana huwanga nakufatilia hoja zako, nikagundua una kitu fulani ambacho unahitaji kufunguliwa.

yaani wewe sijui huwanga unafikirije kuhusu uwepo wa duniania na viumbe hai, sijui. au history, biology n.k ilikuharibu kisaikolojia. mimi sijui.

lakn tukirudi kwenye mada kuolewa au kuoa ni lazma katika tamaduni nyingi hapa duniani.

kama wewe unataka kupga desturi hizi, kama unavyopiga uwepo wa mungu ni sawa.

Ukitambua ni sawa, usiwanyanyapae watu wasiotaka kuoa au kuolewa kama vile si watu kamili.

Kwa nini msichana kujiamini sana kuwe ni tatizo?

Mimi ningetaka msichana anauejiamini sana tucheze mental jujitsu.

Asiyejiamini mazingumzo ya kifungua kinywa tu yatamliza kila siku.
 
Kuna watu hawafungwi na mila na desturi wapo above that, na si kosa kuolewa kama isivyo kosa kutoolewa
 
All i see is weakness hapo overconfidence mara nyingi ni inflated ego tu, why should u go over if you are truly confident?

Mnh to b confident or over confident is subjective.....inawezekana ukawa just 'confident'...kwa mtu mwenye PHD,na ukawa over confident kwa mtu wa darasa la saba.....!

Kila mtu atafute suitable match yake,kama unaona huyu huwezi kumcontrol,anashake your ego...then tafuta mwingine,msilete generalization,kuna watu wameoa,wake zao ni super confident and they are PROUD!
 
Mkuu bwana Kiranga ni laana kubwa mbele za mungu kama hutofanya hivyo, au nikuulize swali kwa nini baba na mama walioana ukazaliwa wewe.

Acha kupotosha umma wewe....kutokuoa/kutokuolewa ni laana?? We dini gani kwanza isijekuwa tunabishana tu kumbe upo kwenye ulimwengu tofauti
 
Last edited by a moderator:

Ignorance is the real curse here, if there is any.
 
Ukitambua ni sawa, usiwanyanyapae watu wasiotaka kuoa au kuolewa kama vile si watu kamili.

Kwa nini msichana kujiamini sana kuwe ni tatizo?

Mimi ningetaka msichana anauejiamini sana tucheze mental jujitsu.

Asiyejiamini mazingumzo ya kifungua kinywa tu yatamliza kila siku.

Hahahahaaa mkuu hiyo line ya mwisho nimecheka sana. Ataiona ndoa chungu hakyanani
 
I have always been confident, and here I am married.

Tafuta jingine ganja plabter.
 
Mnh to b confident or over confident is subjective.....inawezekana ukawa just 'confident'...kwa mtu mwenye PHD,na ukawa over confident kwa mtu wa darasa la saba.....!

Kila mtu atafute suitable match yake,kama unaona huyu huwezi kumcontrol,anashake your ego...then tafuta mwingine,msilete generalization,kuna watu wameoa,wake zao ni super confident and they are PROUD!

Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo...
Utatumia kipimo gani kusema hii ni over...hii moderate?
 
Una hoja flan ila umeshindwa iweka vizuri..

LABDA UNGESEMA ''WANAWAKE WABISHI, WANAOJIONA WASOMI NA VI DEGREE VYAO.,NA WABABE KTK MAHABA''
 
Mnh to b confident or over confident is subjective.....inawezekana ukawa just 'confident'...kwa mtu mwenye PHD,na ukawa over confident kwa mtu wa darasa la saba.....!

Kila mtu atafute suitable match yake,kama unaona huyu huwezi kumcontrol,anashake your ego...then tafuta mwingine,msilete generalization,kuna watu wameoa,wake zao ni super confident and they are PROUD!

You are confusing things. The keyword here is overconfidence na maana yake. Tafuta maana yake then labda utaelewa. Maana yangu haikulenga sana juu ya ndoa pekee lakini how obnoxious one can be wakiwa overconfident and how unhealthy it is hususani ikiwa kwenye mahusiano kama ya ndoa
 
Akili yangu yote nimewekeza kwenye kuadabisha majizi ya Escrow yakingozwa na Profesa wa kichina ila wacha niseme kidogo,

Over confidence kwa mwanamke kazini kwake ni muhimu sana lakini nyumbani hapana sisemi wawe wajinga mwanamke anapaswa kudekezwa na mume sasa mwanamke unaijiamini kwa kila kitu unakosea sana.

Mwanamke una namna nyingi za kumuonesha mumeo kwamba yeye ndio mfalme kwa hata trick ndogo tu kumpigia simu arudi nyumbani kuwasetia chanel za tv zimevurugika kumbe unao uwezo wa kuchukuwa remort na kuseti mwenyewe.

Everything start from the book Mungu anasema ndani ya biblia kwenye Thimoseo kama sikosei kwamba nilimuumba mwanaume kwanza ili amtawale mwanamke na siyo mwanamke amtawale mwanaume na Mungu anaendelea zaidi anasema Adam akudanganywa na shetani bali shetani alimdanganya Mwanamke.

Ukisoma Biblia kwa makini sana utagunduwa hata Mungu mwenyewe hawaamini kabisa wanawake.

Natoa summary tu nitakuja na aya kuthibitisha ninayoyaandika.

Nipo pale pale Mungu hawaamini kabisa wanawake na ndio maana amekataza mwanamke asiitwe mjane mpaka awe na miaka 60. Wa chini ya hapo Mungu hawaamini kabisa anasema waweza tamani kuolewa tena.

Ukisoma biblia kwa makini Mungu hapendezwi na mwanamke aliyefiwa na mume kuolewa tena.

Ngoja niende Escrow niupdate soft copy bible yangu nije kuwapa mistari wadada mnaotaka kupingana na mpango wa Mungu ni ushetani tu ndio unawaongoza kwa kimvuri cha degree.
 
overconfidence c ni kujiamin kupita kias, au mimi cjakuelewa? kama ni hivyo huyo mwanamke ni mzuri sana, kumbuka mwanamke ni msaidizi, kuwa na msaidizi mwenye hali hiyo ndo mzuri, kwa ss watu wa shamba namkabidhi ng'ombe anashika plau, maana huyo hataogopa hata kama ng'ombe ni wakorofi, cjui umenipata hapo shy land

kumbe unaelewa tafasiri ya neno overconfidence lakn hujui maana yake

kuna tofauti ya mtu anayefanya kazi kwa kujituma na kujiaamini kupita kiasi.
 
Mkuu bwana Kiranga ni laana kubwa mbele za mungu kama hutofanya hivyo, au nikuulize swali kwa nini baba na mama walioana ukazaliwa wewe.

Haya uliyoyaandika ni kwa mujibu wa kitabu gani na aya gani? Hapa nilipo nina biblia nachambuwa mistari English version na swahili version.
 
Last edited by a moderator:
Akili yangu yote nimewekeza kwenye kuadabisha majizi ya Escrow yakingozwa na Profesa wa kichina ila wacha niseme kidogo,

Over confidence kwa mwanamke kazini kwake ni muhimu sana lakini nyumbani hapana sisemi wawe wajinga mwanamke anapaswa kudekezwa na mume sasa mwanamke unaijiamini kwa kila kitu unakosea sana.

Mwanamke una namna nyingi za kumuonesha mumeo kwamba yeye ndio mfalme kwa hata trick ndogo tu kumpigia simu arudi nyumbani kuwasetia chanel za tv zimevurugika kumbe unao uwezo wa kuchukuwa remort na kuseti mwenyewe.

Everything start from the book Mungu anasema ndani ya biblia kwenye Thimoseo kama sikosei kwamba nilimuumba mwanaume kwanza ili amtawale mwanamke na siyo mwanamke amtawale mwanaume na Mungu anaendelea zaidi anasema Adam akudanganywa na shetani bali shetani alimdanganya Mwanamke.

Ukisoma Biblia kwa makini sana utagunduwa hata Mungu mwenyewe hawaamini kabisa wanawake.

Natoa summary tu nitakuja na aya kuthibitisha ninayoyaandika.

Nipo pale pale Mungu hawaamini kabisa wanawake na ndio maana amekataza mwanamke asiitwe mjane mpaka awe na miaka 60. Wa chini ya hapo Mungu hawaamini kabisa anasema waweza tamani kuolewa tena.

Ukisoma biblia kwa makini Mungu hapendezwi na mwanamke aliyefiwa na mume kuolewa tena.

Ngoja niende Escrow niupdate soft copy bible yangu nije kuwapa mistari wadada mnaotaka kupingana na mpango wa Mungu ni ushetani tu ndio unawaongoza kwa kimvuri cha degree.

Hahahaa nimecheka sana eti baby wahi kurudi uje ubadilishe hij taa ya bafuni imeungua...kiruuu
 
Haya uliyoyaandika ni kwa mujibu wa kitabu gani na aya gani? Hapa nilipo nina biblia nachambuwa mistari English version na swahili version.

mkuu Matola naomba uniambia kifungu katika biblia inayosema kutoa au kuolewa ni sawa.
 
Last edited by a moderator:
dada yako,shagazi ,mama yako wana overcomfidence au low, je waliolewa kwa kuwa wana low confidence?

Nashindwa shangaa sababu confindence inaendana na intelligence...sasa nani anataka awe na mtu wake wa karibu aliye mjinga mjinga?

Aisee maisha yangu yote nimelelewa kuwa na confidence...nimelelewa kuweza kujieleza...kujitetea (argue) etc...

Nimeshawai ona watu wanakosa ajira sababu ya kutokuwa na confidence...mtu anaenda kwenye interview anaulizwa swali anataka kulia...anadhani kuna kazi ya kupewa kwa machozi...
 
dada yako,shagazi ,mama yako wana overcomfidence au low, je waliolewa kwa kuwa wana low confidence?

Nimbie kwanza shule ulisomea wapi? maana commet zako nakuwa na wasiwasi na elimu yako, au hujui maana ya overconfidence ndio maana.
 
Nashindwa shangaa sababu confindence inaendana na intelligence...sasa nani anataka awe na mtu wake wa karibu aliye mjinga mjinga?

Aisee maisha yangu yote nimelelewa kuwa na confidence...nimelelewa kuweza kujieleza...kujitetea (argue) etc...

Uliza ueleweshwe mtu wenye overconfidence anakuwaje? acha kuwa kama mtu uliyefugwa kifikra
 
Naunga mkono! ni kweli kabisa! siwezi oa mwanamke anayeongea kama chiriku! hajui nini akiongee wapi na kwa muda gani! ni shida sana! nina uzoefu na hili sana.
 
Back
Top Bottom