Overconfidence kwa msichana itakufanya usiolewe

ni mtu aliyejijengea kujiamini kupita kiasi, kiasi cha kwamba hata kwenye jambo la maana, atalazimisha iwe vile anavyotaka, kujiamini huku kunaambata na majivuno, maringo, n.k

kuna mambo mengi yanayoweza kumfanya mtu awe na overconfidence, kama uzuri wa sura, mali, elimu, kibuli au kuzaliwa kwenye familia tajiri.

nakuja kumalizia

Kuna mdau alisema ukitiririka na huyo manzi kwa lugha ya kikristo basi apigwe ban wiki 5 naona umeamuwa kumsamehe bure kwa kutiririka kiswahili.
 
mkuu nilikuwa namjibu tarimo labda nilkosea quqote
 
bora urudie mtihani wa darasa la saba ili ufahulu angalau upate ka chet form 4 tunachoka na tafiti zako za local

Over confidence is a gift and curse...hata kwenda kuomba kazi unaambiwa usiwe overconfidence...sasa wewe bisha na kutukana kana kwamba hulijui hili
 
Soma.. 1 Wakorintho 7:1-40 utaelewa zaidi.

Paulo alikuwa mtume mseja au towashi kama alivyo kuwa Yesu.. Lakini bado Paulo alionya ikiwa utashindwa kudhititi tamaa yako ya mwili ni heri kuoa…..Yesu alithibitisha hilo wakati alipokuwa akiwajibu Mafarisayo walikuwa wanamjaribu kuhusu taraka kwa kusema kwenye Mathayo 19:4 na kuendelea….

Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?

Nikijibu ombi lako Matola kutokuoa katika imani ya kikristo pekee kulikusudiwa kwa watu walitakiwa kueneza na kuliishi neno la Mungu kwa mujibu wa Yesu na Paulo. Na Yesu alisema hivi katika Mathayo 19:12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee. Hapo mjadala wa kutooa au kuolewa ukawa umefungwa.

Tukirudi kwa mtoa mada hapo kuna mchanganyiko wa maswala mengi sana... ameongelea kujiamini kuliko pitiliza (overconfidence) kwa wanawake kama sababu ya kuwatia uoga wanaume kuoa bila shaka?

Mkanganyo utaondoka endepo kila jinsia itakapo tambua mipaka yake kwenye kuanzisha muungano wa kijadi wa ndoa toka kale kwa kufuata misingi ya imani ya wahusika. Nafasi ya mume ni ipi na nafasi ya mke ni ipi katika ndoa. Naomba mkuu Tized aje na ufanunuzi wa kiimani (Kwa wakristo) ili soma liwe zuri zaidi. Vivyo hivyo kwa wengine wenye ufahamu ulitukuka.. nanyi karibuni.

Kwa mujibu wa biblia kutokuowa ni sawa tu na mtume Paulo alitusisitiza angependa tuwe kama yeye maana yeye hakuowa kwenye maisha yake.

Member anayekumbuka hiyo aya atakuwekea hapa.
 
Last edited by a moderator:
Over confidence is a gift and curse...hata kwenda kuomba kazi unaambiwa usiwe overconfidence...sasa wewe bisha na kutukana kana kwamba hulijui hili

Mkuu hata kwenye mfunzo ya upolisi hutakiwi kuwa na overconfidence.
 
Soma.. 1 Wakorintho 7:1-40 utaelewa zaidi.

Paulo alikuwa mtume mseja au towashi kama alivyo kuwa Yesu.. Lakini bado Paulo alionya ikiwa utashindwa kudhititi tamaa yako ya mwili ni heri kuoa…..Yesu alithibitisha hilo wakati alipokuwa akiwajibu Mafarisayo walikuwa wanamjaribu kuhusu taraka kwa kusema kwenye Mathayo 19:4 na kuendelea….

Akajibu, akawaambia, Hamkusoma ya kwamba yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja?

Nikijibu ombi lako Matola kutokuoa katika imani ya kikristo pekee kulikusudiwa kwa watu walitakiwa kueneza na kuliishi neno la Mungu kwa mujibu wa Yesu na Paulo. Na Yesu alisema hivi katika Mathayo 19:12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee. Hapo mjadala wa kutooa au kuolewa ukawa umefungwa.

Tukirudi kwa mtoa mada hapo kuna mchanganyiko wa maswala mengi sana... ameongelea kujiamini kuliko pitiliza (overconfidence) kwa wanawake kama sababu ya kuwatia uoga wanaume kuoa bila shaka?

Mkanganyo utaondoka endepo kila jinsia itakapo tambua mipaka yake kwenye kuanzisha muungano wa kijadi wa ndoa toka kale kwa kufuata misingi ya imani ya wahusika. Nafasi ya mume ni ipi na nafasi ya mke ni ipi katika ndoa. Naomba mkuu Tized aje na ufanunuzi wa kiimani (Kwa wakristo) ili soma liwe zuri zaidi. Vivyo hivyo kwa wengine wenye ufahamu ulitukuka.. nanyi karibuni.

Kwa maandiko hayo inaonekana kuwa kuoa/kuolewa ni jambo la hiari...unaweza kuingia au akaamua kusamehe. Haya ya kusema kutokuolewa/kutokuoa ni laana yanatoka wapi??
 
Last edited by a moderator:
Kwa maandiko hayo inaonekana kuwa kuoa/kuolewa ni jambo la hiari...unaweza kuingia au akaamua kusamehe. Haya ya kusema kutokuolewa/kutokuoa ni laana yanatoka wapi??

Nimejifanya sijui lakn naona unichokoza

mwazo 9.. inasema

mungu akawabariki nuhu na wanawe akawaambia, zaeni mkaongezeke mkaijaze nchi.

je,? wakati anawambia hivyo alikuwa anamanisha wakazae pasipo ndoa, je kuzini ni kufanyeje.
 
Kwa hiyo inamaanisha kuwa lazima kila mtu azae?? Kwenye hilo andiko amesema usipozaa utakuwa umetenda dhambi?? Kama ndo hivyo vipi masista na mapadre wanatenda dhambi? Vipi kuhusu wagumba? Watahukumiwa kwa kutokuzaa?? Unamaanisha Paulo aliposema ni heri kuwa kama yeye alikuwa anashawishi watu kuenenda kinyume na agizo la Mungu?? Ukiamua kutokuzaa na zinaa ukaikataa si kosa hata kidogo.... Tatizo watu mnajifanya mmeshika sana hilo agizo la kuzaa na kuongezeka kwa sababu linaenda sawasawa na matamanio yenu.
Vipi zile amri zinazosema USIZINI,USIUE,USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO??
 
Mbona unalalamika as if mke wako ndo anakulisha, unatetea kana kwamba umepewa offer ya kuwa mwanamke. Kama vp vaa sketi tukuelewe vizuri. Halafu unawaonaje std 7? Iweje wewe utharau std 7 lakini wakisemwa wanawake kwa ukweli unaanza kuroroja?@TARIMO WA ROMBO
upo jf kuwadhalilisha wanawake toka asubuhi,je umezaliwa na mwanaume nini?je wajua dada zako,mama yako alikuwa na tabia gani alivyokuwa msichana?acha izo we mtoto wa kiume wenzio tunawaza kuongeza kipato kwenye taifa we unawaza kumdharau mwanamke
 
mwanamke akiwa overconfident anakuwa independent sana. anakuwa anaona anaweza kumanage chochote alone. nani anatakaa mke wa hivyo?. nahisi overconfidence ni neno lingine la delusions of granduer ambayo ni mbaya kwa wanaume na wanawake.
 
Kwa hiyo inamaanisha kuwa lazima kila mtu azae?? Kwenye hilo andiko amesema usipozaa utakuwa umetenda dhambi?? Kama ndo hivyo vipi masista na mapadre wanatenda dhambi? Vipi kuhusu wagumba? Watahukumiwa kwa kutokuzaa?? Unamaanisha Paulo aliposema ni heri kuwa kama yeye alikuwa anashawishi watu kuenenda kinyume na agizo la Mungu?? Ukiamua kutokuzaa na zinaa ukaikataa si kosa hata kidogo.... Tatizo watu mnajifanya mmeshika sana hilo agizo la kuzaa na kuongezeka kwa sababu linaenda sawasawa na matamanio yenu.
Vipi zile amri zinazosema USIZINI,USIUE,USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO??

Pamoja na hivyo, je? biblia inasema nini juu ya kushiriki tatika ngono kabla ya kuona.

kama una biblia soma matendo 15;20
warumi 18;29

Waebrania 13;14 inasema mapenzi baina ya mme na mke waliooana ndio mapenzi yaliyokumbalika mbele za mungu.
 
Back
Top Bottom