Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,857
- Thread starter
- #21
upo jf kuwadhalilisha wanawake toka asubuhi,je umezaliwa na mwanaume nini?je wajua dada zako,mama yako alikuwa na tabia gani alivyokuwa msichana?acha izo we mtoto wa kiume wenzio tunawaza kuongeza kipato kwenye taifa we unawaza kumdharau mwanamke
Mkuu ni sehemu gani ya maelezo yangu nimezalilisha mwanamke, naona sana umeishiwa hoja umeaza kupwaya na kuhoroja tu.
