Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
White House wamesema hawata release the photos.Reason ni kwamba they are too gruesome.Nadhani Obama anavuta time kama alivyofanya kwenye birth certificate yake.Atazitoa hizi picha nadhani, ila maybe baada ya kelele mingi kwenye news ili issue isife mapema na close to election zitatoka.Kwa kuchelewesha utoaji wake pamoja na habari nusunusu za kukanganya itasaidia issue hii kuwepo around for a sgnificant amount of time to come.Mark words.
 
Kama ni hivyo hakuzikwa, alitupwa. Kwani kama hao wanaomwamini osama hata kama wangegeuza kaburi la osama kuwa mahali patakatifu kwao tatizo lipo wapi? sioni mantiki yoyote, walitakiwa waukabidhi mwili jamaa zake wakauzike, na hii inaacha shaka kubwa sana pengine hakuwa osama bali wanafanana tu.
 
Obama mwongo kweli, hiyo triki alipewa na Kikwete jinsi Balali alivyokufa hadi kuzikwa. Ha ha ha Ndiyo maana Obama anampenda Kikwete.

jinsi waarabu wanavyopenda ligi angekuwa mzima osama angekuwa ameshatoa video na audio zaidi ya tano kukanusha lakini kimya,..day 4...dead dead dead,sijasikia kujilipua tokea auawe,wameingiwa hofu wafuasi wake wote,.end of the chapter
 
unamaanisha mwili ambao hawatupatia picha sasa kama walitaka kupata positive identification alipokufa basi si wangewaita nduguzake watoe hiyo positive identification si hivyo ndo wanavyofanyaga mtu akifa. hata sadamu husen mbona walifanya hivyo na mapicha wakeka live. hawa wanataka tuwapatie mda nadhani bado wanatengeneza mwili bandia waosama kama watatoo hiyo proof.

Unazani uko chunya ama maneromango? Eti ndugu waitwe kutambua mwili, jamani! Duh
 
Rais wa marekani Barack Obama amekataa picha za Osama kuwekwa hadharani kama uthibitisho wa kifo chake......
Source:www.bbc.co.uk
and
www.cnn.com
 
Maswali na mashaka yataendelea kuwepo na hii ndo inaweza kumfanya jamaa aonekane kama mungu flani hivi.....nyi subirini tu.

NN binafsi nilikuw na maswali lakini kwa kuwa kuna huyo mkewe mwenye 19 yrs na watu wengine wako hai waliokuwa kwenye hilo jumba wanaweza kuwa source ya habari za kuaminika. na uzuri zaidi wako mikononi mwa Pakistan. So tutapata habari amabzo siku si nyingi za kukazia kuwa Osama alikuwemo humo.
 
Birth certificate ya Obama unaweza ukachelewesha kutoa na isiwe tabu lakini death certificate ya Osama ikichelewa kutoka haitofaa tena.
Obama anasema hatotoa picha za maiti ya sheikh Osama.Si kwamba ana huruma na heshima bali hana!.Vyenginevyo mafundi wa kutenngenezo hizo picha hawajaimudu kazi.Wengine wametoa ikionesha maiti imevimba kama vile alikufa juzi,hii haikubaliki.Mwengine katoa eti Osama kavaa kilemba na ile sare ya jeshi,hilo haliwezekani kwani ilikuwa ni wakati wa kulala walipovamia.
Mungu(Allah) yuko karibu sana nao ili kuwafedhehesha na uwe mwisho wao.Kila wanachokifanya tangu watangaze hicho kifo kimejaa utata mtupu.
1.Osama hawezi kuishi kwenye kambi ya jeshi,angehiyari kule kule mapangoni.
2.Kama kweli ile nyumba alijenga yeye basi asingechagua kuijenga sehemu ya wazi namna ile.Nyumba yake ingekuwa imejigandamiza na mlima na kuwa na handaki ambalo pindi akisikia vishindo angepotelea huko.
3.Iwapo alilazimishwa kukaa pale na ISI kwa amri za US bila Osama kujua,basi asingechagua kuishi na mke wake ghorofa ya pili kama vile mtalii.
4.Panetta katika kuchanganyikiwa na hisia za walimwengu kuhusu ukweli wa tukio la kifo cha Osama anasema habari ya namna gani wangefanya na picha za maiti ya Osama walishajadiliana tangu mwaka jana.Hebu fikiria itakuwaje wajadili jinsi ya kufanya na picha za maiti badala kujadili uwezekano wa kuipata hiyo maiti kwanza.
Hii ni kuonesha walianza kuhangaika zamani kutengeneza mchezo.
5.Majirani wa lile jumba wanasema wala hawawajuwi vyema watu waliokuwa wakiishi.Inaonekana aliyekuwa akielewa ni mzee Muhammad Qassim,huyu ndiye wa mwanzo aliyekamatwa na jeshi la Pakistan na mpaka sasa hajulikani alipo.
6.Iwapo lile jumba ni la Osama wala asingechagua kujenga kuta nene za uwa,badala yake angechimba handaki au angeimarisha mapaa ya nyumba.Anajuwa maadui zake si vibaka wa Abbotabad bali ni wamarekani wenye teknolojia na vifaa vya angani.

Maswali na shaka zipo nyingi ila ukweli ninaouamini ni kuwa Osama hakuwepo kwenye shambulizi la juzi,hayupo duniani na wala hatojitokeza tena na wamarekani hawatopata picha yake yoyote nyengine.
 
NN binafsi nilikuw na maswali lakini kwa kuwa kuna huyo mkewe mwenye 19 yrs na watu wengine wako hai waliokuwa kwenye hilo jumba wanaweza kuwa source ya habari za kuaminika. na uzuri zaidi wako mikononi mwa Pakistan. So tutapata habari amabzo siku si nyingi za kukazia kuwa Osama alikuwemo humo.

Tuna uhakika gani kuwa huyo mwanamke ni mkewe na Osama?

Mimi sikubali kuamini tu kila ninachoambiwa hususan kama kina mapungufu. Manake kuna mengi mno ambayo yameshasemwa kuhusu Osama mpaka mtu unashindwa kujua kipi cha kweli na kipi cha uongo.

Na tokea Jumapili hadi sasa habari zimeenda zikibadilika badilika mno kiasi cha kuchanganya. Ooh well...labda mpaka Donald Trump aanze tena kuzipigia kelele hizo picha kama alivyokomalia cheti cha Obama ndo zitatolewa lol.

Pia hata opinion polls zinaonyesha Wamarekani wengi wanataka kuziona hizo picha.
 
Utata wa kutoa picha.
Watu wangeamini pia kuwa wamarekani wamempata Osama kwa kuonesha picha, au tukio la yeye kukataa kukamatwa kama wanavyotueleza.
Zile picha za Osama kabla hawajamuua pia zingeushawishi ulimwengu kuwa Osama alikuwepo pale na alipatikana wakati wa ile operation.
Hawana ulazima kuonesha picha ya maiti yake.

Tukumbuke kuwa wao wamesema walikuwa wanapokea real time live feed ya operation basi kupata picha ya tukio kabla hawajamuua pia ni tabu?
Au jamaa wameingizwa mjini? walikuwa wanaoneshwa scary movie na photo op?

Bado masuali yanaongezeka!!
 
uongozi wa marekani hauwezi kuwadanganya wananchi wake manake madhara yake ni makubwa kuliko sababu unazotoa.. !! USA imejaa wasomi na wananchi waelewa..!
Kweli maneno yako, si unakumbuka hata walipotaka kuivamia Iraq, walionyesha ushahidi wa siraha za maangamizi zilizoko Iraq...! Wakaivamia Iraq wakauwa na kukamata siraha kibao za maangamizi, zikiwemo za kibaiolojia, kifizikia na kikemia.
 
Tukumbuke kuwa wao wamesema walikuwa wanapokea real time live feed ya operation basi kupata picha ya tukio kabla hawajamuua pia ni tabu?
Au jamaa wameingizwa mjini? walikuwa wanaoneshwa scary movie na photo op?

Bado masuali yanaongezeka!!

Bonge la pointi! Wametoa picha ya Situation Room ikionyesha Obama na timu yake wakiangalia in 'real time' jinsi ambavyo tukio zima lilivyojiri.

Unachosema ni cha msingi sana. Wanaweza wakatoa kipande cha video hadi pale sura yake inapoonekana halafu basi, wasituonyeshe kilichobakia.

Hahahaaa kuna maswali mengi sana hapa na wao ndo wanayasababisha yawepo.
 
Tuna uhakika gani kuwa huyo mwanamke ni mkewe na Osama?

Mimi sikubali kuamini tu kila ninachoambiwa hususan kama kina mapungufu. Manake kuna mengi mno ambayo yameshasemwa kuhusu Osama mpaka mtu unashindwa kujua kipi cha kweli na kipi cha uongo.

Na tokea Jumapili hadi sasa habari zimeenda zikibadilika badilika mno kiasi cha kuchanganya. Ooh well...labda mpaka Donald Trump aanze tena kuzipigia kelele hizo picha kama alivyokomalia cheti cha Obama ndo zitatolewa lol.

Pia hata opinion polls zinaonyesha Wamarekani wengi wanataka kuziona hizo picha.

kama huyo mkewe na huyo mwanawe na wao hutawaaamini tena wakiwa mikononi mwa serikali ya pakistan amabyo hata USA haina imani nayo sana..

Binafsi siamanini but nasubiri news za pakistan wakitoa detail, maelezo na nakuu za hao watu waliokuwa na Osama. Kadiri siku zinavyokwenda ukwel na uwongo utajulikana.
 
Shida nyingine wanapata ni kujistify kwa nn wallimuua huku Obama akijifanya ni mtu ambaye hakuwa na silaha na wakti huo huo waipretend ni watu wa Justice. Hawawezi kupika uwongo mwingi sababu huyo binti mkewe yupo naye ataongea.

I think Obama kaona sometime sheria inapindishwa ili mambo yaende. Imagine Osama in US court!!!!!!! i think they wanted him dead and nothing else. baada ya hapo sasa waht happened.........
 
bin-laden-compound1.jpg

The unidentified body of a man is seen after a raid by U.S. Navy SEAL commandos on the compound where al Qaeda leader Osama bin Laden was killed in Abbottabad, May 2, 2011. Bin Laden was killed in the U.S. special forces assault on the Pakistani compound, then quickly buried at sea, in a dramatic end to the long manhunt for the al Qaeda leader who had been the guiding star of global terrorism. Picture taken May 2, 2011. REUTERS

bin-laden-compound2.jpg

bin-laden-compound4.jpg
 
Trust me picha za Osama zitaleak tuu....its a matter of time.
 
Jamaa wa picha ya kati naona alikuwa kajihami na toy gun ya plastiki ya kijani.
 
Hizi picha zimekuwa leaked na serikali ya Pakistan?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom