Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Shida nyingine wanapata ni kujistify kwa nn wallimuua huku Obama akijifanya ni mtu ambaye hakuwa na silaha na wakti huo huo waipretend ni watu wa Justice. Hawawezi kupika uwongo mwingi sababu huyo binti mkewe yupo naye ataongea.

I think Obama kaona sometime sheria inapindishwa ili mambo yaende. Imagine Osama in US court!!!!!!! i think they wanted him dead and nothing else. baada ya hapo sasa waht happened.........
Wangempeleka court wasingekuwa na evidence za kutosha za kumpa adhabu ya kifo.
 
Hizi picha zimekuwa leaked na serikali ya Pakistan?

Ee bana inaonekana ni kweli kauli yako...

The photos [were], taken by a Pakistani security official who entered the compound after the early morning raid on Monday, show two men dressed in traditional Pakistani garb and one in a t-shirt, with blood streaming from their ears, noses and mouths.
 
Go figure bro...Serikali ya Pakistan watoe wapi picha kama hizi wakati hawakuhusishwa hata kidogo kwenye mission nzima?
Lol, serikali ya Pakistan ndio inayoishikiria hiyo compound sasa hivi. Navy SEALs waliondoka na mwili wa Osama miili na survivor wengine wote waliachwa hapo. Unless zilipigwa na the locals kabla serikali haijafunga milango na kuweka wanajeshi wenye bunduki kulinda.
 
You're prolly right. Soma correction yangu juu.
 
Lol, serikali ya Pakistan ndio inayoishikiria hiyo compound sasa hivi. Navy SEALs waliondoka na mwili wa Osama miili na survivor wengine wote waliachwa hapo. Unless zilipigwa na the locals kabla serikali haijafunga milango na kuweka wanajeshi wenye bunduki kulinda.
Pakistani ngoma yao ngumu sasa hivi lol inaonekana jamaa walikuwa wanamuifadhi huku wanakula hela ya wamarekani lol.

Na kama wangeambiwa jamaa anaenda kushambuliwa wange m-save lol.
 
Tatizo sasa hivi hata zikija kuvuja ni sawa na kazi bure tu kwa sababu tayari kuna ambazo ni feki na zinazunguka huku na kule. Sasa hata hizo ambazo ni za "kweli" zikitoka watu hawatakuwa na imani tena.

Zingetoka kesho yake nadhani haya makelele yote yasingekuwepo. Halafu kina Obama si waliliangalia hilo shambulizi in 'real time'? Kwa hiyo kutakuwa pia na video yake. Nashangaa kwa nini watu hawaiongelei hii video. Au labda tumedanganywa tu maana haya mambo ya vita yana propaganda nyingi sana. Kama ile helikopta tunayoambiwa eti iliharibika. Huenda ilishambuliwa na watu wa Osama lakini Wamarekani hawawezi kuwapa Al-Qaeda hiyo moral victory.

Let the conspiracy theories continue...
 
Hilo swala la helicopter mie mwenyewe siwakubalii kabisa.manake inakuwaje kila siku hizi helicopter zao zinadondoka tu kwa tatizo la ufundi? Wamarekani watu makini sana kwenye kujiandaa na sidhani hio helicopter ilipata tatizo ghafla inawezeka ilitunguliwa na kama kuna mtu wao amefariki hawataki kusema.
 
Mara kibao huwaga wanasema ama ndege zao au helikopta zao zikidondoka eti lilikuwa tatizo la kiufundi. Ni nadra sana kukiri enemy fire ndo imesababisha....hahahaaaa hawa watu bana inabidi kuwaangalia na kuwasikiliza kwa jicho na sikio la tatu muda wote.
 
Kuhusu picha sasa hivi wanasema kutokana na hali ilotokea somalia kipindi cha Clinton jinsi wanajeshi wao walivyo buluzwa barabarani ni vizuri kutozitoa.

Na sasa washamaliza kushangilia wamerudi kwenye politics wanagombea nani achukue credits za kuuliwa osama.obama au bush lol
 
Pakistani ngoma yao ngumu sasa hivi lol inaonekana jamaa walikuwa wanamuifadhi huku wanakula hela ya wamarekani lol.

Na kama wangeambiwa jamaa anaenda kushambuliwa wange m-save lol.
Wapakistan mziki wao mzito sana ndani na nje ya nchi, yani kweli walishindwa kudetect helicopter zimeingia na kutua karibia na chuo chao cha kijeshi plus hizo helicopter zimekaa ardhini karibia saa nzima alafu moja ikaondoka. Air Defence System yao haifanyi kazi au? Waje bongo tuwauzie radar ya kina Chenge.
 
Hilo swala la helicopter mie mwenyewe siwakubalii kabisa.manake inakuwaje kila siku hizi helicopter zao zinadondoka tu kwa tatizo la ufundi? Wamarekani watu makini sana kwenye kujiandaa na sidhani hio helicopter ilipata tatizo ghafla inawezeka ilitunguliwa na kama kuna mtu wao amefariki hawataki kusema.

Nakubaliana na wewe, haswa ukichukulia kwamba all we've been hearing so far is only one side of the story - namely the American Authorities's day-by-day different versions of what really went down that night.

Kusema kweli (Plastic toy guns next to cold dead bodies aside), these Al Qaeda dudes surely didn't go out laying down on their beds as the latest US propaganda will have it (i.e., The White House's latest claim that OBL wasn't armed and didn't offer any resistance).

I have good reason to believe that, that helicopter was possibly shot down, because elsewhere we can read that:

Once the helicopters came close to OBL's hideout, men on the roof opened fired with rocket propelled grenades, according to CBS's Pakistani source.
 
NN video za Op nzima sidhani kama zitatolewa sababu kubwa ni moja Op Sec (hawataki watu wasome tactics zao) unless zifanyiwe editing ya nguvu ambayo itaondoa uhondo wote. Kumbuka mtu yoyote anaweza kuvunja mlango lakini sio wote wana tactics za DEVGRU and whatnot.

Vile vile niliwahi kusoma sehemu information zozote za DEVGRU haziruhusiwi kutolewa hadharani na Whitehouse au DoD ndio maana sijasikia watu wakiomba video.
 
Tatizo sasa hivi hata zikija kuvuja ni sawa na kazi bure tu kwa sababu tayari kuna ambazo ni feki na zinazunguka huku na kule. Sasa hata hizo ambazo ni za "kweli" zikitoka watu hawatakuwa na imani tena.

Zingetoka kesho yake nadhani haya makelele yote yasingekuwepo. Halafu kina Obama si waliliangalia hilo shambulizi in 'real time'? Kwa hiyo kutakuwa pia na video yake. Nashangaa kwa nini watu hawaiongelei hii video.
Let the conspiracy theories continue...

Republican Sen. Lindsay Graham called the decision(not to release the photos) a "mistake."

"I know bin Laden is dead. But the best way to protect and defend our interests overseas is to prove that fact to the rest of the world," he said in a written statement. "I'm afraid the decision made today by President Obama will unnecessarily prolong this debate."

Rep. Duncan Hunter, R-California, who serves on the House Armed Services Committee, also said Obama made the wrong choice about the photos.
"I want to see them personally," he said. "I did three tours. I'm not talking as a member of the Armed Services Committee -- as a Marine who did three tours because of 9/11. As Americans we deserve to see them."

Bofya...Obama nixes bin Laden photo release, but debate continues - CNN.com
 
Nakubaliana na wewe, haswa ukichukulia kwamba all we've been hearing so far is only one side of the story - namely the American Authorities's day-by-day different versions of what really went down that night.

Kusema kweli (Plastic toy guns next to cold dead bodies aside), these Al Qaeda dudes surely didn't go out laying down on their beds as the latest US propaganda will have it (i.e., The White House's latest claim that OBL wasn't armed and didn't offer any resistance).

I have good reason to believe that, that helicopter was possibly shot down, because elsewhere we can read that:
Yaap haiwezekani kwamba hawakupata mashambulizi yoyote.story zao zinachanganya so far.

Ndio maana nilisema kwamba Obama aliharakisha sana kutua press confrence na sasa habari zao zinatofautiana
 
Wapakistan mziki wao mzito sana ndani na nje ya nchi, yani kweli walishindwa kudetect helicopter zimeingia na kutua karibia na chuo chao cha kijeshi plus hizo helicopter zimekaa ardhini karibia saa nzima alafu moja ikaondoka. Air Defence System yao haifanyi kazi au? Waje bongo tuwauzie radar ya kina Chenge.
Haiwezekani kabisa. Sasa hivi msiba umeanzia kwa jamaa aliyenunua kiwanja kwanza lol.
 
Hizi helicopter zimetengenezwa specifically kwa ajili ya hii mission? Maana nimesoma sehemu wanasema zinaonekana zina stealth capabilities.
 
Yaap haiwezekani kwamba hawakupata mashambulizi yoyote.story zao zinachanganya so far.

Ndio maana nilisema kwamba Obama aliharakisha sana kutua press confrence na sasa habari zao zinatofautiana

Kinachotokea sasa hivi ni kuwa wale wanajeshi wanafanyiwa debriefing mpaka mwisho wa wiki tutakuwa tumesikia story tofauti tofauti sana. Nadhani wangesubiri mpaka debriefing iishe ndio watoe story kamili.
Haiwezekani kabisa. Sasa hivi msiba umeanzia kwa jamaa aliyenunua kiwanja kwanza lol.
Nimeona na contractor naye kahojiwa lol, sasa kumbe hizi picha zimeuzwa kwa Reuters na agent wa ISI/mwanajeshi wa Pakistan wameshindwa kumzuia jamaa kweli au ndio basi wanataka kuionyesha dunia?

Alafu hizi picha zimekuwa cropped out hazionyeshi mikono au mwili mzima.
 
Wapakistan mziki wao mzito sana ndani na nje ya nchi, yani kweli walishindwa kudetect helicopter zimeingia na kutua karibia na chuo chao cha kijeshi plus hizo helicopter zimekaa ardhini karibia saa nzima alafu moja ikaondoka. Air Defence System yao haifanyi kazi au? Waje bongo tuwauzie radar ya kina Chenge.

Mimi bado sijashawishika kuwa Wapakistan hawaku detect mahelikopta ya Marekani kuingia kwenye anga yake hususan ukizingatia kuwa hiyo nyumba waliyoenda kuivamia iko takribani yards 500 kutoka kwenye chuo chao cha kijeshi.

Na sijashawishika kabisa kuwa intelijentsia ya Pakistan haikujua kuwa Osama anaishi hapo karibu na hicho chuo chao cha kijeshi.

Kuna mengi sana hayaingii akilini kuhusiana na hili tukio.
 
Sasa unaelewa kwa nini nilisema Osama ndani ya mahakama angefungua can of worms.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom