mimi nazani hata hayo tu uliyoandika maggid yametufungua baadhi yetu so endelea kumwaga vitu kama kuna mtu anaona unakosea sio vibaya akisahihisha ili sisi tujifunze kwayo.sio kukukatisha tamaa.mimi nilitegemea wana jf wangekupa moyo,ushauri,na misaada ya ki mawazo ili ufikishe ujmbe kwetu sisi tusio kuwa na weredi juu ya mambo hayo.
Wewe Maggid siku hizi unazeeka vibaya.Mada unazotoa zimekuwa na hoja za kipuuzi sana.Saa nyengine kaa kimya tu kama sisi wenzio au changia mada za wenzako zilizoanzishwa kabla.
bora sie tunachangiaga mada tu. mana ukiwa kihelehele wa kuanzisha threads zilizoandikwa kwa mitindo na mbwembwe halafu hazina maana,ni bora usome za wenzio great thinkers.
[/B][/COLOR][/SIZE][/FONT]
Duh sijui wale jamaa zangu wa kanda ya ziwa wangetamkaje.
Mada ya Maggid hana tatizo iko poa kabisa inaeleweka labda wakosoaji wake tayari wana tafsiri ingine.
Wewe Maggid siku hizi unazeeka vibaya.Mada unazotoa zimekuwa na hoja za kipuuzi sana.Saa nyengine kaa kimya tu kama sisi wenzio au changia mada za wenzako zilizoanzishwa kabla.
Kwa ufupi sana hiyo picha si ya sasa hivi pamoja na kuwa tu si ya sasa hivi haimalizi utata wa kifo cha Osama, but uhalisia wake ni kwamba Osama wamemkamata na wako nae alipigwa risasi na yuko chini ya uangalizi mkali sana huku akitibiwa nadhani ni kwa sababu wanataka kuextract some useful information from him ili waweze kuharibu mitandao yake na kulingana na misimamo ya kiislamu na kwa Osama kama Osama hizo information hawatazipata kamwe watamtesa hadi wamuue but hata toa siri hata moja kwa sababu mtandao wao ni mkubwa sana...
something to note: ni kwamba kuna mfuasi wake ambaye alisema kuwa hajafa...na likatimkia msituni,
But Osama is not dead...
Kwanini isiwe rahisi na tayari wana siri zote ambazo kabla yawezekana walizikosa.Si rahisi kuipokonya silaha za nyuklia pakistan.