mbona jicho lake moja la kushoto limeharibika sana?like eye of Horus
Hakuna picha halisi zilizotolewa kuonesha maiti ya OSAMA, unayoizungumzia imetengenezwa tu na wataalam wa PHOTOSHOP.
mbona jicho lake moja la kushoto limeharibika sana?like eye of Horus
inaonekana unawaamini sana Amerika kuliko akili yako enh!.uongozi wa marekani hauwezi kuwadanganya wananchi wake manake madhara yake ni makubwa kuliko sababu unazotoa.. !! USA imejaa wasomi na wananchi waelewa..!
:bange:Mimi naamini Osama kafa na Mungu amrehemu.Atutolee 100 wengine wa aina yake ili vita isikome pale. Kwa upande mwengine napinga kisa cha kufa kwake,wakati huo huo napenda mchezo unaonasibishwa na alivyokufa.
Kwanini nikapenda alivyokufa?,ni kwa vile wamemfufua kwanza ndipo wakamuua.
you can only die once-how comes osama died more than twice-and you dont recognize those were lies?osama has been pronounced dead on number of occusions
26/dec/2001 fox news(info from pakisitan observer newspaper)
18/jan/2002 pakistan pervez musharaf declared bin laden dead
17/jul/2002 dale waston headed of fbi counter terrorism declared laden was dead
october 2002 afaghan president hamid karzai told cnn that laden was dead
november 2005 senetor harry reid said he'd been told bin laden had died in an earth quake
september 2006 freanch intelligence leaks a repoart saying bin laden had died in pakisitan
november 2007 former pakistan presdent benazir bhulto tell aljazeera david frost that omar sheikh had killed b in laden
march 2009 foreign intel officer angelo codevilla says bin laden is alive as evil.vipi leo obama atangaze kwa mara nyingine kifo cha huyu jamaa? Wataalamu wa mambo wanasema obama anatafute umaalufu kwenye uchaguzi ujao.
Wewe Maggid siku hizi unazeeka vibaya.Mada unazotoa zimekuwa na hoja za kipuuzi sana.Saa nyengine kaa kimya tu kama sisi wenzio au changia mada za wenzako zilizoanzishwa kabla.
Huwa nasikia kichefuchefu mtu akiweka "L" kwenye "R" tena hili tatizo limekuwa janga kwani hata kwenye magazeti utakuta mtu anaandika Alusha sijui maedita wanafanya nini....
Katika pitapita yangu kwenye vyombo vya habari nimekutana na habari inayoonyesha kuwa wamarekani waliamua kuzika mwili osama bin laden baharini ili kuepusha uwezekano wa kaburi lake kugeuzwa na magaidi wengine na wanaomuunga mkono kuwa mahali patakatifu pa kwenda kuhiji. Lakini kwa namna moja au nyingine waliona bora watupe mwili baharini ili samaki nao waambulie minofu ya shekhe osama.