Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,135
uongozi wa marekani hauwezi kuwadanganya wananchi wake manake madhara yake ni makubwa kuliko sababu unazotoa.. !! USA imejaa wasomi na wananchi waelewa..!
Nakupa nafasi ya kufikiria tena sio kama unavyofikiria....by the way nilikuwa sijui kama wasomi hawadanganywi na nilikuwa sijui kama msomi nae anadanganya pia ...🙂