Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Zaidi ya kutokuwa na silaha inasemekana mkewe ana miaka 19 na alipewa zawadi na jamaa mmoja wa yemen miaka minne iliyopita. So huyo dada alikuwa ana miaka 15. akikabidhiwa kwa Osama kama mke......

Kama ni kweli na sio propaganda za CIA hii ni doa lingine
kwa OSAMA na wale wanamuona kama mfano wa kuigwa.
Wale watu walioshikiliwa na serikali ya Pakistan wakianza kuongea ndio tutapata picha kamili na ukweli wote.
 
And yet still some people claim that osama is alive and kicking. So who is telling the truth: his daughter who is admitting he is dead or his supporters who insist he is alive?

Unless his supporters see the body, Osama is very much alive notwithstanding what his daughter is saying. After all, who's certain that she's the real daughter of Osama and witnessed his killing??
 
its a fallacy for bin laden's supporters that he is alive-but always the truth prevail-
Bin laden supporters will keep their mouths shut in few days to come

They wont because they have not been given an opportunity to see the body, and the pictures will most likely have been photoshopped.
 
Try to be rational. Did the Americans give an answer to you and the families of those who died in New york as to how it was possible to plan and carry out the hijackings in America and subsequent fall of the twin towers? I guess if the did don't be an hypocrite.
Are we talking in the same bandwidth my dear, or is this post a result of your own infertile imaginations?
 
There is no way that the Pakistan Army or the ISI(Pakistani Intelligence ) coul NOT have known that Osama was right uder their noses, thats what is worring.Could they be accomplices to the murders in Tanzania and Kenya in 1998?

Mkuu kwa maelezo ya habari inawezekana.Sababu kama walivamia hiyo nyumba miaka ya yuma na hawakukuta kitu tnen wakaiondoa kwenye radar yao kali But still kwenye intellengce zao wanasema hiyo nyumba ilikuwa kwenye suspicius list. But bcs walishavamia na kukuta patuputu then wakajisahau na OSama katumia hiyo loophole. Inawezekana they didnt know.

Hiyo ni fundisho wamejifunza. Ndio maana nimesoma waisrael security check zao hata kama umefanyiwa chek mara tatu bado hatua unazopitia ni zile zile
 
They wont because they have not been given an opportunity to see the body, and the pictures will most likely have been photoshopped.
Ni supporters wangapi wa Osama waliwahi kumuona in personal mpaka useme wakionyeshwa mwili wake ndio wataamini kuwa ni kweli amekufa?
 
Try to be rational. Did the Americans give an answer to you and the families of those who died in New york as to how it was possible to plan and carry out the hijackings in America and subsequent fall of the twin towers? I guess if the did don't be an hypocrite.
Umeanza kupanda ndege lini? Maana pre 911 sheria zilikuwa sio kama sasa hivi, heck nakumbuka tulikuwa tunaruhusiwa kupanda na mazagazaga mengi tu na tour ya kwenye cockpit ulikuwa unapata. Magaidi walitumia hiyo loophole.
 
Mkuu.
Baada ya ile miripuko, uhusiano wetu na US ukoje? Au US wameweza kujitanua kwa kiasi kipi?

Pitia hizi links, uone kama unaweza kuunganisha dots!

Mkuu Nonda while I believe on the uncanny nature of many US covert actions lakini katika hili it makes no sense.
That one could go ahead and KILL OVER 3000 of your OWN NATIONALS to make a point, that is beyond me.
Alo KILL over 10 Tanzanians and over 240 Kenyans does also not make very much sense.
Kwamab utawala wa US ulichanganyikiwa baada ya 9/11 hilo naamini kabisa,
Kwamba invasion ya Iraq ni makosa hilo naamini
Kwamba wamemuua Saddam kwa uonevu hilo naamini
Na ndio maana Rumsfield na Generals wake wakakitoa na Bush akashinda term ya Pili kwa mbinde.
 
Umeanza kupanda ndege lini? Maana pre 911 sheria zilikuwa sio kama sasa hivi, heck nakumbuka tulikuwa tunaruhusiwa kupanda na mazagazaga mengi tu na tour ya kwenye cockpit ulikuwa unapata. Magaidi walitumia hiyo loophole.
Mkuu waachie hao wanafika majuu kwa internet tu!
 
Zaidi ya kutokuwa na silaha inasemekana mkewe ana miaka 19 na alipewa zawadi na jamaa mmoja wa yemen miaka minne iliyopita. So huyo dada alikuwa ana miaka 15. akikabidhiwa kwa Osama kama mke......

Kama ni kweli na sio propaganda za CIA hii ni doa lingine kwa OSAMA na wale wanamuona kama mfano wa kuigwa.
[/QU

kwani mzee hujui kuwa hata tanzania unaruhusiwa kumuoa mtoto wa miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi wake?
 
its a fallacy for bin laden's supporters that he is alive-but always the truth prevail-
Bin laden supporters will keep their mouths shut in few days to come

They better believe. His death brings a sense of closure to victims of his acts of terrorism.
 
Unless his supporters see the body, Osama is very much alive notwithstanding what his daughter is saying. After all, who's certain that she's the real daughter of Osama and witnessed his killing??

Unfortunately the body lies on the sea floor. Too bad it can't be exhumed.
 
utajuaje kama hana silaha na unamjua tabia zake? na kama angekuwa kategesha mabomu na labda angebofya sehemu yalipuke je? haya ndo mambo ya tofauti ya kucheza mpira uwanjani na kuangalia mpira nje ya uwanja. utaweza kuona uwezekano wa kufunga na nafasi za wazi but kwa alie ndani ya uwanja hana nafasi hiyo ujue. wamepekua baada ya kumuua na hawakupata silaha na ndo jibu lake.

Umesema kweli
 
kumbe alikuwa muislam...?
wanataka azikwe kiislam mbona watu aliokuwa akiwatuma kujilipua hawakupata nafasi hata ya kuoshwa..? kwani yeye ni bora zaidi kuliko suicide bombers wanaopotelea kwenye majivu ya milipuko..?

.............hebu tujuze mwenzetu, kwani suicide bombers hutumwa na uislaam au osama !? baada a kujilipua watu wangapi waliingia katika uislaam ?
 
kaka umeongea maongezi makubwa sn...ww ni bahari katika ilmu..inshaAllah mola akupe jaza njema

Kwa kuwa amekuwa neutral au? Kasema sawa lakini ukweli ni kwamba Mungu ndiye anayehukumu! Na kuna mahali sikubaliani naye maana angetubukwa Mungu pia angewashauri wafuasi wake aliowafundisha uuaji waachane na matendo hayo. Toba ya mtu inaonekana wazi kwa mdomo na matendo. Je hukusoma habari ya mtoza ushuru Zakayo? Pamoja na kutubu dhambi zake alirudisha mali alizowaibia na kuwanyang'anya watu.
Sikatai toba ila ifuatane na matendo. Hata hapa kwetu mafisadi wakimrudia Mungu wanapaswa warudishe na mali waliyoibac hasa ile ambayo inaonekana maana ndiyo itakayowahukumu.
 
kwani ukiona kwenye sinema rambo anaua mtu unadhani kiuhalisia huyo mtu ameuawa. Tulichoonyeshwa ni hollywood movie tu. kama Osama amekufa basi hakufa juzi alishakufa siku nyingi sana na hawajui lilipo kaburi lake

Acha kuishi kwa hisia! Huo ni umbeya, ukiulizwa mahali una jibu halisi
 
wewe jamaa umehangaika kuandika maelezo meeengi na kupoteza nguvu zako nyingi . majibu ya maswali yako yote marekani walishayajibu
kwa kukusaidia tu ni kuwa
- marekani bado hawajarelease picha za osama
-walimtupa baharini baada ya saudi arabia kukataaa kuuchukua mwili wa osama n akitu kilichopelekea wauzike baharini ni kuwa wameogopa kaburi la osama likiwa nci kavu watu wanaweza kulifanya kuwa kivutio na kuanza kulitukuza kaburi lake
-kabla ya kuzikwa taratibu zote za kidini zilifuatwa na wamesema watarelease video/clip jini dua ilivyofanya kama kuna watu wataihitaji

................... kafiri ndie anakuambia "taratibu zote za dini zilifuatwa" ............. moja ya hizo taratibu ni kuitupa maiti baharini ?! .......... wanaogopa kaburi lake kutukuzwa, waislaam hawatukuzi wafu, bali wao huwaombea watu waliotangulia msamaha !
 
The more it proves Osama is dead!

vipi na yale majini yanayotumiwa na kina Kakobe, Mzee wa upako na wengine wanaojiita mitume manabii wenye nguvu za majini toka Nigeria? Tumepata siri kubwa sana ya uchawi wanaotumia hawa wachungaji, mmoja wa msaidizi mkubwa wa Kakobe ameingia Uislamu na kutoa siri zote, source tafuta Dvd ya uharamu wa Loliondo utamwona mchungaji aliesilimu anavyomwaga siri za makafiri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom