Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Wewe Maggid siku hizi unazeeka vibaya.Mada unazotoa zimekuwa na hoja za kipuuzi sana.Saa nyengine kaa kimya tu kama sisi wenzio au changia mada za wenzako zilizoanzishwa kabla.
 
kulingana na chombo cha habari fox news, Osama alifariki kabla ya juzi Afghanstan na kuzikwa, alifariki kwa matatizo ya mapafu yalokuwa yakimsumbua kwa kipindi kirefu, isije ikawa wamarekani wamefukua maiti yake na kujitengenezea jina kuwa mtu walomshindwa kwa zaidi ya miaka kumi wamemuua wao, kumbe kafa natural death, kwa habari zaidi wadau gongeni www.foxnews.com

Mkuu Foxnews imejaa habari ya kifo cha osama, siasa za marekani kwa sasa n.k

Hiyo fox news unayoisema ni dot wapi? .ca, .tz,. wapi???


weka link yote ya hiyo taarifa

kwa kifupi naona hujaelewa issues zinaendeleaje kwa ujumla

at a glance you are dead wrong!
 
utajuaje kama hana silaha na unamjua tabia zake? na kama angekuwa kategesha mabomu na labda angebofya sehemu yalipuke je? haya ndo mambo ya tofauti ya kucheza mpira uwanjani na kuangalia mpira nje ya uwanja. utaweza kuona uwezekano wa kufunga na nafasi za wazi but kwa alie ndani ya uwanja hana nafasi hiyo ujue. wamepekua baada ya kumuua na hawakupata silaha na ndo jibu lake.
 
Na Maggid Mjengwa,


SEPTEMBA 11 mwaka huu ulimwengu utaadhimisha miaka kumi tangu kutokea kwa shambulizi kubwa la kigaidi nchini Marekani. Hakika, tangu hapo, hofu ya kutokea matukio ya ugaidi imeongezeka duniani. Na ajabu ya matukio ya ugaidi, kihistoria, mengi ya matukio makubwa ya ugaidi humu duniani yamefanyika katika mwezi wa Septemba. Kwanini?






Ni ukweli wa kihistoria, kuwa mwezi Septemba ni mwezi wenye kuambatana sana na matukio ya kigaidi. Mfululizo wa simulizi hii utakupa wewe msomaji, mwanga na maarifa juu ya mambo ambayo hukuyajua juu ya ugaidi wa kimataifa, aidha, utakupa nafasi wewe msomaji uliyefahamu kabla kukumbuka juu ya kile ulichokijua kabla.






Kupitia simulizi hii utapata pia kufahamu na kuona juu ya mahusiano ya mwezi Septemba na ugaidi wa Kimataifa. Juu ya hapo, ni imani yangu kuwa simulizi hii itakufanya uburudike na kufurahia kusoma.






Naam. Kwa faida ya wasomaji, nitaanza kwa kuangalia chimbuko la ugaidi wa kimataifa kwa kuangalia chimbuko lake kihistoria. Katika kulifanya hilo nitatoa mifano mbalimbali.






Ni rahisi kusema kwamba ulimwengu umebadilika baada ya ugaidi wa Septemba 11 mwaka 2001 kule nchini Marekani. Kwamba ugaidi umesogea karibu zaidi katika fikra zetu. Watanzania bado tunakumbuka tukio la shambulizi la kigaidi dhidi ya jengo la ubalozi wa Marekani jijini Dar Es Salaam. Ilikuwa ni Agosti 7, 1998.






Sura ya ugaidi wa kimataifa imeonekana vema zaidi miongoni mwa walimwengu. Bila shaka, picha ya filamu ya televisheni yenye kuonesha majengo mawili ya World Trade Centre kule Marekani yakitunguliwa na kuanguka, zimeonwa na takribani asilimia 75 ya watu wa ulimwengu huu. Katika hili la kuchambua ugaidi, hebu basi tuanze na kujiuliza;






Ugaidi ni nini?


Itakumbukwa, kuwa mwaka 2003 wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walikutana Dodoma na kupitisha Muswaada wa Ugaidi. Waheshimiwa wabunge wale walitumia muda mwingi sana kujadili tafsiri ya neno "ugaidi".






Kwa kifupi, ugaidi ukitafsiri kutoka neno la Kiingereza "Terrorism" tunapata maana ya "hofu". Neno la Kiingereza "Terror" lina maana ya hali ya "kutisha". Vitendo vya kigaidi hutumiwa na mtu au makundi ya watu ili kuwaingizia watu hofu ndani ya mioyo yao na pengine hata kuchukua madaraka ya kisiasa. Ugaidi ni njia ya mnyonge na hata mwenye nguvu kutimiza malengo yake. Hili litafafanulika zaidi kadri utakapofuatilia maandiko haya.






Kihistoria tunaona kuwa, vitendo vingi vya kigaidi humu duniani vimefanywa pia na dola zilizo madarakani kwa minajili ya kuendelea kushika hatamu za dola. Mathalan, msemo wa " Utawala dhalimu" kwa tafsiri ya Kiingereza "Terror regime" hutumika tunapoielezea dola yenye kutumia mabavu na nguvu nyingi kupita kiasi. Dola au mtawala asiyezingatia sheria wala haki za kibinadamu.






Msamiati huu wa utawala dhalimu unatokana na lugha ya Kifaransa na una chimbuko la Mapinduzi ya Wananchi kule Ufaransa kati ya mwaka 1789 hadi 1799. Utawala dhalimu wenye kutisha" la terreur" ulikuwapo kule Ufaransa kunako miaka ya kati ya 1792 hadi 1794. Katika kipindi hicho watu takribani 40,000 wengi wao wakiwa wakulima na wahunzi waliuawa.






Mifano ya tawala dhalimu na za kutisha katika sehemu nyingine za dunia ni kama Urusi ya zamani chini ya dikteta Stalin, utawala wa Kinazi wa Ujerumani kati ya 1933-1945 chini ya Fashisti Hittler. Katika Afrika, tuna pia mifano kadhaa ya tawala dhalimu na za kutisha, tawala ambazo kimsingi ni za kigaidi. Uganda ya Idi Amin, Afrika ya Kati ya Bokassa, Zaire ya Mobutu ni kati ya mifano michache miongoni mwa mingi.










Ugaidi kimsingi ni ile hali ya mtu, kikundi au dola kwa maana ya taifa kutumia nguvu nje ya wigo wa sheria ili kufikia malengo yao. Mwenye kuendesha vitendo vya kigaidi huchagua watu wake watakaoathirika na vitendo hivyo. Si lazima mtu au watu hao watakaoathirika wawe ni wahusika wa moja kwa moja wa mgogoro husika, isipokuwa waathirika mara nyingi huchaguliwa na huonekana kama wawakilishi wa malengo ambayo magaidi wanataka kuyafikia. Malengo au sababu za ugaidi zaweza kuwa ni za kidini, kijamii na kisiasa.










Ugaidi huwa wa kimataifa pale tukio la kigaidi linapofanywa nje ya mipaka ya yule anayatenda tendo la kigaidi, au raia wa nchi moja wanapokuwa walengwa na kuathirika na tendo la kigaidi katika nchi ya tatu, mathalani magaidi kutoka Saudi Arabia wanapofanya tendo la kigaidi dhidi ya raia wa Uingereza katika nchi ya Zambia. Je, kuna makundi ya kigaidi ya aina ngapi? Simulizi hii itaendelea...
MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo


Hiyo tafsiri umeitowa wapi.Mbona hujuwi tafsiri na maana ya ugaidi.
Umesema utaendelea lakini bora sitisha simulizi zako za kipuuzi utupunguzie mzigo wa vitu vya kusoma.
 
The Guardian, Tue 3 May 2011 16.53 BST
The chorus of official applause from international leaders over the death of Osama bin Laden has failed to silence doubts about the killing's legality.
Despite widespread backing for the raid, there is a growing demand for the precise legal basis of the US operation to be explained, particularly given the absence of prior debate in the UN security council.
Prof Nick Grief, an international lawyer at Kent University, said the attack had the appearance of an "extrajudicial killing without due process of the law".
Cautioning that not all the circumstances were known, he added: "It may not have been possible to take him alive ... but no one should be outside the protection of the law." Even after the end of the second world war, Nazi war criminals had been given a "fair trial".
The prominent defence lawyer Michael Mansfield QC expressed similar doubts about whether sufficient efforts had been made to capture Bin Laden. "The serious risk is that in the absence of an authoritative narrative of events played out in Abbottabad, vengeance will become synonymised with justice, and that revenge will supplant 'due process'.
"Assuming the mission was … intended to detain and not to assassinate, it is therefore imperative that a properly documented and verifiable narrative of exactly what happened is made public. Whatever feelings of elation and relief may dominate the airwaves," he said, "they must not be allowed to submerge core questions about the legality of the exercise, nor to permit vengeance or summary execution to become substitutes for justice."
The human rights lawyer Geoffrey Robertson QC argued that the killing risked undermining the rule of law. "The security council could have set up an ad hoc tribunal in The Hague, with international judges (including Muslim jurists), to provide a fair trial and a reasoned verdict," he wrote in the Independent. "This would have been the best way of demystifying this man, debunking his cause and de-brainwashing his followers."
The immediate justification for the killing was that the head of al-Qaida had long ago declared war on the US and other nations. "In war you are allowed to attack your enemy," a US embassy spokesman in London said.
Hillary Clinton, the US secretary of state, echoed Barack Obama's assertion, stating: "Osama bin Laden is dead and justice has been done."
A more thorough explanation of the legal basis was given last year by Harold Hongju Koh, legal adviser at the US state department. He told a meeting of the American Society of International Law: "Some have argued that the use of lethal force against specific individuals fails to provide adequate process and thus constitutes unlawful extrajudicial killing. But a state that is engaged in an armed conflict or in legitimate self-defence is not required to provide targets with legal process before the state may use lethal force.
"The principles of distinction and proportionality that the US applies are …implemented rigorously throughout the planning and execution of lethal operations to ensure that such operations are conducted in accordance with all applicable law."
He added: "Some have argued that our targeting practices violate domestic law, in particular, the longstanding domestic ban on assassinations. But under domestic law, the use of lawful weapons systems - consistent with the applicable laws of war - for precision targeting of specific high-level belligerent leaders when acting in self-defence or during an armed conflict is not unlawful, and hence does not constitute 'assassination'."
John Bellinger III, who served as the state department's senior lawyer during George Bush's second term as president, also insisted the strike was legitimate.
"The killing is not prohibited by the long-standing assassination prohibition in executive order 12333 [signed in 1981] because the action was a military action in the ongoing US armed conflict with al-Qaida and it is not prohibited to kill specific leaders of an opposing force," he wrote.
"The assassination prohibition also does not apply to killings in self-defence. The executive branch will also argue that the action was permissible under international law both as a permissible use of force in the US armed conflict with al-Qaida and as a legitimate action in self-defence, given that Bin Laden was clearly planning additional attacks."
Many human rights groups have reacted with caution. "Osama bin Laden took credit for and supported acts around the world which amounted to crimes against humanity," said Claudio Cordone, senior director at Amnesty International.
"He also inspired others to commit grave human rights abuses. His death will put an end to his role in organising or inspiring such criminal acts. We do not know the full circumstances of his killing and the others with him and we are looking into that." Amnesty is writing to the US and Pakistani governments for "greater clarification about the events that led to the death of Osama bin Laden".
One area of anxiety is the suggestion that the intelligence needed to locate Bin Laden's refuge might have been obtained through torture of suspects detained at Guantánamo Bay or other secret holding centres.
Whether or not the Pakistan government authorised the assault on its territory might technically affect the legality of the operation under international law. But the enthusiastic support of the UN secretary general, Ban Ki-moon, for the killing is likely to silence any critical voices in the security council.
"The death of Osama bin Laden … is a watershed moment in our common global fight against terrorism," Ban said. "Personally, I am very much relieved by the news that justice has been done."
 
bora sie tunachangiaga mada tu. mana ukiwa kihelehele wa kuanzisha threads zilizoandikwa kwa mitindo na mbwembwe halafu hazina maana,ni bora usome za wenzio great thinkers.
 
mimi nazani hata hayo tu uliyoandika maggid yametufungua baadhi yetu so endelea kumwaga vitu kama kuna mtu anaona unakosea sio vibaya akisahihisha ili sisi tujifunze kwayo.sio kukukatisha tamaa.mimi nilitegemea wana jf wangekupa moyo,ushauri,na misaada ya ki mawazo ili ufikishe ujmbe kwetu sisi tusio kuwa na weredi juu ya mambo hayo.
 
huo ndio mchezo mchafu wa politics sasa hapo ukweli upo wapi?
utajuaje kama hana silaha na unamjua tabia zake? na kama angekuwa kategesha mabomu na labda angebofya sehemu yalipuke je? haya ndo mambo ya tofauti ya kucheza mpira uwanjani na kuangalia mpira nje ya uwanja. utaweza kuona uwezekano wa kufunga na nafasi za wazi but kwa alie ndani ya uwanja hana nafasi hiyo ujue. wamepekua baada ya kumuua na hawakupata silaha na ndo jibu lake.
 
Mkuu nakuunga mkono. Kama kuna mtu mwenye ushahidi kama kuuliwa kwa Sheikh Osama was a hoax, basi aje na ushahidi na kutujuza. Conspiracy theories ziko nyingi na tumeshazichoka kwani hazina credible evidence. Inaonekana washabiki wengi wa Sheikh Osama they are still in denial!

Marekani wametangaza kumuua Osama. It is better wao wakaja na ushahidi rather than wengine kuja na ushahidi wa otherwise.

Bila ya ushahidi wa US tutabaki na dhana ya milele
 
Give it up man!! your boy is dead!! Prepare for another 4 years of Obama! LOL Trump!!

Wamemzika fasta kufuata taratibu za kiislamu, hawakutaka kuwapa extremists excuse ya kusema wamarekani wameuzarau Uislamu. hearts and Minds my friend!!!

Wamemzika baharini kuzuia both kuwapa wafuasi Shrine ya kumwabudu plus kupata nchi ambayo ingeuchukua mwili ingekuwa ni mission.
Watu wa deen kwa uwongo bwana huwawezi.
Hio yakumzika fasta hata kuchukua images au video? labda kama walituma bomu tu ambalo lilienda kumuua halafu likapaa tena kwenda baharini.
Wamarekani wanavyopenda kujionyesha hata ingekua ni saa moja tu kufuata deen zenu ili kumzika, wangechukua picha na video kwanza.

Source nyingi zinasema kwamba Marekani toka 2001 wanaingia umasikini kwa ajili ya vita visivyoisha na ndio maana wakafanya hii propaganda yaishe.
Afghanistan ina ukubwa gani ambayo hawakuweza kumkamata huyo jamaa kwa miaka 10?
Na toka lini wamarekani wakashinda vita? Irak kama hawakusaidiwa na dunia nzima wala wasingemuweza Saddam.
Unakumbuka vita vya Vietnam?
Unakumbuka Marekani alivyoikimbia nchi masikini kama Somalia?
 
hakuna siasa katika hili..sikudhani kuwa osama ni weak to this level ...yaani limeuwawa kama nguruwe pori bila hata mikiki ....ovyo tupu
 
Watu wa deen kwa uwongo bwana huwawezi.
Hio yakumzika fasta hata kuchukua images au video labda kama walituma bomu tu ambalo lilienda kumuua halafu likapaa tena kwenda baharini.
Wamarekani wanavyopenda kujionyesha hata ingekua ni saa moja tu kufuata deen zenu ili kumzika, wangechukua picha na video kwanza.

Source nyingi zinasema kwamba Marekani toka 2001 wanaingia umasikini kwa ajili ya vita visivyoisha na ndio maana wakafanya hii propaganda yaishe.
Afghanistan ina ukubwa gani ambayo hawakuweza kumkamata huyo jamaa kwa miaka 10?
Na toka lini wamarekani wakashinda vita? Irak kama hawakusaidiwa na dunia nzima wala wasingemuweza Saddam.
Unakumbuka vita vya Vietnam?
Unakumbuka Marekani alivyoikimbia nchi masikini kama Somalia?

Mafundisho ya msikiti wa mwembe chai haya. Gaidi Sheikh Osama ameuwa na makomandoo wa marekani. Period. na mzoga wake umetupwa baharini.
 
Hata baada ya lile tukio linaloitwa la kuuliwa sheikh Osama bin Laden vita dhidi "ugaidi" bado itaendelea.
Hatua inayofuatia ni kuinyan'ganya Pakistan silaha za kinyuklia.Choko choko zao zinaanzia HAPA
 
[FONT=Comic Sans MS, cursive]Bush declines Obama invite to ground zero[/FONT]


[FONT=Comic Sans MS, cursive]A spokesperson for George W Bush says the former president has declined an invitation from President Barack Obama to attend an observance at the site of the destroyed World Trade Centre towers in New York City.[/FONT]


[FONT=Comic Sans MS, cursive]Obama plans to the visit the site of the September 11 2001 terrorist attack on Thursday in the aftermath of a Navy Seals raid that killed Osama bin Laden. The terrorist attack, which killed about 3 000 people, occurred in the early months of Bush's presidency in 2001.[/FONT]


[FONT=Comic Sans MS, cursive]The spokesperson, David Sherzer, says the former president appreciated the offer to attend but has chosen to remain out of the spotlight during his post-presidency.[/FONT]


[FONT=Comic Sans MS, cursive]Sherzer says Bush celebrates bin Laden's death as an "important victory in the war on terror".[/FONT]
 
The most noteworthy point here is that probably the most heartless, reckless, wicked and elusive terrorist has earned his rightful bodily judgement on earth- (BRUTAL AND VIOLENT DEATH AND THIS COMING FROM HIS MOST HATED ADVERSARIES-AMERICANS), Lets all rest assured that the world is better off without Osama, As for his followers and supporters this serves as a an obvious warning that the day of reckoning is coming no matter how long it takes , you still have time to return to your senses reform, change and lets all live alongside one another in a peaceful co-existence, even when we continue to differ in our worldviews, lifestyle etc. As for Osama he can only wait for eternal judgment from his creator!!!!!!
 
ina maana miaka yote hiyo alikua akiishi kwenye hiyo nyumba mbona kama mazingaombwe hivi!
hakuna siasa katika hili..sikudhani kuwa osama ni weak to this level ...yaani limeuwawa kama nguruwe pori bila hata mikiki ....ovyo tupu
 
bora sie tunachangiaga mada tu. mana ukiwa kihelehele wa kuanzisha threads zilizoandikwa kwa mitindo na mbwembwe halafu hazina maana,ni bora usome za wenzio great thinkers.
Unasemaje? bola usiwe kihelehele kwa kuanzisha mada mulua? anyway nisalimie sana huko ngelengele mkoa wa mologolo.
 
Mada ya Maggid hana tatizo iko poa kabisa inaeleweka labda wakosoaji wake tayari wana tafsiri ingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom