Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
Mwili wa Osama unaletwa Washington DC; kwa sasa hivi uko mikononi mwa CIA
 
Obama anasema Osama kauwawa leo hii katika shambulizi ambalo lilikuwa authorized na Obama. Keshajichukulia points nyingi sana za kumuzesha kubaki WH baada ya uchaguzi wa 2012.
 
Obama anasema Osama kauwawa leo hii katika shambulizi ambalo lilikuwa authorized na Obama. Keshajichukulia points nyingi sana za kumuzesha kubaki WH baada ya uchaguzi wa 2012.

Not so fast my friend. Today is only the beginning of May, 2011 and the election is not until November 2012.

And remember, it is the economy stupid!
 
Sasa tutawaona wengine watakuja na terminology zingine za kutumia kuanza ku-rally support na kuwadanganya kwamba wanaonewa na waanze kuuwa watu kwa personal gains. Tukae macho kwa wale wanafiki na wageuza maneno hasa watumia dini na matatizo ya akili. This should be the end of all radicals. Kama unanguvu na very intelligent, tumia uwezo wako kutengeneza technology ili kuzuia magonjwa na matatizo ya hapa dunia. The legacy ya Osama Bin Laden ndio imekwisha ingawa wapo wachache waliowalostisha, I got word for you "go back to your family and love them.

"Thanks to all people who help to finish this job. Remember Goods will Always Win"

ladin-new.jpg
 
Obama anasema Osama kauwawa leo hii katika shambulizi ambalo lilikuwa authorized na Obama. Keshajichukulia points nyingi sana za kumuzesha kubaki WH baada ya uchaguzi wa 2012.

Kabisa mkuu kachukua points nyingi sana na hamna upinzani hapo anaenda WH 2012
 
Obama angemshukuru Bush kwa kiasi fulani, nadhani amekuwa mbinafsi sana
 
Waamerika waliokusanyika WH wanashangilia sana sasa baada ya Tangazo la Obama!...
 
Wazungu hapo hawajui tena kama wanaendeshwa na Black hahaha ni full raha yaani
 
Is there video footage of that fire fight that killed him? Or you are just swallowing each and everything they feed you?
Lets be patient, i believe in Obama speech!..This is a very fragile period for him to temper any unconfirmed info!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom