Lazima watajipa credit wamemuua wao. A CIA operation.
Na lazima hii itatumika kwenye kampeni mwakani.
Wait I will give you details
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima watajipa credit wamemuua wao. A CIA operation.
Na lazima hii itatumika kwenye kampeni mwakani.
CNN wanasema he has been killed in a mansion outside Islamabad na hawajasema kama ni jumba lake.Lrts wait for more news acha kukolezea unless unatizama CNN ya tofauti...Wnadai it was a human operation,hivyo siyo drone.Source CNN Osama Bin Laden is Dead
Habari zinasema Osama Ameuwawa mbele ya wanafamilia wake nje ya jumbalake la kifahari (Mansion) mjini Islamabad
Mkuu a while ago niliwai kusema kama USA and co wanamtaka Osama basi wanahitaji ushirikiano wa Pakistan's ISI.. I guess Obama atatoa details zaidi kwenye press conference yake.. Looks like they killed his family too.That's what they are saying but just think about it for one second, how do we verify that?
I'm sure there will be retaliatory action. It's coming.
Mkuu hebu tuwekee video tu ireview kwa mara nyingine tena...
Najua kwenye hili lazima Wamarekani watajipa credit hata kama si wao waliomuua. Inawezekana kabisa kuwa kafa kwa ajili ya ugonjwa kwa sababu alikuwa mgonjwa muda mrefu sana.
Huyu Obama naye hajui kabisa kuheshimu time. Ilikuwa aongee 10.35pm ET, ikasogezwa na kuwa 10.50pm ET na kusogezwa tena hadi 11.15pm ET na sasa ni 11.24pm ET bado tu hajaonekana.
Sasa Obama ana uhakika wa kushinda kipindi cha pili labda aboronge tu, kwa vile kitendo hiki kitawafurahisha wamarekani wengi wakiwamo maadui zake.
hata mimi najiuliza, inawezekana Osama alishakufa kitambo kwa ugonjwa wake, au kafa kifo cha kawaida. lakini kwa kuwa Marekani sasa inatafuta namna ya kuondoka Afghanistan gracefully, kwa sababu ni dhahiri ile vita imegeuka kuwa liability kwao !. ukizingatia Taliban wametangaza kuspeed up mashambulizi, hawa jamaa wanaweza kustage up hii kitu ili waondoke Afghanistan peacefully!.